Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Fanya kama nilivyosema sogeza pembeni kushoto hiyo LNB.

Poa kiongozi nameshaona kuna dalili ya kuzipata maana niingiza hyo frq kweny rcv ya mpg2 naona mstari wa unachezacheza asante kiongoz kwa maujuz haya ntakupa mrejesho jioni nikianza shughuli.
 
Habari zenu wakuu hivi ni satellite gani nzuri FTA yenye channels za movies, music, documentary, cartoons and most of all sports naweza kupata kwa dish dogo la Azam tv? Niko Dar natumia receiver ya Qsat Q13G natanguliza shukrani.
 
sahau kabisa kuhusu hayo unayo yataka... usiweke tamaa ya kupata chanel ambazo ziko fringe zaidi kwa dish size io...

baki na azam mana ndio size yako.
 
Poa kiongozi nameshaona kuna dalili ya kuzipata maana niingiza hyo frq kweny rcv ya mpg2 naona mstari wa unachezacheza asante kiongoz kwa maujuz haya ntakupa mrejesho jioni nikianza shughuli.

ziko nyingi sana wewe unaitaka ipi mana sizani kama kunamtu anaweza kukutajia zote humu ndani ingekua vyema na wewe ungejishughulisha kiwinda kidogi.
 
Mimi ninazopata ni hizi
Eutelsat w2m @16E
Eutelsat w2a @10E
Eutelsat w3a @7E
Astra 1E @4.8E
Turksat2A @42E
Eutelsat w4 @36E
Nilesat @7W
Amos 5 @17E
Yamal 402 @54.9E
NSS 12 @57E
Intelsat 17 @66E
Intelsat 20 @68.5E
Eutelsat 70B @70E
ABS2 @75E
Aptstar 7 76.5E
Kama kuna nyingine naweza pata
 
Habari zenu wakuu hivi ni satellite gani nzuri FTA yenye channels za movies, music, documentary, cartoons and most of all sports naweza kupata kwa dish dogo la Azam tv? Niko Dar natumia receiver ya Qsat Q13G natanguliza shukrani.
Nilesat @7W kwa dish hilo unahitaji high gain lnb au ongeza dish kubwa la 135cm
 
Hiyo inverto ultra single inapatikana duka gani hapa dar na kwa kiasi gani kaka mkubwa robbyl? Nikikosa hiyo ile stargold haifai?
 
Hiyo inverto ultra single inapatikana duka gani hapa dar na kwa kiasi gani kaka mkubwa robbyl?
Mi niliagiza nje kwa sh elfu 40 ila siyo lazima utumie hiyo tu nenda kariakoo duka linaitwa kwa levi lipo mtaa wa livingstone ana lnb kibao tu mwambie akupe yenye noise figure chini ya 0.3dB na gain zaidi ya 60bB ila kama utakosa hizo nunua dish kubwa la 135cm sh laki na 20 na utumie lnb ya kawaida
 
Mimi ninazopata ni hizi
Eutelsat w2m @16E
Eutelsat w2a @10E
Eutelsat w3a @7E
Astra 1E @4.8E
Turksat2A @42E
Eutelsat w4 @36E
Nilesat @7W
Amos 5 @17E
Yamal 402 @54.9E
NSS 12 @57E
Intelsat 17 @66E
Intelsat 20 @68.5E
Eutelsat 70B @70E
ABS2 @75E
Aptstar 7 76.5E
Kama kuna nyingine naweza pata
Mkuu,uelekeo Wa Nilesat 7w kwa dishi la futi 6 kuna uwezekano wa kuongeza sat nyingine? ni zipi?
 
Mimi ninazopata ni hizi
Eutelsat w2m @16E
Eutelsat w2a @10E
Eutelsat w3a @7E
Astra 1E @4.8E
Turksat2A @42E
Eutelsat w4 @36E
Nilesat @7W
Amos 5 @17E
Yamal 402 @54.9E
NSS 12 @57E
Intelsat 17 @66E
Intelsat 20 @68.5E
Eutelsat 70B @70E
ABS2 @75E
Aptstar 7 76.5E
Kama kuna nyingine naweza pata

nawezaje pata hii Eutelsat w2m @16E
 
katika kuchangia mawazo mafundi wenzangu,uelekeo wa nilesat 7w kwa dish la ft 6 na hiyo nilesat ikiwa ni prime focus waeza ongeza lnb 3,sirius 4.8E,ukapata tv congo,france 24 etc,chini yake waongeza eutelsat w3 7E,ukapata rts,pia kwa chini zaidi waongeza amos 5 @ 17E ukapata local channels package ya continental,na hata unapokuwa na ku dish ya 135cm yote pia hayo yawezekana wandugu,ila eutelsat w3 huwa yasumbua kidogo maana signal iko dhaifu
 
nawezaje pata hii Eutelsat w2m @16E

Ingia hapa http://www.dishpointer.com/
Weka location Dar es salaam hafu chini chagua satellite unayoitakahalaf7 bofya go utapata details za uelekeo ilipo. Angalia hiyo picha hapo. Set elevation angle kwenye dish na 61.7 na uelekeo wa kulia au kushoto (azimuth angle) Ni 285 unaweza tumia compass siku hizi hata smart phone zinayo. Ingia pia hapa http://www.satbeams.com/footprints kuangalia footprint ya hiyo satellite unayoitaka kama inapatika na dar angalia picha hapo ukibofya kwenye hiyo beam husika utapata pia details za uelekeo ilipo na hata ukubwa wa dish unotakiwa kwa case yaho beam inayopatikana ni hiyo ya Sub-Saharan kisha nenda hapa http://www.lyngsat.com/Eutelsat-16A.html utapata transponder zote za kwenye hiyo sat angalia beam unayoitaka hapa unaweza kutumia hii 11554H30000 kutafutia nimetoa haya maelezo ni kwa kuyafuta satellite yoyote ile
Capture.jpg
 
Attachments

  • 1434601915089.jpg
    1434601915089.jpg
    41.6 KB · Views: 218
  • Capture.jpg
    Capture.jpg
    94.1 KB · Views: 191
katika kuchangia mawazo mafundi wenzangu,uelekeo wa nilesat 7w kwa dish la ft 6 na hiyo nilesat ikiwa ni prime focus waeza ongeza lnb 3,sirius 4.8E,ukapata tv congo,france 24 etc,chini yake waongeza eutelsat w3 7E,ukapata rts,pia kwa chini zaidi waongeza amos 5 @ 17E ukapata local channels package ya continental,na hata unapokuwa na ku dish ya 135cm yote pia hayo yawezekana wandugu,ila eutelsat w3 huwa yasumbua kidogo maana signal iko dhaifu

ongeza na arabsat inaingia apo.
 
Back
Top Bottom