Ulikuwa wapi siku zote...? Eh...?!

Ulikuwa wapi siku zote...? Eh...?!

Poor me nilisahau kuwa kiswahili cha Haya ni YES kwa kiinglish!!

MTM, FT na Klorokwini natamka rasmi........Oh my gosh, oh my gosh, oh my gosh........yehs, yes, yes.......yes Mbu I will marry you if my Babu gives us a permission.

Mambo si haya bana! heheh Acha niwasiliane na wanakamati wa pilau, mkuu Mbu anza kutafuta suti, usije ukatuvalia magwanda ya chadema siku ya halusi.

Kuhusu babu asiwasumbue sana, anapokea rushwa ya pombe.
 
Soledad lyrics

If only you could see the tears in the world you left behind
If only you could heal my heart just one more time
Even when I close my eyes
There's an image of your face
And once again I come I'll relise
You're a loss I can't replace

Soledad
It's a keeping for the lonely
Since the day that you were gone
Why did you leave me
Soledad
In my heart you were the only
And your memory live on
Why did you leave me
Soledad

Walking down the streets of nothingville
Where our love was young and free
Can't believe just what an empty place
It has come to be
I would give my life away
If it could only be the same
Cause I can't still the voice inside of me
That is calling out your name

Soledad
It's a keeping for the lonely
Since the day that you were gone
Why did you leave me
Soledad
In my heart you were the only
And your memory live on
Why did you leave me
Soledad

Time will never change the things you tols me
After all we're meant to be love will bring us back to you and me
If only you could see

Soledad
It's a keeping for the lonely
Since the day that you were gone
Why did you leave me
Soledad
In my heart you were the only
And your memory live on
Why did you leave me
Soledad
 
..........Bahati yako umeniwahi.was about to ask hujaniona unapropose hahahah umejihami. ................Nimekupenda Bure loh!!

...usijali swtheart, we'll soon be dancing 'blindly' to the same tunes...!
Fikiria muziki unavyokusisimua au kukusononesha, ....mapenzi nayo ndio hivyo hivyo!
 
Inawezekana sana tu.
Hakuna kitu mbaya maishani kama kujiwekea limit...
Kila kitu unajibu "sikuambiwa, sikufundishwa," ...akili ni mwamvuli, utapoufungua ndipo utapokukinga mvua!
Ubunifu unaanazia kwa mtu mwenyewe, kisha vionjo vinapatikana kwenye vitabu, semina, sinema, etc...

Kuna mtu nilimwambia kuna juice ya parachichi, embe mbichi na tangawizi...acha aruke kimanga!
Bila kujaribu ataendelea kubisha hainyweki...Chumbani ndivyo hivyo hivyo...
Mke/Mume anayeweka vizingizio eti hakufundwa hivyo, matokeo yake routine zinabakia hizo hizo.

kaka yaani hakuna kitu kibaya na ambacho watu tunajisahau kama kuwa na routined love relationbship...............yaani mtu akishazoea ukitoka kazini anakupokea na glasi ya juice mlangoni.....basi atafanya hivyo kila siku!! ili mradi aliambiwa hiki ni kizuri na mume/ mpenzi atakipenda basi yeye 24/7/365 atakifanya hicho bila hata kukiboresha!! anasahau kuwa anatakiwa kukispice up...kama leo kakupokea na glas ya juice akiwa na khanga, basi kesho akupokee na glasi ya juice in lingerie......kesho kutwa juice inakuwa after the 'service' juu ya kochi ..........au instead of juice basi a kiss............
 
Mambo si haya bana! heheh Acha niwasiliane na wanakamati wa pilau, mkuu Mbu anza kutafuta suti, usije ukatuvalia magwanda ya chadema siku ya halusi.

Kuhusu babu asiwasumbue sana, anapokea rushwa ya pombe.
mh kama hujawa wa kwanza kunitosa Babu akiamka........ukintosa nanulify the acceptance!!
Ninampenda Mbu lakini kwa Babu nina..heshimu!! Bila Babu na Bibi, Mbu asingeni'ona' na kuni'penda'.....lol

MS kahijack account yangu!!
 
Klorokwin kwani mbu amemfungulia moyo MJ1

hahahaah

Hapana Dada yangu mpenzi bali Mbu ameamua kuchakachua penzi lake kwa 'soulmate'wake na kuligawa kwangu!!!
MJ1 hapa ni small house ambayo Big House imekubali niwe promoted....................hahaha mzima lakini?? umepotea!
 
Mbu aksante kwa link............... nimekumbukia jamani Reli ya Kati..mwe!!

halafu unajua kuna maneno yana maana zaidi ya mbili,...reli ya kati ndio nini? LOL...

kaka yaani hakuna kitu kibaya na ambacho watu tunajisahau kama kuwa na routined love relationbship...............yaani mtu akishazoea ukitoka kazini anakupokea na glasi ya juice mlangoni.....basi atafanya hivyo kila siku!! ili mradi aliambiwa hiki ni kizuri na mume/ mpenzi atakipenda basi yeye 24/7/365 atakifanya hicho bila hata kukiboresha!! anasahau kuwa anatakiwa kukispice up...kama leo kakupokea na glas ya juice akiwa na khanga, basi kesho akupokee na glasi ya juice in lingerie......kesho kutwa juice inakuwa after the 'service' juu ya kochi ..........au instead of juice basi a kiss............

mnh,..kaka? ...lol...utazoea tu...ipo siku utaniita Mume wangu,...kuniita kaka itakuwa una disconnect 'stima' sawa na yule mdada kauzu kwenye ile sredi ya Maty...

Klorokwin kwani mbu amemfungulia moyo MJ1

hahahaah

...1stLady bana...mwenye macho anaambiwa tazama?
halafu leo ni sabato, au jua lishazama?
 
Soledad lyrics

If only you could see the tears in the world you left behind
If only you could heal my heart just one more time
Even when I close my eyes
There's an image of your face
And once again I come I'll relise
You're a loss I can't replace

Soledad
It's a keeping for the lonely
Since the day that you were gone
Why did you leave me
Soledad
In my heart you were the only
And your memory live on
Why did you leave me
Soledad

Walking down the streets of nothingville
Where our love was young and free
Can't believe just what an empty place
It has come to be
I would give my life away
If it could only be the same
Cause I can't still the voice inside of me
That is calling out your name

Soledad
It's a keeping for the lonely
Since the day that you were gone
Why did you leave me
Soledad
In my heart you were the only
And your memory live on
Why did you leave me
Soledad

Time will never change the things you tols me
After all we're meant to be love will bring us back to you and me
If only you could see

Soledad
It's a keeping for the lonely
Since the day that you were gone
Why did you leave me
Soledad
In my heart you were the only
And your memory live on
Why did you leave me
Soledad

Dah! senks festiledi! huu wimbo yaaani kuna jamaa niliishi nae getto alikuwa anauplay kila siku mara si chini ya saba, halaf na akienda bafuni anazima redio anaanza kuuimba yeye mwenyewe laivu bafuni. Mwisho jamaa walimpachika jina la soledadi. Umenikumbusha mbali aisee.
 
halafu unajua kuna maneno yana maana zaidi ya mbili,...reli ya kati ndio nini? LOL...

Mwe................mbona kama ni mumw nina hasara...........itanigharimu nirudi shule ya lugha? nakikumbuka nilivyofeli ule mtihani wa kiswahili nloletewa wimbo wa 'Mwanameka'.....mi ctaki.

mnh,..kaka? ...lol...utazoea tu...ipo siku utaniita Mume wangu,...kuniita kaka itakuwa una disconnect 'stima' sawa na yule mdada kauzu kwenye ile sredi ya Maty...

Hahahha...mazoea yana tabu.......but Babu hajatoa idhini so in a mean while you are my Kaka....lol

...1stLady bana...mwenye macho anaambiwa tazama?
halafu leo ni sabato, au jua lishazama?

.............lol
 
Hapana Dada yangu mpenzi bali Mbu ameamua kuchakachua penzi lake kwa 'soulmate'wake na kuligawa kwangu!!!
MJ1 hapa ni small house ambayo Big House imekubali niwe promoted....................hahaha mzima lakini?? umepotea!

hahahah MJ1 umekubali kuwa small house wa Mbu ..dah hii kazi..sina hakika kama bi mkubwa kakubali toka moyoni
mie nipo tu mpendwa mkoloni ameamua kunitumia ipasavyo..missing you big tyme
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
hahahah MJ1 umekubali kuwa small house wa Mbu ..dah hii kazi..sina hakika kama bi mkubwa kakubali toka moyoni
mie nipo tu mpendwa mkoloni ameamua kunitumia ipasavyo..missing you big tyme

Hahaha the deal is not sealed yet.......kuna conditions sweetheart and you know me better............!! am sure atabwaga manyanga.......akisurvive then HE IS A MAN ENOUGH!! lol
 
Dah! senks festiledi! huu wimbo yaaani kuna jamaa niliishi nae getto alikuwa anauplay kila siku mara si chini ya saba, halaf na akienda bafuni anazima redio anaanza kuuimba yeye mwenyewe laivu bafuni. Mwisho jamaa walimpachika jina la soledadi. Umenikumbusha mbali aisee.

Mwenzio mie nilipigwa chini na lijamaa nikawa kila siku naweka huu wimbo nabwaga kilio cha mbwa mwizi na kuona kama nukta za maisha yangu zimesimama ...duh maisha haya bwana ..kumbe mungu yeye alikuwa na mpango maalum na mie ...
mbona unapotea kama msimu wa senene zinatokea mara moja kwa mwaka
 
[/SIZE][/FONT][/COLOR]Mwe................mbona kama ni mume nina hasara...........itanigharimu nirudi shule ya lugha? nakikumbuka nilivyofeli ule mtihani wa kiswahili nloletewa wimbo wa 'Mwanameka'.....mi ctaki.

Hahahha...mazoea yana tabu.......but Babu hajatoa idhini so in a mean while you are my Kaka....lol

.............lol

...lol,....take it easy...! huna haja ya kutembea na kamusi,...Uswazi tunasema ni vijimambo tu.

hahahah MJ1 umekubali kuwa small house wa Mbu ..dah hii kazi..sina hakika kama bi mkubwa kakubali toka moyoni
mie nipo tu mpendwa mkoloni ameamua kunitumia ipasavyo..missing you big tyme

...mnh,...ngoja nikatie udhu..naona ushweitain unanyemelea....
soon more and more people will stirrup some murky water!

MLIKUWA WAPI SIKU ZOTE?
LOL!
 
On Serious note ........................Klorokwini nahitaji ku'onana' nawe!! lol
(I hope Mbu hatoiona hii!!!).......seriously

hehehe nikiwa kama lawyer wa Mbu, proposal ya Mbu nimeicancel until further notice!

To MJ1: Kama umefikiria na kuamua bora klorokwini kuliko Mbu nadhani hujafanya uamuzi mbaya kabisa MJ1, enhee tukutane wapi?
 
Hahaha the deal is not sealed yet.......kuna conditions sweetheart and you know me better............!! am sure atabwaga manyanga.......akisurvive then HE IS A MAN ENOUGH!! lol

heheheh ngoja nijiweke pembeni nione hili sakata la Mbu linaelekea wapi...
Sasa MJ1 weekend yote hii wewe uko kwenye laptop?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom