Ulikuwa wapi siku zote...? Eh...?!

Ulikuwa wapi siku zote...? Eh...?!

Mwenzio mie nilipigwa chini na lijamaa nikawa kila siku naweka huu wimbo nabwaga kilio cha mbwa mwizi na kuona kama nukta za maisha yangu zimesimama ...duh maisha haya bwana ..kumbe mungu yeye alikuwa na mpango maalum na mie ...
mbona unapotea kama msimu wa senene zinatokea mara moja kwa mwaka

khaaa! pole aisee! hapo red hapo bora niseme majukumu tu, maana nikitaka kuingia deep sana Mbu anaweza akacancel resi zake zote za kutafta mchumba.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
On Serious note ........................Klorokwini nahitaji ku'onana' nawe!! lol
(I hope Mbu hatoiona hii!!!).......seriously

hehehe nikiwa kama lawyer wa Mbu, proposal ya Mbu nimeicancel until further notice!

To MJ1: Kama umefikiria na kuamua bora klorokwini kuliko Mbu nadhani hujafanya uamuzi mbaya kabisa MJ1, enhee tukutane wapi?

LOL...e bana wee...nitakuwa sikulipi sasa.
Uwakili gani huo sasa? kwenye ku sign Pre-nuptials papers na Mwj1 usijenihariba tu.

Haya, ruksa mjadiliane faragha,...namuamini!
Hizo vurugu zenu zanifanya nijiulize; Mlikuwa wapi siku zote!
 
heheheh ngoja nijiweke pembeni nione hili sakata la Mbu linaelekea wapi...
Sasa MJ1 weekend yote hii wewe uko kwenye laptop?

...1stLady 20% burudika na 20% huyo...
nakula futari mida hii, funga yangu imekubaliwa..
 
Last edited by a moderator:
........This is for you Mbu.........(I hope hutoniambukiza Malaria unifanye nimtafute Klorokwini au FT)
YouTube - ‪Laila Rashid - Maneno Ya Mkosaji (Part 1)‬‏

e bana ee, mambo ya mwambao yeshaanza... raha raha tu...!
Thx luv xoxo

Khaaa! kile kikao chetu mimi na wewe kimeghairishwa? all in all, kama mambo yashatulia mimi nilog out nirudi kwenye honeymoon langu na naomba nisitafutwe kwa miezi kadhaa ijayo.

E bana ee...was nice seeing you around.
kila la heri....PM mimi lini utarudi bana, soon nasi tutapotea kwenda https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/143617-kujipendelea-muhimu.html "kujipendelea"
 
[/QUOTE]

Mkuu Mbu haina haja ya PM bana, kwa faida ya wote hapa nazani nitarejea kunako sept kama sio oktoba. mpe salam zangu fellow tablet aspirin bana. Tumeamua tuhubiri mapenzi kwa vitendo sio kuanzisha sredi tu lol
 
Khaaa! kile kikao chetu mimi na wewe kimeghairishwa? all in all, kama mambo yashatulia mimi nilog out nirudi kwenye honeymoon langu na naomba nisitafutwe kwa miezi kadhaa ijayo.
Haha bado kipo, agenda tu ndo zimebadilika lol,,,,,,,,,,,,,,,,,,,ndo nini hadi unaenda hanemuni hatupeani taarifa 'shemeji' lol
 
Mkuu Mbu haina haja ya PM bana, kwa faida ya wote hapa nazani nitarejea kunako sept kama sio oktoba. mpe salam zangu fellow tablet aspirin bana. Tumeamua tuhubiri mapenzi kwa vitendo sio kuanzisha sredi tu lol

eeeehhh!!!, ni likizo ya maana kabisa! haya bana...madhali safari hii umeaga basi wende salama.
 
Hahaaaaaaaaa,hiyo nafasi nyeti sana lazima nianze mazoezi ya kutengeneza mwili naweza kujipatia dumu siku iyo.
tarehe hamjapanga bado?

Chauro........weekend hii imekuwa ya neema kwangu..na huzuni kwa Babu lol
Usijali kuna nafasi ya washika shela nyuma lol
 
Hahaaaaaaaaa,hiyo nafasi nyeti sana lazima nianze mazoezi ya kutengeneza mwili naweza kujipatia dumu siku iyo.
tarehe hamjapanga bado?

.........................hahahaha we bwana usijali..........hutopishana sana na mie lol Tembo mtoto (tuombe Mbu asijerudi reverse akijaniona live) lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom