Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,272
- 96,398
- Thread starter
- #541
Ha ha ha haaaa haaa, ndo maana nina kila sababu ya kukona....Nielekeze njia nije.
Hata sijui nilikuwa wapi siku zote, Ukinionea Bishanga mwambie namtafuta, nina neno naye
Boko Basihaya, fesibuku pub kaunta ya juu. Uzuri na Zinduna anakuja na mkodobwe wake... incase ukileta zako..... usisahau kuja without.
Bishanga? Hapana asee, si unajua siku hizi amekuwa prezidaa?
Last edited by a moderator: