Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Wadau msaada kuhusu Parksat 1R je kwenye C band inawekwa neflon?maana nilikuwa naitumia nikahamia Arabsat 5C kwa ajili ya Irib!sasa Irib zimehama hapo nami nahamia Parksat 1R
 
yap kaka,waweza ku combine lnb zaidi ya moja na ni kama ifuatavyo,kwanza hakikisha ukisimama mbele ya dish,mikono ya dish imefungwa mmoja kushoto,mwingine kulia na wa mwisho umefungwa mbele yako yaani sehemu ya mbele ya dish,wakati huo lnb ya prksat iwe ndio prime focus,huo mkono wa kushoto wa lnb huko ndo unaweza kuwekea lnb nyingine,ila kwa urahisi funga flat bar kutoka kwenye scallar ring ulipofungwa mkono wa kushoto na iwe imenyooka moja kwa moja,usiipinde kama mkono wa dish ulipoenda kufungwa,katika hiyo flat bar sasa unaweza ukatafutia hiyo arab ya 20',amos 5 @ 17',eutelsat w3 @ 7',na hata ses 5 @ 4.8',zote hizo ni east directions,jaribu kaka
 
Tuwekee picha tafadhali tuone
 
Tunaomba na tp za kutafutia zaid kiongoz
 
Ahsate Best sasa kama unaweza kutuwekea picha ya hiyo flat bar na namna hizo lnb zinavyo pangwa boss tungefurahi sana
 
Ptv inaonesha game tatu za epl jumamosi, mbili Jumapili na moja jumatatu usiku, NB; kukiwa na mechi yoyote ya cricket basi sahau EPL kwa muda huo..
 
matoleo mengi ya wiztech yana matatizo hasa unapozitumia kwa ajili ya chanel za continental sauti inakatakata sana,mfano jana kuna jamaa kanununua wiztech9090 nilipoifunga nilikuta sauti inakata kata
 
kweli hyo 9090 HD hata mm nilimfunia mtu juzi ila channel iliyo kuwa inakata sana ni morning star.
 
Back
Top Bottom