Ulimwengu wa kiarabu: Je waraabu wanaipuuza dini?

Ulimwengu wa kiarabu: Je waraabu wanaipuuza dini?

Dini haina lugha wewe unaconfused na hufahamu mana ya Asalam Alykum nini mana yake, ni Amani iwe kwako.

Habari gani haiwezi hata siku moja ikawa ina maana nzuri kuliko Aman iwe kwako au kwenu.

Hata wayahudi wanasema Shaloom yani Salam, mkristo tu ndo kaja bila salam sababu dini yake niyakutunga tu.

Waislam kutumia lugha ya kiarabu katika kusalimia ni kukitukuza kitabu cha Mungu sababu kilishuka kwa kiarabu.

Kama dini haina lugha ni vipi ukiwa muislamu unalazimika kutumia Lugha ya Kiarabu na jina la Kiarabu? Kwani ukiwa muislamu ukasalimia Amani Iwe Nawe ina shida gani? Ni lazima useme kwa Kiarabu ndio inoge?
 
dogo hebu nipe percentage ya watu waurabuni wenye kuhifadhi Quran?

Mimi na uhakika kabisa wakitokea warabu 10% walio ihifadhi Quran na kuifahamu basi warabu wangetawala dunia nzima.

Hivi sasa nchi zote za kiarabu labda ni 2% wanao weza kuihifadhi Quran na kuitafsiri na bado naona kama hawafiki hata hio 2% labda wako kwenye 1% tu walio hifadhi na kuijua vizuri Quran.

Qur'an ni habari ingine

Wasio Waislam wanahimizwa kuzalisha "taarifa" au hotuba inayofanana na Qur'ani moja, na kuhimizwa kuzalisha sura moja au kumi sawa na wengine. Mstari mwingine inasema kuwa wala wanadamu wala majini hawangeweza kuunda kitabu kama hiyo, hata kama walikuwa wakifanya kazi pamoja.
Acha porojo wewe uliohifadhi unamaarifa gani?
 
Kama dini haina lugha ni vipi ukiwa muislamu unalazimika kutumia Lugha ya Kiarabu na jina la Kiarabu? Kwani ukiwa muislamu ukasalimia Amani Iwe Nawe ina shida gani? Ni lazima useme kwa Kiarabu ndio inoge?
Lugha ya Qur'an ina faida yake, kwanza Qur'an iliteremshwa na Malaika Jabril kwa lugha ya kiarabu, pili lugha ya kiarabu ni lugha nzuri sana huwezi kufananisha na lugha yoyote ile.

Mwenyezi Mungu ndiye aliyechagua lugha bora kwa kuwa rahisi kueleweka.

Qur'an inasema hivi:
"Mwenyezi Mungu anataka kila kituo kwa ajili yenu Yeye hataki kukuweka shida ..." (al-Baqara, 185).
 
Cultural inslavement at its best.....yaani umetekwa na hujui kama wewe ni mateka. Mungu angekuwa anataka tuzungumze ‘lugha yake pendwa’ ya Kiarabu asingeumba lugha zingine, yaani awe na ujumbe kwa Wakerewe au Wachaga alafu amtoe mtu Meca aje awaambie kwa Kiarabu? Huyo mungu atakuwa mpumbavu sana.

Anyways, siku ukiamka ukajua hicho unachoamini ni uongo tu uliopikwa ili uendelee kutawaliwa utaumia sana, nakuombea kwa Mungu Muumba na mizimu ya Kiafrika huu ujinga ukutoke kabla hujachelewa.
 
"SIKUTUMWA ILA KWA KONDOO WA NYUMBA YA ISRAELI" --- Yesu alinena katika mathayo (15:24), sasa wewe umetoka katika nyumba gani ya Israeli??,

Hamuishi kujipendekeza kwa mtu asiyewajua wala asiyewataka ambaye amewatukaneni kwa kuwaita mbwa na nguruwe, nyie vipi?!!![emoji848][emoji848]
Nini hatma ya huyo mwanamke aliponywa au hakuponywa? ,aliudumiwa au hakuudumiwa ??
Ni Bwana Yesu huyo huyo alikwenda kwa wagerasi, Samaria Nk....

