Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,876
Hahahah, wakati nasoma nilikuwa na tabasamu kubwa, nikiwaza mimi sijakumbana na vitu hivyo; lkn nikaja kukumbuka kaiincident kadogo ambapo nilisifia game moja more than 13 yrs ago. The guy asked me, "kwani siku nyingine huwa sio tamu?" Nikashtuka, maana kiukweli huwa ni tamu but l dont know what happened that day hadi nikapagawa vile. Nilimjibu tu siku hazilingani, na akaelewa.
Ila sidhani kuna jipya litakalonishtua hadi nijiulize amejifunzia wapi (umri unahusika), ila namna unayompenda mtu ina nafasi kubwa sana ktk kuridhishana kimapenzi kuliko hata style, this is what l came to learn over time.
.......mnhhhh, Kaunga ulikuwa wapi siku zote lakini naweeee?
Last edited by a moderator: