Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,369
- 14,956
Hivyo vitisho ndivyo vinavyokufanya uogope kutafuta njia ya kweli na uzima, fanya maamuzi MUNGU Ni mwema atakulinda tu.
Uturuki Ni nchi ya kiislamu ebu jionee hao mashoga View attachment 1147439
Wewe ni Mpumbavu wala siyo mjinga, kwani huko uturuki wanaishi waislamu tu?!!, Uturuki ipo ulaya na huko kuna muingiliano wa mataifa ya ulaya na hao mashoga unaodai wametoka nje ya uturuki.
Hoja ni ileile kwamba Mapadri wa kikatoliki waliowalawiti wavulana na wanaishi bila kuoa wamechukua fundisho hilo kutoka kwa Bwana Yesu hayo ndiyo madai yao pia mashoga wa ulaya wanadai kuwa Bwana Yesu alifundisha Ushoga na wananukuu maneno ya Yesu kutoka katika injili, mimi binafsi napingana nao kwamba Yesu alikuwa mtaktifu na kamwe hakufundisha huo uchafu, sasa wewe kutokana na upumbavu wako unaungana na hao Mapadri na mashoga kutoa kashfa dhidi ya watakatifu wa Mungu.
Kwa maana hiyo domo lako haliko tofauti na tundu la choo cha stendi kinachopokea kila aina ya uchafu wa wasafiri.
Angalia usije leo hii ukapata laana ya MUNGU.