Ulimwengu wa kiarabu: Je waraabu wanaipuuza dini?

Ulimwengu wa kiarabu: Je waraabu wanaipuuza dini?

Dini haina lugha wewe unaconfused na hufahamu mana ya Asalam Alykum nini mana yake, ni Amani iwe kwako.

Habari gani haiwezi hata siku moja ikawa ina maana nzuri kuliko Aman iwe kwako au kwenu.

Hata wayahudi wanasema Shaloom yani Salam, mkristo tu ndo kaja bila salam sababu dini yake niyakutunga tu.

Waislam kutumia lugha ya kiarabu katika kusalimia ni kukitukuza kitabu cha Mungu sababu kilishuka kwa kiarabu.
We hao waarabu hufaham hizo propaganda zote na wanaamua kukuachia wewe hiyo dini isiyotungwa Sasa shida iko wapi ?.
Ninyi Pia munakaririsha watoto hadi leo eti quruani haijaandikwa na mtu bali imeshuka toka kwa Mungu. Huu Ni uongo manaourithisha kwa kizazi hata kizazi. Kaa kufahamu kuwa shetani ndie baba wa uongo bila shaka nyie Ni watoto wake.
 
Dini ni neno la kiarabu maanayake Ni njia.
Zipo njia nyingi sana, ila njia ya kweli na uzima ni moja tu ambayo Ni Yesu BWANA mengine yote ni porojo na mbwembwe tu.
 
MUNGU wa ISRAEL


Mungu wa Israeli wewe mmakonde anakuhusu nini??, au wewe ni Muisraeli mweusi au mgalatia au mkorinto??.

"Yesu alisema sio vyema kuwapa chakula cha watoto mbwa na nguruwe"--- je unawajua mbwa na nguruwe??😁😁, acheni kujipendekeza kwa Mungu wa WAISRAELI wakati nyie ni waswahili weusi kuliko mkaa.
 
Mungu wa Israeli wewe mmakonde anakuhusu nini??, au wewe ni Muisraeli mweusi au mgalatia au mkorinto??.

"Yesu alisema sio vyema kuwapa chakula cha watoto mbwa na nguruwe"--- je unawajua mbwa na nguruwe??[emoji16][emoji16], acheni kujipendekeza kwa Mungu wa WAISRAELI wakati nyie ni waswahili weusi kuliko mkaa.
Alikuja kwake lakini walio wake hawakumpokea, bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kuwa wana wa Mungu. Hapo vip????
 
Yeye ni BWANA wa woooote wenye mwili.
Labda uniambie huna mwili... Hahahahaha pole kwa kumwamini shetani na kumkataa MUNGU Mwenyezi
 
Alikuja kwake lakini walio wake hawakumpokea, bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kuwa wana wa Mungu. Hapo vip????


"SIKUTUMWA ILA KWA KONDOO WA NYUMBA YA ISRAELI" --- Yesu alinena katika mathayo (15:24), sasa wewe umetoka katika nyumba gani ya Israeli??,

Hamuishi kujipendekeza kwa mtu asiyewajua wala asiyewataka ambaye amewatukaneni kwa kuwaita mbwa na nguruwe, nyie vipi?!!!🤔🤔
 
We hao waarabu hufaham hizo propaganda zote na wanaamua kukuachia wewe hiyo dini isiyotungwa Sasa shida iko wapi ?.
Ninyi Pia munakaririsha watoto hadi leo eti quruani haijaandikwa na mtu bali imeshuka toka kwa Mungu. Huu Ni uongo manaourithisha kwa kizazi hata kizazi. Kaa kufahamu kuwa shetani ndie baba wa uongo bila shaka nyie Ni watoto wake.
Tatizo we umebaki pale pale hutaki kusonga mbele, hiyo bibilia inakupa ukweli utume unaenda kwingine.


2 - Isaya 42 Kuhusu Nini?

Sura ya 42 ya Kitabu cha Isaya inajitambulisha kama unabii kuhusu siku zijazo. Isaya anasema hivi:

... mambo ya zamani yamefanyika, na mambo mapya natangaza ... [Isaya 42: 9]

Lazima ufahamu majina matatu ya Mtume Muhammad yanatajwa - "mtumishi", "aliyechaguliwa" na "ambaye ninafurahi".

Mtume Muhammad anajulikana kama Mtumishi wa Mungu, kwa Kiarabu "abd-ullah".

"Aliyechaguliwa" ni "Mustafa" kwa Kiarabu. Hii ni majina ya Mtume Muhammad.

Yule ambaye Mungu 'hufurahia' inaonyesha kwamba mtu huyu ni mpenzi kwa Mungu. 'Habibullah' katika Kiarabu, ambayo ina maana "Mpendwa wa Mungu", pia hutokea kuwa mmoja wa majina ya Mtume Muhammad.

3 - Mahali ya Mtu huyu maalum
Isaya pia hufunua eneo la mtu huyu maalum. Anasema hivi:

Na jangwani na miji yake huinua sauti zao; basi miji ambayo Kedari hufurahia. Waache watu wa Sela waimbie kwa furaha; Waache wapige kelele kutoka kwenye mlima. [Isaya 42:11]
Hapo inakusudiwa Adhani ile inawaita Waislam kusali pale kwenye Masjidi.

Maneno mawili muhimu hutumiwa ni 'Kedari' na 'Sela' ambayo kwa pamoja hutaja mahali halisi kwa mtu huyu maalum. Kati ya maeneo yote duniani ambayo Isaya alisema, alichagua kuonyesha mahali pa Kedari na Sela

Kedari ni nani, na aliishi wapi? Agano la Kale linatuambia kwamba Kedari alikuwa mmoja wa wana wa Ismaili

Nao ndio majina ya wana wa Ismaili, waliotajwa katika kuzaliwa kwake: Nebayoti, mzaliwa wa kwanza wa Ismaili, Kedari, Adbeeli, Mibsamu.

Umefahamu au bado? We baki na paulo na ngojera za Yesu kabeba dhambi zenu wote wakristo, we mwenyewe tumia akili hivi Mungu kwanini alimfukuza shetani mbinguni kama c kosa la kiburi.

FYI Shetani alimuabudu Mwenyezi Mungu miaka mingi sana lakini alikuwa anakasora kwenye moyo wake alidhani Mungu hata gundua.

Shetani alitaka awe na yeye Mungu kama paulo wenu anavyo mlazimisha Yesu awe Mungu, Yesu hawezi kusema yeye ni Mungu wakati anaufahumu ufalme wa Mungu ni nini.

Kumfananisha Yesu na Mungu ni kukubaliana na shetani alivyo taka kujifananisha yeye na Mungu.
 
Mnaenda kuwa malaika??!!, wewe unajua nini kuhusu neno MALAIKA??,
Unaropoka tu bila elimu ya kutosha!;, nenda kajifunze kwanza ndipo uje hapa ulingoni, take care of the deep sea with strong currents.
Ingekuwa Quraan inaelim nzuri basi uarabuni kusingekuwa na maexpart wa nchi zingine kuwapa maarifa. QurAan inaelum gani zaidi ya majini na mashetani?
 
Wewe unajua maana ya "Naughty" --- hakuna mtu anayejua maana ya hilo neno na aje ajadiliane na wewe ambaye umejiainisha kuwa "Naughty guy"--- kwa sababu fikra zako ni Naughty ---- "SUFURI."
Kama kuruan ina hadi aya za majini na shetani mtaitaje kitabu chema? Endeleeni kujidanganya na ndio maana mnaogopa hadi ngurue
 
Mungu anajitetea kwa kupitia sisi kwa "level" ileile ya upinzani, kama upinzani na fedhuli ikizidi ndipo anapoweza kuwaletea maangamizo hao wapinzani.

Kumbuka sisi ni viumbe wake hivyo thamani yetu mbele yake ni "almost nothing"-- ndiyo maana anaweza kutufuta na kuleta wengine.
Mungu anajitetea kupitia wewe !! ndio maana nikakwambia wewe ndio umemuumba Mungu , ndio maana unajukumu la kumtetea ,
 
Eti Yehova kadhihirika kwako???!![emoji16], alipodhihirika kwako kakuambia kitu gani??,

(Yehova) kwa kiebrania ni "Yahweh" ni jina la Mungu aliloteremshiwa mtume Musa (as), majina Mengine kwa kiebrania ni El shaddai,Adonai, Elohim,, hata Yesu kipindi yupo msalabani alimlilia Mungu kwa uchungu akitamka maneno "Eloi Eloi lamasabachtan" yaani Mungu wangu Mungu wangu mbona unaniacha., Hapo neno Eloi ni kifupi cha neno "Elohim".

