Ulimwengu wa kiarabu: Je waraabu wanaipuuza dini?

Ulimwengu wa kiarabu: Je waraabu wanaipuuza dini?

Waarabu wanajua vizuri historia ya pale na wanajua lile jiwe wanalolibusu lilikiwepo tangu kipindi cha wapagani ndo zilikiwa ibada zao. Mo akaja akawanyanganya akaliweka kwenye uislam wake. Ila hawa wa huku kipunguni hawajui kitu. Ma ndo maana Mo alishushaga aya za shetani[emoji23][emoji23][emoji23]akawapa masela mpaka wapomshtukia...akajifanya ooh nilidhani gabriel[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mi namshangaga mtu anayesema dini ya kiislam inamtukuza mwanamke...nadhani anakuwa anasikiliza hadithi zaidi kuliko kusoma vitabu vyao.
Mo anasema mwanamke ana akili ndogo sana na haaminiki so ushahidi wa mwanamke mmoja haukubaliki mpk wawe wawili.
Mo anasema haina shida kupiga mwanamke..( sijui inamtukuzaje hapo)
Aisha mwenyewe anasema mwanamke kwenye uislam anateseka sana.
Vitu kibao mwanamke haruhusiwi kwenye ulimwengu/nchi zinazoendeshwa kwa sheria za kiislam ambavyo mwanaume anaruhusiwa....

Kweli wewe ni "Naughty guy"---- Uislamu unamjali mwanamke kwa kuangalia mapungufu/ madhaifu yake ukilinganisha na mwanamume.

Kujua madhaifu ya kitu ndiyo njia ya kujua ni jinsi gani uweze kumtendea kulingana na huo udhaufu,

Kwahiyo tofautisha kutambua madhaifu na kumjali mtu (treatments in accordance to her weakness).

Ni uislanu ndio umeweza kuainisha huo udhaifu na kuwatendea mema wanawake kwa kuangalia huo udhaifu.
 
Waarabu wanajua vizuri historia ya pale na wanajua lile jiwe wanalolibusu lilikiwepo tangu kipindi cha wapagani ndo zilikiwa ibada zao. Mo akaja akawanyanganya akaliweka kwenye uislam wake. Ila hawa wa huku kipunguni hawajui kitu. Ma ndo maana Mo alishushaga aya za shetani[emoji23][emoji23][emoji23]akawapa masela mpaka wapomshtukia...akajifanya ooh nilidhani gabriel[emoji23][emoji23][emoji23]

Wewe unajua maana ya "Naughty" --- hakuna mtu anayejua maana ya hilo neno na aje ajadiliane na wewe ambaye umejiainisha kuwa "Naughty guy"--- kwa sababu fikra zako ni Naughty ---- "SUFURI."
 
Ikiwa jiwe jeusi ndio alama (ishara) ya uislam je mwezi Nayo Ni nn?
dogo hivi infom zote nimekupa nyuma bado tu unaleta ujinga ule ule.

Sa wacha jiwe tu bibilia mpaa inaongelea Kaaba yenyewe

Song of Solomon 1:5 ESV / 2
I am very dark, but lovely, O daughters of Jerusalem, like the tents of Kedar, like the curtains of Solomon.

Binadamu hawezi mtetea Mungu kama yeye mwenyewe kashindwa kujitetea , kama yupo aje ajitetee mwenyewe sio nyie kutusiana hapa kwa maneno makali, ndio maana mnafikia hatua ya kuuana kwa kisingizio cha Mungu huyo huyo, Mungu gani amejificha wakati damu za watu zinamwagika , angalieni mtakwisha kwa ujinga

Mungu anajitetea kwa kupitia sisi kwa "level" ileile ya upinzani, kama upinzani na fedhuli ikizidi ndipo anapoweza kuwaletea maangamizo hao wapinzani.

Kumbuka sisi ni viumbe wake hivyo thamani yetu mbele yake ni "almost nothing"-- ndiyo maana anaweza kutufuta na kuleta wengine.
 
MUNGU wa Kweli na muumba tu ndie aweza kujitetea na si vinginevyo
 
Waarabu wanajua vizuri historia ya pale na wanajua lile jiwe wanalolibusu lilikiwepo tangu kipindi cha wapagani ndo zilikiwa ibada zao. Mo akaja akawanyanganya akaliweka kwenye uislam wake. Ila hawa wa huku kipunguni hawajui kitu. Ma ndo maana Mo alishushaga aya za shetani[emoji23][emoji23][emoji23]akawapa masela mpaka wapomshtukia...akajifanya ooh nilidhani gabriel[emoji23][emoji23][emoji23]
Haha wacheni hizo hivi nyie mbona wagumu kufahamu hio hizo bibilia zenu zinawapasualieni ukweli lakini hamfahamu.

Bibilia zenu zinasema nyie mnamiungu c Mungu wa pekee kama vile Waislam.

