aisee.......Mate.......... achana na mambo ya barabara, msome huyu binti hapa chini... (binti kwa mujibu wa avatar yake)
Jamani nyie msije jikuta mnaanza kupendana kiukweli kweli kupitia keyboard am kidd😛hone:ing
Msinisahau katika ufalme wenu
Ahsante (naogopa kuitika marahaba).........kuna nafasi moja iko wazi....karibubabu nipepita kukusalimia
Inaumisa sana aiseee!aisee.......
Halafu wewe....!MTM hizo aisee zako zinanivunja mbavu, kama nakuona vile na mkono kidevuni, lol!
Niko nawaangalia tu, bado sijatema mate chini.........Jamani nyie msije jikuta mnaanza kupendana kiukweli kweli kupitia keyboard am kidd😛hone:ing
Msinisahau katika ufalme wenu
:A S 114::A S 114::second:Hii nzuri sana, ila kuulizwa ulikuwa wapi siku zote ndio nzuri zaidi
Nampenda kiukweli, am not kidding.!
Mkuu na moskwito Mbu, kwa heshima yako nimeona niirudishe hii zilipendwa.... labda kizazi kipya kinaweza kutupa fikra mpya....
NB.... TAHADHARI: kizazi kipya hakina uhusiano wowote na bongo fleva wala bongo movie, wala kata K.
cc: Munkari, Heaven on Earth, ram, snowhite, miss chagga, Madame B, Zinduna, Mentor, Nicas Mtei, Paloma, watu8, Vin Diesel, Excel, cacico, BADILI TABIA, brenda18, kichunafk, KOKUTONA, KakaKiiza et el et el et el.....
BCC: AshaDii, Kaunga, King'asti, Mwali, Kongosho, gfsonwin, Mwali.
Ulikuwa wapi siku zote???
babu Asprin, haujambo?
kwanza nikuulize, bibi yuko wapi saa hizi mpaka uko macho?
asubuhi akija na ujuzi mpya utauliza kweli?
Haya leta uzoefu wako. boifrend alishawahi kuja na maujuzi mapya? hukujiuliza kayapatia wapi?
Mie niko huku Ziwa Nyasa nalinda mpaka wetu na Malawi. Nikirudi bibi yako hajajifungua, nakuuzia mimba..... Lazima ihusishe DNA.