Kifupivni kwamba katika kiebrania Mungu ameitwa kwa majna kadhaa na hata ameitwa "Abba" kwa maana ya "baba", na majina yote haya hayabadilishi sifa zake Mungu atabaki yule yule na sifa zake.

Katika Qur'an Mungu ameitwa Allah ni neno linalofanana kiasi fulani na neno la kiebrania Eloi (Eloihim) kwa sababu kiebrania na kiarabu ni semitic languages, lakini bado hiyo yote haimbadilishi Mungu, na anabaki ni yule yule Mungu.

Sasa majina yasikupofue ukadhani jina linamfanya asiwe mungu, wabantu wengi katika lugha zao Mungu anaitwa, Mlungu, Mnungu, Munungu nk, pamoja na huo utofauti katika matamshi bado ni Mungu yule yule mtukufu.

Na ndiye huyo an ayewadhihirikia viumbe wake wote bila "ubaguzi" na anawadhihirikia zaidi wale wanaomcha.

Kwahiyo ndugu usiuivune ukajiona wewe pekee ndiyo kiumbe wake uliyedhihirikiwa naye.
Quran inasema hakuna Mungu ila allah. Kwahiyo ungejua maana ya allah wa quraan wala usingeongea.
 
Dini ni neno la kiarabu maanayake Ni njia.
Zipo njia nyingi sana, ila njia ya kweli na uzima ni moja tu ambayo Ni Yesu BWANA mengine yote ni porojo na mbwembwe tu.
Sikiliza wajukuu wa Kedar bin Ismail bin Ibrahim hapo mpaa raha.



 
Sikiliza wajukuu wa Kedar bin Ismail bin Ibrahim hapo mpaa raha.



Shida
FB_IMG_1562491761741.jpeg
 
Ingekuwa Quraan inaelim nzuri basi uarabuni kusingekuwa na maexpart wa nchi zingine kuwapa maarifa. QurAan inaelum gani zaidi ya majini na mashetani?
dogo hebu nipe percentage ya watu waurabuni wenye kuhifadhi Quran?

Mimi na uhakika kabisa wakitokea warabu 10% walio ihifadhi Quran na kuifahamu basi warabu wangetawala dunia nzima.

Hivi sasa nchi zote za kiarabu labda ni 2% wanao weza kuihifadhi Quran na kuitafsiri na bado naona kama hawafiki hata hio 2% labda wako kwenye 1% tu walio hifadhi na kuijua vizuri Quran.

Qur'an ni habari ingine

Wasio Waislam wanahimizwa kuzalisha "taarifa" au hotuba inayofanana na Qur'ani moja, na kuhimizwa kuzalisha sura moja au kumi sawa na wengine. Mstari mwingine inasema kuwa wala wanadamu wala majini hawangeweza kuunda kitabu kama hiyo, hata kama walikuwa wakifanya kazi pamoja.
 
Kama kuruan ina hadi aya za majini na shetani mtaitaje kitabu chema? Endeleeni kujidanganya na ndio maana mnaogopa hadi ngurue
dogo wacha kuongea pumba, Qur'an ndio kitabu pekee kilicho ongelea namna Yesu alizaliwa na kama kipo kitabu kimeongea kama Quran leta mistari yake.

Ikiwa Yesu kupaishwa na Mungu mliona ajabu, tena yuko mbingu ya pili yeye na cousin yake Yahya na hakurudi, basi Mtume wetu alipaishwa mbingu zote na alionana na Mitume walio mbinguni Yesu, Eliasi, Musa, Yahya, Nuhu, Daud, na Ibrahim.

Dalili hii hapa kama alipaishwa kutoka Makkah mpaa Jerusalam na baada ya hapo akapaishwa kwenye mbingu zote saba.



 
Back
Top Bottom