Haya leta uzoefu wako. boifrend alishawahi kuja na maujuzi mapya? hukujiuliza kayapatia wapi?
.....huyo bwana hafai hata kupewa pole, yeye anadhani #RoundAbout zote ni Keep Left tu? Hahahahaaa
Nimebadili mawazo ujue...
mie nipo bhana na siwezi kukupotezea, ntaanzaje kwanza lolNimekukosea nini, mbona umenipotezea? Ulikuwa wapi siku zote?
Yani unanipaga raha sana, vile tu hujui.
Kongosho ndo lipi hilo?Ujue hata ukimbania ataenda wafurahisha wengine akuachie hivyo hivyo unashangaa shangaa tu.
Mie bana nitajilia tu kwa kweli, maisha yenyewe yako wapi ya kukaa unahoji kila kitu, kama kajifunzia kwenye video au jf jukwaa la chini?
Huwa nalisikia tu, kuna jukwaa huko chini full ma King Kong, watu wanafundishana kurina asali bila mizinga wala nyuki.
Sina access, ila najua lipo.
Utapigwa-Amri ya Pinda
Kwani zombie yuko huku?
Usimtaje jamani, asije akaijua jeiefu na kujiunga
NAskia panatisha sana, kuna shuhuda aliwahi niambia, afu walimu hawaruhusiwi ujue.