He nyinyi waislam munamwamini au hamumwamini???
Hahahah Pole
 
Tatizo we umebaki pale pale hutaki kusonga mbele, hiyo bibilia inakupa ukweli utume unaenda kwingine.

2 - Isaya 42 Kuhusu Nini?

Sura ya 42 ya Kitabu cha Isaya inajitambulisha kama unabii kuhusu siku zijazo. Isaya anasema hivi:

... mambo ya zamani yamefanyika, na mambo mapya natangaza ... [Isaya 42: 9]

Lazima ufahamu majina matatu ya Mtume Muhammad yanatajwa - "mtumishi", "aliyechaguliwa" na "ambaye ninafurahi".

Mtume Muhammad anajulikana kama Mtumishi wa Mungu, kwa Kiarabu "abd-ullah".

"Aliyechaguliwa" ni "Mustafa" kwa Kiarabu. Hii ni majina ya Mtume Muhammad.

Yule ambaye Mungu 'hufurahia' inaonyesha kwamba mtu huyu ni mpenzi kwa Mungu. 'Habibullah' katika Kiarabu, ambayo ina maana "Mpendwa wa Mungu", pia hutokea kuwa mmoja wa majina ya Mtume Muhammad.

3 - Mahali ya Mtu huyu maalum
Isaya pia hufunua eneo la mtu huyu maalum. Anasema hivi:

Na jangwani na miji yake huinua sauti zao; basi miji ambayo Kedari hufurahia. Waache watu wa Sela waimbie kwa furaha; Waache wapige kelele kutoka kwenye mlima. [Isaya 42:11]
Hapo inakusudiwa Adhani ile inawaita Waislam kusali pale kwenye Masjidi.

Maneno mawili muhimu hutumiwa ni 'Kedari' na 'Sela' ambayo kwa pamoja hutaja mahali halisi kwa mtu huyu maalum. Kati ya maeneo yote duniani ambayo Isaya alisema, alichagua kuonyesha mahali pa Kedari na Sela

Kedari ni nani, na aliishi wapi? Agano la Kale linatuambia kwamba Kedari alikuwa mmoja wa wana wa Ismaili

Nao ndio majina ya wana wa Ismaili, waliotajwa katika kuzaliwa kwake: Nebayoti, mzaliwa wa kwanza wa Ismaili, Kedari, Adbeeli, Mibsamu.

Umefahamu au bado? We baki na paulo na ngojera za Yesu kabeba dhambi zenu wote wakristo, we mwenyewe tumia akili hivi Mungu kwanini alimfukuza shetani mbinguni kama c kosa la kiburi.

FYI Shetani alimuabudu Mwenyezi Mungu miaka mingi sana lakini alikuwa anakasora kwenye moyo wake alidhani Mungu hata gundua.

Shetani alitaka awe na yeye Mungu kama paulo wenu anavyo mlazimisha Yesu awe Mungu, Yesu hawezi kusema yeye ni Mungu wakati anaufahumu ufalme wa Mungu ni nini.

Kumfananisha Yesu na Mungu ni kukubaliana na shetani alivyo taka kujifananisha yeye na Mungu.
Muhamadi si nabii wa Kweli na MUNGU Mwenyezi, no nabii wa uongo.
Ametumika na mashetani ndiposa MWENYEWE anasema najihofia nafsi yangu kuchezewa na mashetani, Biblia haimtambui muhamadi kama nabii wa Kweli bali kama nabii wa uongo toka kwa shetani

Yohana 5:43
 
Muhamadi ni nabii wa uongo na kama unamtumaini umeliwa. Yesu ni neno la MUNGU tena Ni njia ya kweli na uzima nje ya hapo ni mbwembwe tu.
Screenshot_20190707-224622.jpg
 
Lugha ya Qur'an ina faida yake, kwanza Qur'an iliteremshwa na Malaika Jabril kwa lugha ya kiarabu, pili lugha ya kiarabu ni lugha nzuri sana huwezi kufananisha na lugha yoyote ile.

Mwenyezi Mungu ndiye aliyechagua lugha bora kwa kuwa rahisi kueleweka.

