Tambua uelekeo wa dishi katika satellite za chaneli (picha za madishi)

Dola Iddy

JF-Expert Member
Sep 26, 2014
1,876
2,000
Hapo katika dishi la c band hilo kubwa ni uelekeo wa Azerspsce degree 45 e hapo unapata Clouds tv, Star tv, Channel ten, tv E, Mwangaza na Wasafi tv bila malipo kwa mwezi.

Hilo dishi la kushoto ni uelekeo wa Eutelsat 7 e (Azam tv) Ila ukilizongusha kidogo tu kurudi kushoto ukiwa umesimama mbele ya dish unapata ses 4 degree 5 e zuku na startimes walipo.

Hilo dishi la kulia lenye nembo ya Azam tv ni uelekeo wa Astra 2f degree 28 e ambapo utapata chaneli zwidi ya 100 zikiwa FTA mfano lion tv kwa movies, amen tv kwa mieleka, sport connect kwa michezo mbalimbali, fight tv kwa ngumi tu na nyingine nyingi za bure za watoto comedy ,wanyama nk bila malipo yoyote kwa mwezi

Angalizo: Ili upate chaneli hizi lazima uwe na king'amuzi chochote cha NPEG 4 HD kama ALPHSBOX, FREESAT, ONEAT, STAR SAT nk.

Naimani huu uzi utawasaidia sana wanaopemda kujifunza ufundi wa madishi ambao hawajui satellite ipi dishi lake linaelekea wapi.

Picha zaidi zitafuata.

Mawindo mema!!!

IMG_20191222_153810_420.jpeg
IMG_20191222_153738_658.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Idimi

JF-Expert Member
Mar 18, 2007
13,777
2,000
Kikubwa cha kuelewa kabla hujahangaika na Astra 2F
1. Mawimbi yake (beam) yanapatikana ukanda wa magharibi na kusini magharibi mwa nchi (Mbeya, Iringa, Rukwa, Katavi, Kigoma, Tabora, Kagera na ni KU band.
2. Uelekeo, pale walipo makaburu (ds**), dish lako unaimnamisha kidogo mpaka upate degree 28 East.
Nahangaika na hiyo atsra 28 degree, Iko uelekeo upi!?
Hakuna chanell za mpeg 2 hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlatinoh king

JF-Expert Member
Oct 14, 2015
5,536
2,000
Daaah nyie majamaa ni noma....kweli kila mtu ana kazi yake aisee....... Mi nikawa najua hizo mambo unaset popote pale utakapoziotea frequecy zimekaa poa.....yn nikajua wanavoset huwa wanafanya kuguess tu,,,wakipata panaposhika basi wanaacha hapo hapo!!!! Kumbe kuna kaelimu??? Dah safi sana
Asante kwa elimu hii ndg fundi. Marekebisho kidogo kwenye post yako. Hilo dish kubwa umefunga Azerspace 1@46° East, hii ni C band. Azerspace 2 (Euelsat 38) iko 45° East kwa mfumo wa KU. Ndipo walipo continental.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Idimi

JF-Expert Member
Mar 18, 2007
13,777
2,000
hio sio guess work kaka. Unajifunza kabisa. Mawimbi ya tv hayataki ukosee hata nukta moja. Vinginevyo utadaka kisichotarajiwa ama utakosa kbs kila kitu. Kuna uzi mmoja umo humu uliletwa na member Arselona, ukiusoma tangu mwanzo hadi mwisho utakua mtaalamu wa haya madude.
Daaah nyie majamaa ni noma....kweli kila mtu ana kazi yake aisee....... Mi nikawa najua hizo mambo unaset popote pale utakapoziotea frequecy zimekaa poa.....yn nikajua wanavoset huwa wanafanya kuguess tu,,,wakipata panaposhika basi wanaacha hapo hapo!!!! Kumbe kuna kaelimu??? Dah safi sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
t blj

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
2,795
2,000
Kikubwa cha kuelewa kabla hujahangaika na Astra 2F
1. Mawimbi yake (beam) yanapatikana ukanda wa magharibi na kusini magharibi mwa nchi (Mbeya, Iringa, Rukwa, Katavi, Kigoma, Tabora, Kagera na ni KU band.
2. Uelekeo, pale walipo makaburu (ds**), dish lako unaimnamisha kidogo mpaka upate degree 28 East.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa maelezo mazuri ila nadhan kwenye sat finder ndo nimezingua, mana Nina Moja digital display haionekani ku respond vizuri kwa signals za mpeg 4, japo yenyewe Imeandikwa Ina uwezo wa mpeg 4
Hivi strong 4522 ni mpeg 4?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Promenthous

Senior Member
Apr 2, 2013
160
225
Hapo katika dishi la c band hilo kubwa ni uelekeo wa Azerspsce degree 45 e hapo unapata Clouds tv, Star tv, Channel ten, tv E, Mwangaza na Wasafi tv bila malipo kwa mwezi.

Hilo dishi la kushoto ni uelekeo wa Eutelsat 7 e (Azam tv) Ila ukilizongusha kidogo tu kurudi kushoto ukiwa umesimama mbele ya dish unapata ses 4 degree 5 e zuku na startimes walipo.

Hilo dishi la kulia lenye nembo ya Azam tv ni uelekeo wa Astra 2f degree 28 e ambapo utapata chaneli zwidi ya 100 zikiwa FTA mfano lion tv kwa movies, amen tv kwa mieleka, sport connect kwa michezo mbalimbali, fight tv kwa ngumi tu na nyingine nyingi za bure za watoto comedy ,wanyama nk bila malipo yoyote kwa mwezi

Angalizo: Ili upate chaneli hizi lazima uwe na king'amuzi chochote cha NPEG 4 HD kama ALPHSBOX, FREESAT, ONEAT, STAR SAT nk.

Naimani huu uzi utawasaidia sana wanaopemda kujifunza ufundi wa madishi ambao hawajui satellite ipi dishi lake linaelekea wapi.

Picha zaidi zitafuata.

Mawindo mema!!!

View attachment 1300184 View attachment 1300185

Sent using Jamii Forums mobile app
Habari Kiongozi, Naweza kupata Intelsat 22, 72.1°E na Apstar 7, 76.5°E kwa kutumia LNB moja? na kama haiwezekana naweza nikafunga LNB 2 kwenye dish moja ili nizipate?
 
Elungata

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
37,167
2,000
Nini tofauti ya kutumia satellite meter kuweka dish,na kuweka dish kwa kukisia kisia,,,?
 
BENNICK

JF-Expert Member
May 2, 2013
619
1,000
Habari Kiongozi, Naweza kupata Intelsat 22, 72.1°E na Apstar 7, 76.5°E kwa kutumia LNB moja? na kama haiwezekana naweza nikafunga LNB 2 kwenye dish moja ili nizipate?
Hizo (Apstar 7 na IS 22) ziko mbali, huwezi kupata kwa lnb moja,kata scalar ring yako kisha utaifunga 72.1e upande wa chini. Ila Apstar na Thaicom (76.5 na 78.5) utazipata kwa LNB moja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SuperImpressor

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
1,444
2,000
Asante kwa maelezo mazuri ila nadhan kwenye sat finder ndo nimezingua, mana Nina Moja digital display haionekani ku respond vizuri kwa signals za mpeg 4, japo yenyewe Imeandikwa Ina uwezo wa mpeg 4
Hivi strong 4522 ni mpeg 4?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sat finder yangu inazinguaga sana kwenye channel za continental hata kabla hawajahamia Azerspace 2 45°E lakini hizo zingine ni kugusa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom