Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Wapendwa hapa tupo shuleni ila ili Darasa limepoa kabisa sasa na leta swali kwenu Wadau!Channel hizi zilizofungwa na biss keys pekeee ndizo ambazo tunaweza kuona kwa kuedit keys?
 
Mnisaidie ktk eneo hili,ninazo receiver mbili QSat 13 G na Qsat 15 G. Qsat 15 ime expire account yake 25 Jan 2015. Zote zimewahi tumika huko nyuma kidogo.

Kwa mara ya kwanza nilikinunua kupitia taarifa za rafiki yangu aliyetoka navyo uchina.

Ningependa sana kuzibua account zake ili nizitumie tena. Lakini sasa, Kwa imani yangu,nashindwa kujua uhalali wa kuangalia pay channels kupitia receiver hizi japo zinaonekana kuenea Afrika yote.

Naomba mnisaidie katika eneo hilo. Ningependa zaidi mawakala wa biashara hii wanifafanulie "legal status" ya kazi za receiver hizi.
 
For soccer free all great european leagues Epl La liga BBundasliga and Seria A go For irib package @ arabsat 5c and movies nilesat @ 7w

They are definately alternative for dsthieves

Nisaidie ndugu namna ya kuipata hyo receiver ya irib
 
  • Siyo receiver ya irib, Bali ni receicer yeyote ya MPEG4 inayo edit BISS KEY, Pamoja na Dish la Ft 6
  • Mfano WIZTECH , QSAT, STRONG STR etl

Dish n lazma liwe la fut 6 au la azam linafaa, na bei ya hvyo ving'amuz n tsh ngap mwl?
 
Nimefunga continental na receiver yake aina ya CDM03.Natamani sana kuongeza sat ya Astra hapo hapo kwa continental,vipi wadau wa fta chaneli zitaingia kwenye hii receiver?
 
Nimefunga continental na receiver yake aina ya CDM03.Natamani sana kuongeza sat ya Astra hapo hapo kwa continental,vipi wadau wa fta chaneli zitaingia kwenye hii receiver?

Kama ni MPEG 4 zinaingia vizuri. Mi rcv za continental sizipati vzr Specification zake.
 
Jamani wakuu star tv na tbc zmekua ngumu sana kuzipata nifanyaje niweze kuzipata natumia media com mpeg2 na dish la ft 6
 
Back
Top Bottom