Qur'an inasema hivi:
"Mwenyezi Mungu anataka kila kituo kwa ajili yenu Yeye hataki kukuweka shida ..." (al-Baqara, 185).
Wewe quran imeandikwa na kina umari acha kutuongopea kama watoto wa Madrasa .
Ukidanganywa wewe si lazima sote tudanganyike umekula kwako.
Yesu ni neno la MUNGU Pia yeye ni Alfa na omega tena Ni njia ya kweli na uzima nje ya hapo ni mbwembwe tu .
 
Cultural inslavement at its best.....yaani umetekwa na hujui kama wewe ni mateka. Mungu angekuwa anataka tuzungumze ‘lugha yake pendwa’ ya Kiarabu asingeumba lugha zingine, yaani awe na ujumbe kwa Wakerewe au Wachaga alafu amtoe mtu Meca aje awaambie kwa Kiarabu? Huyo mungu atakuwa mpumbavu sana.

Anyways, siku ukiamka ukajua hicho unachoamini ni uongo tu uliopikwa ili uendelee kutawaliwa utaumia sana, nakuombea kwa Mungu Muumba na mizimu ya Kiafrika huu ujinga ukutoke kabla hujachelewa.
Hivi wewe umefahamu nimeongea nini kabla ya kurupuka kujibu.

Wacha nikupe point labda itaingia akilini kwako hivi Mmasai akienda USA na kule kuna Waislam akawa kahifadhi Quran kwa Kimasai na anawatolea Mhadhara wa dini kwa kimasai nani atamsikiliza?

Au nani atamruhusu asalishe salaa ya kimasai.

Mungu ana hekima zake kushusha Quran kwa kiarabu, Mmasai akienda USA akasoma Quran kwa kiarabu pale USA watamkubali na akitoa Mhadhara kwa kiarabu watamkubali.

Hapo ndio ufahamu nguvu ya Quran na lugha ilio teremshwa nayo

Yani zunguka dunia nzima utaona Quran inasomwa kwa lugha moja tu iwe Uingereza au Tanzania. Kitu kilicho toka kwa Mungu huwa hakina vurugu kama lugha ya Waislam ni moja tu na wote wanaikubali.

Sio bibilia kila kanisa na lugha yake, hapo ndio mjue mmechanganyikiwa, kitu kilicho toka kwa Mungu huwa hakina vurugu, bibilia ni vurugu hata kwa lugha.
 
Wewe quran imeandikwa na kina umari acha kutuongopea kama watoto wa Madrasa .
Ukidanganywa wewe si lazima sote tudanganyike umekula kwako.
Yesu ni neno la MUNGU Pia yeye ni Alfa na omega tena Ni njia ya kweli na uzima nje ya hapo ni mbwembwe tu .
dogo wacha uwongo eti kina Omari ndio wameandika, FYI Omari alipoisikia Quran ndio akaingia uislam, sa vipi awe yeye kaiandika?

Hivi bibilia nani kaiandika?
 
dogo wacha uwongo eti kina Omari ndio wameandika, FYI Omari alipoisikia Quran ndio akaingia uislam, sa vipi awe yeye kaiandika?

Hivi bibilia nani kaiandika?
Nitajie wewe mwandishi wa quran ili utusaidie ole wako upotoshe MUNGU Mwenyezi atakulipa
 
Hivi wewe umefahamu nimeongea nini kabla ya kurupuka kujibu.

Wacha nikupe point labda itaingia akilini kwako hivi Mmasai akienda USA na kule kuna Waislam akawa kahifadhi Quran kwa Kimasai na anawatolea Mhadhara wa dini kwa kimasai nani atamsikiliza?

Au nani atamruhusu asalishe salaa ya kimasai.

Mungu ana hekima zake kushusha Quran kwa kiarabu, Mmasai akienda USA akasoma Quran kwa kiarabu pale USA watamkubali na akitoa Mhadhara kwa kiarabu watamkubali.

Hapo ndio ufahamu nguvu ya Quran na lugha ilio teremshwa nayo

Yani zunguka dunia nzima utaona Quran inasomwa kwa lugha moja tu iwe Uingereza au Tanzania. Kitu kilicho toka kwa Mungu huwa hakina vurugu kama lugha ya Waislam ni moja tu na wote wanaikubali.

