Ulimwengu wa FTA Satellite TVs


Arselona

Arselona

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Messages
639
Likes
19
Points
35
Arselona

Arselona

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2011
639 19 35
Habari wana JF,

Baada ya tathmini ya muda mrefu kuhusu masuala ya Sat tvs na jinsi wtu wanavyohangaika kutwa kucha kutafuta elimu hiyo, nimeona mimi nami kuanzisha mada hii ili niweze kuwafahamisheni kidogo ninachoelewa kuhusu masuala ya sat tv.

Kwa uzi huu utajishughulisha zaidi na sattelites gani zinapatikana maeneo yetu, jinsi ya kuweka sat dishes na sizes zake.

Habari zaidi, soma=>https://www.jamiiforums.com/threads...jia-ya-kuepuka-visimbusi-vya-kulipia.1022441/

Tubadilishane Utaalamu wa kufunga satellite dishi 1 lnb 6
 
Arselona

Arselona

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Messages
639
Likes
19
Points
35
Arselona

Arselona

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2011
639 19 35
Kaka mm kero yangu ni e tv bas. Na2mia ku band ila imekuwa scrambled xo utansaidia ? Cjachek ww e mda mref
kama shida yako ni wwe kuna uwezekano wa kupata channel nyingine yenye full wwe kwenye sat w3c 16 deg east ku band
 
Mgjd

Mgjd

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2012
Messages
431
Likes
20
Points
35
Mgjd

Mgjd

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2012
431 20 35
kama shida yako ni wwe kuna uwezekano wa kupata channel nyingine yenye full wwe kwenye sat w3c 16 deg east ku band
Maana yake ugeuze dish? Na kama utageuza si ndo utakosa Local chnls? Au kuna jinsi nyingine ya kufunga Ku.?
 
Mgjd

Mgjd

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2012
Messages
431
Likes
20
Points
35
Mgjd

Mgjd

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2012
431 20 35
Lengo la thread hii ni mahususi kwa fta tv tu na c paytv/encrypted tvs.
Nina shda ya kupata Star tv, Tbc,na chnl ten. Nimejaribu kugeuza Fb(kibao) ili kuset kwny Horntal labda ningepata,lakini sikufanikiwa. Nakosea kitu gani? Lnb nyingine za Aljazeera,Kenya na Emmanuel zote zinafanya kazi. WHAT MIGHTY BE THE PROBLEM.?
 
LEGE

LEGE

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Messages
4,989
Likes
5,579
Points
280
LEGE

LEGE

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2011
4,989 5,579 280
Mkuu hii kitu huwaga naitafutaga sana.

Mimi nadhani ungeanza kwanza kumwaga elimu kuanzia kwenye satelite zipo ngapi? Majina yake na zinapatikana wapi? Na je kama ukitaka kuipata dishi lako ulitege vipi?

Ukisha funguka hapo kwenye aina ya satelite pia ufunguke ni zipi? Fta chanel zinapatikana. Ukisha maliza hapo uje upande wa hizo sijui KU na LNB kazi zake na uwezo wake je ni ipi inaweza kunasa satelite fulani.

Pia uzungumzie jinsi ya kuziset ili ziweze daka chanel fulan.

Nadhani ukidadavua hayo yote kwa kina utakuwa umemaliza njaa ya wengi hapa jamvini.

Upande wa receiver au decoder liwe somo la mwisho kabisa.
 
LEGE

LEGE

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Messages
4,989
Likes
5,579
Points
280
LEGE

LEGE

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2011
4,989 5,579 280
Ingekuwa vizuri zaidi tunge jadili namna ya kutumia decoder ya Avata na kupata channel za DSTV
mkuu kama unaujuzi wa kutumia hiyo kitu hebu funguka basi maana ni kilio cha watu wengi sana hapa jamvini
 
Arselona

Arselona

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Messages
639
Likes
19
Points
35
Arselona

Arselona

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2011
639 19 35
Hunting fta tv is a spirit. U need to acquire that spirit thru learning step by step on fundamentals of sat installation. B4 hand u need to get familiar with ur stb box {receiver/decoder} i mean u shud be friendy with ur stb box manual handbook.

However u also need to start nabbing simple sats like eutelsat36A/36B, intelsat 906 and intelsat 10 where most sat dishes are positioned.
 
