Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,329
- 17,855
Wamenipokonya mjukuu wangu na utiifu wake........
kidude kimebaki lakini? hapo wanakuwa hawajakuharibia maisha....dah
Wamenipokonya mjukuu wangu na utiifu wake........
Mbu usije kucheza na mimi, una mikono michafu.
...ha ha ha, Mwj1 huyo babu yake na laana zake hazivuki bahari hizo....nitakuhamishia huku!
Mila zake za uchuro uchuro, eti athaminishe kwanza khaaa? Kibabu kinataka kukiuka mila na desturi kukidhi
ukware wake, he he he!...halafu usitake nikutolee siri yako ulipokuwa 'umefichwa' masaa 24 na ushee yaliyopita! Kigoli wa Kindengereko anataka mchezo?
Ultrasound haiongopi, ...huyu babu alikuwa wapi siku zote?
Mbu usije kucheza na mimi, una mikono michafu.
ha ha ha! ...'three fingers are pointing back at you!'
forget the bite, I Sing for You!...
Mimi nilikua altareni......
................uko na kisahani chenye pete zenye baraka au?
kidude kimebaki lakini? hapo wanakuwa hawajakuharibia maisha....dah
Hebu sema SUU!Kama vile mnaanza kuelewana vile!!! sa sijui itakuwa "Babu Mkwe"?
Nitakusemea.........!Mimi nilikua altareni......
Am watching!................uko na kisahani chenye pete zenye baraka au?
Mgomvi wako unamjua, na unajua lazima ushindweHebu njoo pm kuna zawadi zako.....(hapa mgomvi wangu ni babu au umbu?)
Inauma sana asee...... inakera sana!lakini kweli aisee.... kale kadodoma kakiondoka ndio maisha yanakua nehi che!!! babu mung'unya tu vilivyobaki:A S 114:
Hahahaa hayo macho babu ntayatia pilipili sasa maana naona umezidi unoko!! (Hapa nawatengenezea njia wadogo zangu mimi ambao ni wajukuu zako waliobaki!!)Mi nawaangalieni tu.........
Hahahaa hayo macho babu ntayatia pilipili sasa maana naona umezidi unoko!! (Hapa nawatengenezea njia wadogo zangu mimi ambao ni wajukuu zako waliobaki!!)
Yaani we MTM uliona lazima hii thread ifikishe post 490 na hiyi ya 490 iwe yako!! Mwone vile kadodoma mwenyewe lol
Hahahaa hayo macho babu ntayatia pilipili sasa maana naona umezidi unoko!! (Hapa nawatengenezea njia wadogo zangu mimi ambao ni wajukuu zako waliobaki!!)
Mate.......... achana na mambo ya barabara, msome huyu binti hapa chini... (binti kwa mujibu wa avatar yake)He bidada, kumbe we ni kontrakta wa barabara??? sasa mbona hukusema?? magufuli anatafuta kweli loko kontraktas awape miradi ya barabara na njia............:wof:
Nilikuwepo tu mpenzi wangu ila leo nimeamua nikutolee uvivu sweetie, chukua yote maswali badae