Sio bibilia kila kanisa na lugha yake, hapo ndio mjue mmechanganyikiwa, kitu kilicho toka kwa Mungu huwa hakina vurugu, bibilia ni vurugu hata kwa lugha.

Kwahiyo huyo mungu akaamua kuficha maelekezo yake kwenye lugha, kwamba ili watu wake wamuelewe ni LAZIMA kwanza wajifunze lugha yake ya kiarabu? Kwamba usipoelewa lugha yake ya kiarabu mafundisho yake ambayo anataka uyajue kwa undani kabisa yatakupita kushoto? Damn......what a tribalist god is that?
 
dogo tuliza ball Quran anaye isoma anaielewa hata awe mmasai? Umeona miujiza ya Mungu.

Allahu Akbar
 
Muhamadi ni nabii wa uongo na kama unamtumaini umeliwa. Yesu ni neno la MUNGU tena Ni njia ya kweli na uzima nje ya hapo ni mbwembwe tu.View attachment 1148951
Nipe tafsiri ya kumbu kumbu la torati18:18 ni nani hapo Mungu anamuelezea Nabii Musa, hivi Mungu anamuongelea nani hapo? Na unipe dalili

Kumbukumbu la Torati 18:18 SUV
Mimi niwaiwanulia nabii miongoni mwa ndugu zao mfano wako wewe, nami nitatia maneno yangu kinywani mwake, naye atawaambia yote nitakayomwamuru.
 
Nini hatma ya huyo mwanamke aliponywa au hakuponywa? ,aliudumiwa au hakuudumiwa ??
Ni Bwana Yesu huyo huyo alikwenda kwa wagerasi, Samaria Nk....

He nyinyi waislam munamwamini au hamumwamini???
Hahahah Pole

Hapa siyo hatima ya yule binti ya yule mama mkananayo bali tunaangalia mambo mawili:-
(1)- Yesu hakutumwa kwa Wasio Waisraeli.
(2)-- Yesu alikuwa anawasaidia watu wasiokuwa Waisreali kwa kwanza KUWADHALILISHA na baada ya wao KUJIKOMBA NA KUJIDHALILISHA ndipo alipowasaidia, na ilikuwa hivi:-

"Mwanamke Mkananayo alimwendea Yesu ili bintiye atibiwe mapepo, Yesu akamjibu " nimetumwa TU kwa kondoo waliopotea wa Israel", yule mwanamke akazidi kumuomba akisema, bwana nisaidie!, Yesu akajibu, " si vyema kuchukua mkate wa watoto na kuwapa MBWA". Yule Mwanamke akasema, " lakini hata mbwa hula mabaki yaangukayo chini ya meza za bwana zao" Yesu akajibu, " mwanamke unayo imani kubwa ombi lako limekubaliwa". Na bintiye akapona.

Mathayo (15:21-28).

👆🏻Najua bila shaka unafahamu vyema hicho kifungu cha injili, lakini nimekinukuu ili na wengine wapate kuangalia hayo mazingira na watoe maamuzi, kimsingi licha ya Yesu kumsaidia Yule mwanamke kwa MBINDE na MATUSI juu, inabaki kuwa Yesu alitumwa kwa Wana wa Israeli TUU.

Sasa nawezaje mimi nisiyekuwa muisraeli kumfuata Yesu, mtu mwenye kutukana kwanza watu na ndipo awasaidie??!!.

Wapi Muhammad (saw) alitukana watu wenye shida??, alikuwa ni rehema kwa VIUMBE WOTE, mwarabu, mzungu, mswahili, mchina, muhindi nk, hata wanyama na ndege wote walipata huruma na msaada kutoka kwake.

Ewe ndugu yangu mkristo ondoa chuki dhidi ya uislamu, na jaribu kutafakari na kujifunza mafundisho ya uislamu na uulize pale usipojua juu ya uislamu na uachane na dhana potofu zinazohubiriwa na maadui wa uislamu.

Na ningependa ujue kuna waislamu na uislamu inatakiwa usome na ufuate mafundisho ya Uislamu kwanza kutoka katika Qur'ani na baadaye kutoka katika hadithi za mtume Muhammad (saw).
 
Hivi wewe umefahamu nimeongea nini kabla ya kurupuka kujibu.