MBUTAIYO

MBUTAIYO

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Messages
549
Likes
58
Points
45
MBUTAIYO

MBUTAIYO

JF-Expert Member
Joined Nov 15, 2010
549 58 45
Asante mkuu kwa kuleta somo.

Unapo tune dish say 36°W au 68.4°E unaanzia wapi na kuelekea wapi? Nikiwa na maana kwamba 0° unaazia wapi na unaelekea horizontally au vertically?

Maana wengine tumeonyeshwa tu kwamba ukitaka station fulani dish linaelekea mashariki au kaskazini halafu unazungusha zungusha horizontally na vertically hadi unapata signal, hii imekuwa ni kubahatisha bahatisha na inachukua muda mwingi.

Nijuze tafadhali.
 
Arselona

Arselona

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Messages
639
Likes
19
Points
35
Arselona

Arselona

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2011
639 19 35
Distant learning inahitaji kwanza kuwa na dish ambalo tayari lipo positioned let say intelsat906-c,liangalie kwa kujifunza ikibidi chukua picha kwa pembeni(lateral view), weka alama kwenye nut inayoshikilia mabomba mawili nyuma ya dish (alama iweke pale bomba la chini linapoishia) ss unaweza kulichezea dish unavyotaka kwani alama ulizoweka zitakuwa ref. yako.

Kama ndo kwanza unaanza pima 30cm kutoka pale nguzo ya nyuma inapoishia, urefu huu utakuwa wa bomba linaloingia kwenye nguzo ya nyuma kutokea juu na ifunge bolt .

Funga lnb yako ya cband kwenye mstari no 36 na hakikisha umeweka neflon(ki2 kama sabuni) ndani ya lnb. Fungua receiver yako tafuta window ya intallation setting. Ntaendelea nikipata muda
 
MBUTAIYO

MBUTAIYO

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Messages
549
Likes
58
Points
45
MBUTAIYO

MBUTAIYO

JF-Expert Member
Joined Nov 15, 2010
549 58 45
Arselona

Haya mkuu, asante,

Nakusubiri.
 
Last edited by a moderator:
LEGE

LEGE

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Messages
4,989
Likes
5,579
Points
280
LEGE

LEGE

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2011
4,989 5,579 280
Mkuu vipi? Tena mbona kimya sasa wanafunzi tushafika kwa darasan mda mrefu tukikusubiri tuendelee na somo letu.
 
Elijah

Elijah

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2012
Messages
1,670
Likes
132
Points
160
Elijah

Elijah

JF-Expert Member
Joined May 28, 2012
1,670 132 160
mkuu hebu anza na introduction za haya mavitu,aina za dishes,recivers,decorder na ubora wa kila kinoja,fullm installation natakiwa niwe na gadgets zip nk
 
Arselona

Arselona

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Messages
639
Likes
19
Points
35
Arselona

Arselona

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2011
639 19 35
Samahani sana ndugu zangu nilikuwa tatizo la kiufundi modemu yangu iliharibika kuniwia vigumu kidogo kuwa online. Aidha iliniwia vigumu kutumia simu yangu.

Sasa tatizo limekwisha leo na nimerudi tena maeneo angalau umeme si jambo la anasa tena. bila shaka zoezi nililowapa la kuzizoea receivers/decoder zenu limekamilika.

Kwa hiyo kesho mjiandae kwa somo la kuinstall
satellite intelsat 906 cband (zinzpopatikana tvs za bongo).Vifaa vinavyohitajika ni receiver, ungo wa cband ft6+, lnb cband, cable wire, cable pins, spanners na ruler. 2taonana kesho, byeeeeeeeeeeeeeeee
 
E

Elai

Senior Member
Joined
May 26, 2011
Messages
148
Likes
0
Points
33
E

Elai

Senior Member
Joined May 26, 2011
148 0 33
Dish langu ni la futi 6, LNBF ni C-Band, Receiver ni media Com MFT 910+New. Nilifanikiwa ku-install local channels ITV(na ndugu zake), Star TV,TBC1. Tatizo radio zake sizipati? Pili, nimenunua LNB ya pili C-Band, naomba kanuni za kuifunga na frequency zilizo upande mmoja na aljazeera. Tatu, ninashindwa kupata channel ten. Ahsante.
 

Forum statistics

Threads 1,237,082
Members 475,401
Posts 29,277,620