Ulimwengu wa kiarabu: Je waraabu wanaipuuza dini?

Unaposema warabu wanasena kwenye BBC hawana dini, wanakusudia nini na dini ipi?

Hizo research zao wamefanya kwenye nchi za kiarabu ambazo kuna wakristo na Waislam.

Kwanini wasifanye hizo research nchi kama Saud Arabia, Kuwait, Qatar, Oman, na Baharain ? Ambao wakristo ni zero almost.

Isije kuwa BBC kaenda kwa wakristo au wayahudi kuwa hoji?

Hizo nchi walizo hoji wananchi wao, wako kiwestern western style isipo kuwa Yemen tu, na Yemen labda wamewahoji wale Wayahudi, lazima ujuwe Yemen bado wako wanaishi hao Wayahudi.

Tukirudi tena ujinga wa BBC kama wamekusudia uislam una mnyima mwanamke freedom! Wambie wanaota.

Hakuna dini inamtukuza mwanamke kama Uislam, leta dini gani inawatukuza na kuwaheshimu wanawake kama Uislam.

Research zingine huwa zimekaa kinafiki nafiki tu, kama wewe mtoa hii mada.
Sahihi kabisa
 
Kwa sasa waarabu wengi wanabadili Sana dini juzi hapa nilikuwa naangalia wairan wanvyobatizwa hadi raha.
Kiukweli wanachuchuka wanajua walikuwa wanapigwa fix hakuna cha iman wala Mungu
Sasa tazama na huyu akili kuambiwa.
Mara waarabu wanabatizwa hapo hapo unadai walipigwa fix hakuna cha imani.
Kwani kubatizwa maana yake kula kiti moto tu?
Halafu nani kakudanganya kuwa Wairani ni waarabu!
Mkihimizwa kujiunga na elimu ya watu wazima mnajifanya wajanja.
Tazama sasa utumbo unaoandika hapa
 
Uislam unamtukuza mwanamke kivipi wakati ktk nchi zingine hawaruhusiwi hata kutizama mechi ya mpira wala hata kuendesha gari hadi majuzi tu wameruhusiwa nchini Saudi Arabia.

Mwanamke akikutwa anazini ni yeye ndio anauwawa kwa kupigwa mawe huku mwanamume akiachwa asepe.

Ktk nchi nyingi zenye waislamu wengi wanawake hubaguliwa sana kwenye ajira na wengi wa wanaoajiriwa ni wanaume huku mwanamke akifanywa kukaa ndani tu kama mfungwa. Ktk uislam mwanamke ni "Sex Object" tu.
Uislam haumbagui mwanamke bali wanapigia jibu mstari tu, Hivi weye wajua kuwa ni Allah SW mwenyewe aliyeanza kuwabagua hao wanawake?? Ni thawab zaidi mwanamke asipoingia msikitini kuswali.
Swali ni; Je, huko masjid, huyo Allah sw anazichukia hizo sauti za kike au?? Nadhani kuna kasoro flan
 
Kwanza lazima ufahamu kitu uhuru haumaanishi uweze kuishi kwa tamaa ya moyo unavyo taka, au shetani anavyo taka.

Wewe akili yako unadhani kutazama mpira na kuwachia mwili wa mwanamke wazi, atembea na sketi, au atembea nusu uchi ndio kumtukuza mwanamke, basi we utakuwa hauko sawa kichwani.

Kumtukuza mwanamke ni kuishi kama anavyotaka Mungu, mtu asiyetii anacho taka Mungu, huyo hatukuzwi na binadamu, we akili yako Mwanamke Muislam akipita kajistiri na nguo haionyeshi mwili wake, na wafuasi wa paulo kinguo kimebana matako yake na supu za miguu ziko wazi nani anaheshimika?

Kama unautembeza mwili wako nusu uchi hio ndio heshima au freedom?

Nani anaye sema Mwanamke akizini na Mwanaume, anaye pigwa ni mwanamke? Hivi nani kakudanganya wewe mwanaume hafanywi kitu.

Tazama point nakupa namna Mwanamke wa kislam anavyo tukuzwa.

Huwezi kumsalimia mwanamke wa kislam kwa mkono kama c mkeo au dada yako au mama yako au mtoto wa kaka yako au dada yako, sababu mkono wake unathami kubwa sana haupaswi kuguswa na mwanaume yoyote.

Mwanamke wa kislam akiolewa ni lazima ahudumiwe na mme wake kila kitu, na akiwa anapesa kukusaidia ni ushauri wake yeye, tofauti na wengine nusu kwa nusu kila kitu.

Mwanamke wa kislam level ingine list ni nyingi sana unaweza kukesha hapa unasoma mpaa asubuhi.

We baki na akili za Paulo mwanamke akatazeme mpira na kupapaswa uwanjani na kila mtu 😁 😂😬
 
We baki na akili za Paulo mwanamke akatazeme mpira na kupapaswa uwanjani na kila mtu [emoji16] [emoji23][emoji51]
Nyie ndo tunao walia wake zenu daily na vikofia vyenu kichwani. Kujifanya swala 5 wahuni tuna soundisha
 
Uislam haumbagui mwanamke bali wanapigia jibu mstari tu, Hivi weye wajua kuwa ni Allah SW mwenyewe aliyeanza kuwabagua hao wanawake?? Ni thawab zaidi mwanamke asipoingia msikitini kuswali.
Swali ni; Je, huko masjid, huyo Allah sw anazichukia hizo sauti za kike au?? Nadhani kuna kasoro flan
Ukitaka kujua munavyowabagua ebu Taja swala ya muislam inakatiahwa na nn
 
Pia ukiristo ni dini ya mtu binafsi, zamani ilikua kuna dini ya Kiislam na uyahudi, ilikua hakuna dini ya Kristo, Kristo imekuja juzijuzi baada ya Yesu kupaa
Afu wanadhani kapaa na msalaba, wamesahau bibilia inawambia aliye tundikwa kwenye msalaba ana lana.

Hivi wazima hawa kweli.

mungu kafa kwa ajili yao, mungu kazaliwa na binadamu, mungu katundikwa kwenye msalaba, mungu kawekwa jela na shetani , yani utachoka afu wanasema wana akili.

Hata beberu anajua kuna Mungu na hafi wala hazaliwi na wao bado tu.
 
Afu wanadhani kapaa na msalaba, wamesahau bibilia inawambia aliye tundikwa kwenye msalaba ana lana.

Hivi wazima hawa kweli.

mungu kafa kwa ajili yao, mungu kazaliwa na binadami, mungu katundikwa kwenye msalaba, mungu kawekwa jela na shetani yani utachoka afu wanasema wana akili hata beberu anajua kuna Mungu na hafi wala hazaliwi na wao bado tu.
Wewe JUMA Mungu wa Kweli umeliwa na huna matumaini ya mbingu jiwe jeusi si Mungu bali Ni jiwe tu Ka Omar alivyokachuchuka
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Uislam unamtukuza mwanamke kivipi wakati ktk nchi zingine hawaruhusiwi hata kutizama mechi ya mpira wala hata kuendesha gari hadi majuzi tu wameruhusiwa nchini Saudi Arabia.

Mwanamke akikutwa anazini ni yeye ndio anauwawa kwa kupigwa mawe huku mwanamume akiachwa asepe.

Ktk nchi nyingi zenye waislamu wengi wanawake hubaguliwa sana kwenye ajira na wengi wa wanaoajiriwa ni wanaume huku mwanamke akifanywa kukaa ndani tu kama mfungwa. Ktk uislam mwanamke ni "Sex Object" tu.

Uislam unamtukuza mwanamke kivipi wakati ktk nchi zingine hawaruhusiwi hata kutizama mechi ya mpira wala hata kuendesha gari hadi majuzi tu wameruhusiwa nchini Saudi Arabia.

Mwanamke akikutwa anazini ni yeye ndio anauwawa kwa kupigwa mawe huku mwanamume akiachwa asepe.

Ktk nchi nyingi zenye waislamu wengi wanawake hubaguliwa sana kwenye ajira na wengi wa wanaoajiriwa ni wanaume huku mwanamke akifanywa kukaa ndani tu kama mfungwa. Ktk uislam mwanamke ni "Sex Object" tu.

Kama hujui Bora uulize kuliko kuandika uongo bila chembe ya Aibu.
Kwanza lzm uelewe kuwa UISLAMU sio UARABU wala SAUDI ARABIA.

Wewe kuutazama UISLAMU kwa kupitia Saudi Arabia au nchi yyt ni sawa na Kuutazama UKRISTO ktk Nchi ya VATICAN au ISRAEL.

Huko wamefunguliwa mashtaka VIONGOZI WA MAKANISA zaidi ya 270 wenye Kesi mbali mbali za UBAKAJI na ULAWITI wa WATOTO WADOGO.
Ushahidi [emoji116]

Sasa je! tuna haki ya Kusema UKRISTO unafundisha Hayo?

Leo ISRAEL ina Mashoga wa kiume Zaidi ya NUSU MILIONI. Na wanaonyesha HADHARANI Bila kificho.

Ushahidi [emoji116]

UKRISTO Ndio Unafunza USHOGA?

Sasa mwarabu akikataza mwanamke asiendeshe gari Vipi uhusishe na UISLAMU?
mwarabu akiamua kupigana Vipi uhusishe na UISLAMU?

Kwanza Una habari waarabu ni ASILIMIA 15% TU YA WAISLAMU DUNIANI?
ASILIMIA 85% YA WAISLAMU DUNIANI SIO WAARABU!!

La mwisho.
Unadai wanawake kwa waislamu ni sex object. Je! Unajua HAKUNA DINI ILIORUHUSU MWANAMKE KURITHI MALI YA MUME ISPOKUWA UISLAMU?
Nionyeshe imani yyt ingine Inayompa haki mwanamke KURITHI MALI YA MUME aliyefariki.

UISLAMU imeweka SURA KAMILI inayohusu HAKI ZA MWANAMKE ktk QURAAN .
Aya hio inaitwa (SURATU NISAA) maana yake (SURA YA WANAWAKE) na Abadan hakuna Aya inayoitwa ya WANAMME!!

INGIA KTK QURAAN Usome HAKI ZOTE ALIZOPEWA MWANAMKE ambazo ABADAN huwezi kuziona au kuzisoma ktk DINI YYT.

Ukiwa hujui ULIZA.
KUULIZA SIO UJINGA Bali Kujenga hoja bila elimu ni Ujinga uliopitiliza.
 
Nyie ndo tunao walia wake zenu daily na vikofia vyenu kichwani. Kujifanya swala 5 wahuni tuna soundisha
Ota wewe labda umekutana na type yako.

Quran ilisha toa jibu zamani sana dogo, mzinufu na mzinifu.

Mzinifu ni ama ni mkristo au kabeba jina tu linalo fanana na Waislam tu 😬 😁😀

Mwanamke Wakislam we umguse mbona kichekesho cha juha hicho.
 
Hata ujidai una msimamo KIASI gani waarabu wanakuachia wewe dini hiyo uendelee nayo japo haina msaada mbele za Mungu wa Kweli
 
Back
Top Bottom