Wacha nikupe point labda itaingia akilini kwako hivi Mmasai akienda USA na kule kuna Waislam akawa kahifadhi Quran kwa Kimasai na anawatolea Mhadhara wa dini kwa kimasai nani atamsikiliza?

Au nani atamruhusu asalishe salaa ya kimasai.

Mungu ana hekima zake kushusha Quran kwa kiarabu, Mmasai akienda USA akasoma Quran kwa kiarabu pale USA watamkubali na akitoa Mhadhara kwa kiarabu watamkubali.

Hapo ndio ufahamu nguvu ya Quran na lugha ilio teremshwa nayo

Yani zunguka dunia nzima utaona Quran inasomwa kwa lugha moja tu iwe Uingereza au Tanzania. Kitu kilicho toka kwa Mungu huwa hakina vurugu kama lugha ya Waislam ni moja tu na wote wanaikubali.

Sio bibilia kila kanisa na lugha yake, hapo ndio mjue mmechanganyikiwa, kitu kilicho toka kwa Mungu huwa hakina vurugu, bibilia ni vurugu hata kwa lugha.
Ndio maana mmekariri vitu bila kujua maana yake.
 
Ndio maana mmekariri vitu bila kujua maana yake.
Fatilia bibilia yako vizuri itakupa jibu la Qur'an.

katika kitabu cha Isaya kuna unabii kadhaa kuhusu kuja kwa Yesu. Katika sura ya 42, Isaya huanza na unabii wa kuja kwa Mtume Yesu.

Sasa baada ya mstari wa namba tisa tunaona kwamba Mungu anatangaza kwa njia ya Isaya, "vitu vipya" ambavyo vinatakiwa "kutokea" katika Nchi ya Kedari, nchi ya Kedari ni Arabia. Kwa hiyo, unabii huu unasema kuhusu Mtume Muhammed (s.a.w.a.).

Hebu tutajadili Isaya Sura ya 42, Mstari 9-12. Mungu anatangaza kupitia nabii Isaya;

"Tazameni, mambo ya zamani yametimia, na ninatangaza mambo mapya: kabla ya kuinuka nawaambia juu yao. "Mwimbieni Bwana wimbo mpya, na sifa yake kutoka mwisho wa dunia", ninyi mnaokwenda baharini, na vyote vilivyomo; visiwa, na wenyeji wake. Nyikani na miji yake itainua sauti zao, vijiji ambavyo Kedari hukaa; wenyeji wa mwamba waimbi, na waombe kutoka juu ya milima. Waache wamtukuze Bwana, na kutangaza sifa zake katika visiwa.

Kabla ya kuchambua unabii tuache tuone nchi ya Kedari;

Ezekieli sura ya 27 mstari wa 21 inasema:

Arabia, pamoja na wakuu wote wa Kedari, walishiriki pamoja nawe kwa kondoo, na kondoo waume na mbuzi; Hawa ndio walifanya biashara yako.

Ubunifu unaitwa Kedari katika Biblia ni ule wa mjukuu wa Mtume Ibrahim (aya), kupitia mwanawe Ishmael ambayo inasemwa katika kitabu cha Mwanzo 25:13. Wazazi wa Kedari walikuwa wameishi katika Paran (Sino-Arabian dessert). Katika vitabu vya Rabbi Arabia inaitwa "Nchi ya Kedari". Mtume Muhammed (s.a.w.a.) alikuwa mzao wa Kedari. Mungu alifunua katika Nchi ya Kedari, kwa njia ya Mtume Muhammed - kizazi cha moja kwa moja cha Kedari, "Maneno Mpya" i.e: Qur'an. (The Recitation)

Hii (Qur'an) hutokea kuwa ndiyo maandiko pekee ambayo yatafunuliwa katika lugha ya Wakedari. Aya za Qur'ani zinasomewa kama shairi. Karibu Waislam bilioni 1.2, wanaoishi duniani kote, wasome 'wimbo huu mpya' na kumtukuza Allah (s.w.t), katika sala zao za kila siku za tano. Ufunuo wa awali ulikuja kwa Mtume Muhammad katika pango la Mlima Hira karibu na mji wa Makka.

Haya kama si Qur'an imekusudiwa hapa ni kitu kipi? Na ulete dalili zako.

Back
Top Bottom