Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,902
- 95,405
Dish lolote la ft6 ila ft 8 ni nzuri zaidi!Mkuu behaviourist,king'amuzi cha power vu kinafanya kazi ktk dish la media com
Dish lolote la ft6 ila ft 8 ni nzuri zaidi!Mkuu behaviourist,king'amuzi cha power vu kinafanya kazi ktk dish la media com
Hapana na haiweziMkuu behaviourist,king'amuzi cha power vu kinafanya kazi ktk dish la media com
Mkuu hata freesat v7 ina autoroll ya pv, trndberg na biss key tena without internet au kwa uthibitisho zaidi nenda google andika m2n utaona kila kitu.mkuu hii autoroll powervu na tandbeg zinafanyaje kazi(hadi uweke internet au zinakuwa auto kila unapowasha receiver?)
Mtake radhi aselona tafazaliHuyu mleta uzi naona anauelewa mdogo sana wa mambo ya satelite , unamuelewa kwa uandishi wake tu.
Mkuu mbona hata freesat ina hayo yote ?
Hii channel inapiga muziki 24/7 efm akalale. Hii ni noma aiseeeeeKuna channel ya Tanzania ya Dira TV iko satellite ya Africasat 1a @46E (4120V2270 DVB-S2 QPSK).Yaani hii channel ni nzuri sana kwa muziki na nyimbo za dini lakini mbona haipatikani kwenye king'amuzi chochote.
Jaribu kutazama namna ulivyo search channels,sababu kuna option ya FTA/All channels/Radio...hapo select FTA channels.Wakuu leo nimefunga dish kwa kutumia receiver ya gsky v7 na nimefanya kila kitu kama inavyotakiwa ikiwa ni pamoja na kuupgrade software ila channels zote zipo scrambled!!....Tatizo linaweza kuwa nini/wapi?
Uzi wangu naufikisha kwenu kwa wenye maujuzi tukwamuane mana blind search zote azishikiki.. Jinsi ya kutafuta badr 26 E au nilesat 7w.. Je nikiwa dar nitumie saiz gan ya dish
Unatumia king'amuzi gani kupata hii channel au ni dish la kawaida.Hii channel inapiga muziki 24/7 efm akalale. Hii ni noma aiseeeee
EAST TV akalale.
Natumia mwanza cable ambayo malipo yake ni 10,000 kwa mwezi. Situmii king'amuzi mr. Pia hawa jamaa wana radio yao ni shida. Inapiga muziki 24/7 efm akalale. Hata EAST haoni ndaniUnatumia king'amuzi gani kupata hii channel au ni dish la kawaida.
Hapo sawa hata kwa dish la kawaida unaipata vizuri tu.Natumia mwanza cable ambayo malipo yake ni 10,000 kwa mwezi. Situmii king'amuzi mr. Pia hawa jamaa wana radio yao ni shida. Inapiga muziki 24/7 efm akalale. Hata EAST haoni ndani