Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Uzi wangu naufikisha kwenu kwa wenye maujuzi tukwamuane mana blind search zote azishikiki.. Jinsi ya kutafuta badr 26 E au nilesat 7w.. Je nikiwa dar nitumie saiz gan ya dish
 
Wakuu leo nimefunga dish kwa kutumia receiver ya gsky v7 na nimefanya kila kitu kama inavyotakiwa ikiwa ni pamoja na kuupgrade software ila channels zote zipo scrambled!!....Tatizo linaweza kuwa nini/wapi?
 
Habari wakuu! Ninahitaji Supplier and Installer (aliyebobea) wa FTA Satelite Dishes aliyeko Dsm Tz. Please PM me.
 
Kuna channel ya Tanzania ya Dira TV iko satellite ya Africasat 1a @46E (4120V2270 DVB-S2 QPSK).Yaani hii channel ni nzuri sana kwa muziki na nyimbo za dini lakini mbona haipatikani kwenye king'amuzi chochote.
 
Hii channel inapiga muziki 24/7 efm akalale. Hii ni noma aiseeeee
EAST TV akalale.
 
Wakuu leo nimefunga dish kwa kutumia receiver ya gsky v7 na nimefanya kila kitu kama inavyotakiwa ikiwa ni pamoja na kuupgrade software ila channels zote zipo scrambled!!....Tatizo linaweza kuwa nini/wapi?
Jaribu kutazama namna ulivyo search channels,sababu kuna option ya FTA/All channels/Radio...hapo select FTA channels.
 
Unatumia king'amuzi gani kupata hii channel au ni dish la kawaida.
Natumia mwanza cable ambayo malipo yake ni 10,000 kwa mwezi. Situmii king'amuzi mr. Pia hawa jamaa wana radio yao ni shida. Inapiga muziki 24/7 efm akalale. Hata EAST haoni ndani
 
IMG_3876.jpg
IMG_3877.jpg

250,000 NAUZA WAKUU
 
Back
Top Bottom