Bibilia inasema kawaulizeni Wajukuu wa Ismail, wawape elimu vipi muwachane na kuabudu miungu, nyie mnasema binadamu ni Mungu, bibilia inawanbia nendeni kwa mtoto wa Ismail na kizazi cha Kedar ambao ni Warabu wale Waislam, wapate kuwafahimisha namna ya dini ni nini, ili muachane na ujinga wa kuabudu miungu.

Bibilia inasema wale watawafahimisha ni Mungu yupi wakuabudiwa, ili muachane ni miungu isio wasaidia.

Ushahidi huwa hapa.

Isaya 42:11 Kedar inaelezwa katika wimbo wa sifa.

Yeremia 2:10 Wana wa Israeli wanashauriwa kuangalia na Kedar na kuona kama ni jambo la kawaida kwa watu kuacha miungu yao na kugeuka kwa wengine.
 
Mimi binafsi namwamini Jehova na kajidhihisha kwangu

Eti Yehova kadhihirika kwako???!!😁, alipodhihirika kwako kakuambia kitu gani??,

(Yehova) kwa kiebrania ni "Yahweh" ni jina la Mungu aliloteremshiwa mtume Musa (as), majina Mengine kwa kiebrania ni El shaddai,Adonai, Elohim,, hata Yesu kipindi yupo msalabani alimlilia Mungu kwa uchungu akitamka maneno "Eloi Eloi lamasabachtan" yaani Mungu wangu Mungu wangu mbona unaniacha., Hapo neno Eloi ni kifupi cha neno "Elohim".

Kifupivni kwamba katika kiebrania Mungu ameitwa kwa majna kadhaa na hata ameitwa "Abba" kwa maana ya "baba", na majina yote haya hayabadilishi sifa zake Mungu atabaki yule yule na sifa zake.

Katika Qur'an Mungu ameitwa Allah ni neno linalofanana kiasi fulani na neno la kiebrania Eloi (Eloihim) kwa sababu kiebrania na kiarabu ni semitic languages, lakini bado hiyo yote haimbadilishi Mungu, na anabaki ni yule yule Mungu.

Sasa majina yasikupofue ukadhani jina linamfanya asiwe mungu, wabantu wengi katika lugha zao Mungu anaitwa, Mlungu, Mnungu, Munungu nk, pamoja na huo utofauti katika matamshi bado ni Mungu yule yule mtukufu.

Na ndiye huyo an ayewadhihirikia viumbe wake wote bila "ubaguzi" na anawadhihirikia zaidi wale wanaomcha.

Kwahiyo ndugu usiuivune ukajiona wewe pekee ndiyo kiumbe wake uliyedhihirikiwa naye.
 
Nyie mnayochuki dhidi ya uislamu, Uturuki sio nchi ya kiislamu bali ni nchi ya ulaya yenye waislamu wengi na huko kuna muingiliano wa wazungu ambao sio waislamu kutoka nchi kama ujerumani,uingereza, ufaransa nk, ambao ndio waliopekeka ushoga huko. sasa thibitisha kwamba hao mashoga ni waislamu!!,, au kuna kipengele chochote hata cha UONGO katika uislamu kinachoweza kusemwa kwamba kinafundisha ushoga??. (kama ilivyokuwa ndani ya Biblia ambamo kipo hicho kipengele).

Sio jambo la kushangaza tumesikia kwamba mapadri na mashoga wakinukuu kifungu cha Biblia (agano jipya) maneno halisi ya Bwana Yesu wakidai kwamba Yesu alifundisha ushoga na ndiyo maana wao wemekuwa mashoga kwa kumfuata yeye.(mimi binafsi sikubaliani nao kwamba Yesu alifundisha ushoga)--- na hiyo ndiyo tabia ya watu wenye dhamira mbaya ya kuwachafua WATAKATIFU wa Mungu ilivyo.

Kwa hiyo ninachotaka kusema ni kwamba watakatifu wa Mungu wamekuwa wakisingiziwa kila aina za uchafu ama watu wahalalishe uchafu wao au waonyeshe mbele za watu kuwa hao watakatifu hawakuwa watu wa Mungu na hivyo hawastahili kufuatwa.
Mkuu bado utetezi hafifu mno
 
Naam, sio mabikira 72 tu huko peponi, wapo zaidi ya hao, je nyinyi huko mtapata nini???, au huko mtaishi kama mashoga maana humuwapendi mabikira 72.

Ni wivu wa kike unawasumbueni tu, kwanini na nyie msimuombe Bwana Mungu wenu awapeni kitu kizuri zaidi kuliko kuwa na husuda juu na neema watakazopewa wenzako!!.
Nao kina mama watapewa nini mkuu huko peponi
 
Utamaduni ukikomaa unakuwa dini, hao waarabu wamegundua kuwa hawaabudu dini bali utamaduni wao. Sisi tunaotoka mishipa tumeamua kuabudu utamaduni wa waarabu na wayahudi na kuuita dini. Ndio maana ili uonekane Muislam safi ni LAZIMA uwe na jina la Kiharabu au Mkristo safi uitwe ‘jina la kwenye Biblia’ eti huwezi kumsalimia Muislamu mwenzako Habari gani mpaka useme Asalam Aleikum utadhani uislamu ni lugha.....aahaha!!!
 
Nao kina mama watapewa nini mkuu huko peponi
Kazi ndogo sana wakiwa wanaheshima zao watazidi kuwa wazuri na watakabidhiwa wanaume wazuri, ama yule yule mme wake wa duniani akiwa mtu mzuri ama mme wake akiwa si mtu mzuri basi anabadilishiwa mme wa peponi.

Mume wa peponi ni yule ambaye alikuwa mtu mzuri duniani na mke wake alikuwa mbaya duniani, mme anaingia peponi na mke anaenda motoni.

Kuna lingine.
 
Utamaduni ukikomaa unakuwa dini, hao waarabu wamegundua kuwa hawaabudu dini bali utamaduni wao. Sisi tunaotoka mishipa tumeamua kuabudu utamaduni wa waarabu na wayahudi na kuuita dini. Ndio maana ili uonekane Muislam safi ni LAZIMA uwe na jina la Kiharabu au Mkristo safi uitwe ‘jina la kwenye Biblia’ eti huwezi kumsalimia Muislamu mwenzako Habari gani mpaka useme Asalam Aleikum utadhani uislamu ni lugha.....aahaha!!!
Dini haina lugha wewe unaconfused na hufahamu mana ya Asalam Alykum nini mana yake, ni Amani iwe kwako.

Habari gani haiwezi hata siku moja ikawa ina maana nzuri kuliko Aman iwe kwako au kwenu.

Hata wayahudi wanasema Shaloom yani Salam, mkristo tu ndo kaja bila salam sababu dini yake niyakutunga tu.

Waislam kutumia lugha ya kiarabu katika kusalimia ni kukitukuza kitabu cha Mungu sababu kilishuka kwa kiarabu.
 
Eti Yehova kadhihirika kwako???!![emoji16], alipodhihirika kwako kakuambia kitu gani??,

(Yehova) kwa kiebrania ni "Yahweh" ni jina la Mungu aliloteremshiwa mtume Musa (as), majina Mengine kwa kiebrania ni El shaddai,Adonai, Elohim,, hata Yesu kipindi yupo msalabani alimlilia Mungu kwa uchungu akitamka maneno "Eloi Eloi lamasabachtan" yaani Mungu wangu Mungu wangu mbona unaniacha., Hapo neno Eloi ni kifupi cha neno "Elohim".

Kifupivni kwamba katika kiebrania Mungu ameitwa kwa majna kadhaa na hata ameitwa "Abba" kwa maana ya "baba", na majina yote haya hayabadilishi sifa zake Mungu atabaki yule yule na sifa zake.

Katika Qur'an Mungu ameitwa Allah ni neno linalofanana kiasi fulani na neno la kiebrania Eloi (Eloihim) kwa sababu kiebrania na kiarabu ni semitic languages, lakini bado hiyo yote haimbadilishi Mungu, na anabaki ni yule yule Mungu.

Sasa majina yasikupofue ukadhani jina linamfanya asiwe mungu, wabantu wengi katika lugha zao Mungu anaitwa, Mlungu, Mnungu, Munungu nk, pamoja na huo utofauti katika matamshi bado ni Mungu yule yule mtukufu.

Na ndiye huyo an ayewadhihirikia viumbe wake wote bila "ubaguzi" na anawadhihirikia zaidi wale wanaomcha.

Kwahiyo ndugu usiuivune ukajiona wewe pekee ndiyo kiumbe wake uliyedhihirikiwa naye.
Kwa hiyo wewe shida yako Nn?
Then, usimfananishe MUNGU wa ISRAEL na mungu wa maka hao Ni wawili tofauti kabisa.
Wametoa maagizo yanayokinzana na miongozo tofauti kabisa.
Ndiposa ntakuuliza allah kaumba nn huwezi nijibu, Usilazimishe ili na wewe uonekane mwana wa Mungu kinyemela coz nafasi Bado unayo.
Yohana 1:12
 
Kazi ndogo sana wakiwa wanaheshima zao watazidi kuwa wazuri na watakabidhiwa wanaume wazuri, ama yule yule mme wake wa duniani akiwa mtu mzuri ama mme wake akiwa si mtu mzuri basi anabadilishiwa mme wa peponi.

Mume wa peponi ni yule ambaye alikuwa mtu mzuri duniani na mke wake alikuwa mbaya duniani, mme anaingia peponi na mke anaenda motoni.

Kuna lingine.
Kwa hiyo akipewa yule wa duniani atakuwa mmoja wa hao mabikira 72 ambao mme wake atapewa?
 
Back
Top Bottom