Ulikuwa wapi siku zote...? Eh...?!

Ulikuwa wapi siku zote...? Eh...?!

mh na wewe hujui babu uzee unamsumbua? kabadilika katikati ya thread na mimi nikampeleka anakotaka...
Nimebadilika wapi? Au lugha ilikuwa gongana? Ulitaka nimwage kuku kwenye mchele mwingi?

ayiiiiiiiiiiii.... kichupa changu hommie

hebu ngoja nikumbukie zile mbio za vijiti pale kwa yule mzee wa kichagga
Hahahaha...na Chpsi dume kwa Mata pale.......(RIP)

Jukwaa la wakubwa hiloooooooooooooo... Chauro mdogo wangu una ufunguo wa kuingia huko kweli?? Babu naona kwaresma iliondoka hadi na filters za grandma!!
Chauro kashakua mate....usimkuze zaidi

Huko sikanyagi, acha wenye nguvu zao waende bwana mimi bado mtoto mdogo sana kuona.
Acha woga mamiii!

Kumbe i was the only one aliielewa topic...
Ha haa
Yes YOU ARE THE CHAMPION!............... YES YOU ARE!
 
Babu huyo aliyemwambia ulikuwa wapi siku zote lazima aliitoa kauli hii akiwa katikati ya mhemko na hakumaanisha kuuliza hivyo labda kama aliliuliza baada ya starehe.......... but stahili yake ilikuwa aseme aksante mpenzi wangu, tena ile ya unyenyekevu na si ya kiafande ile ya aksante huku teyari ashafika mlango wa bafuni!

..............na kwani kwa kuuliza we unapotaka kumpa mwenzi chakula kipya kizuri unaanzaje?
1. Je unampa taarifa kwanza kuwa leo nataka ule chakula hiki?- hapa kama ni mwenzangu na mie naweza kwelijikuta nakwambia ctaki maupuuzi yako/ au umejifunza wapi kwa ukali.
2. Unaanza kwanza kumpa ile starter alozoea ikisha katikati ya mlo unambadilishia na kumpa mlo ulioandaa- hapa hata nguvu za kuuliza sidhani kama zitakuwepo, tafata tu amri, kijiko kamata hivi, ntakamata; uma uweke pembeni, ntatii na kama kutakuwa na kuuliza ulikuwa wapi siku zote basi lazima itatanguliwa na aksante ikisha itaulizwa kwa nia njema na si kukukatisha tamaa.............nani aopenda mlo mzuri?

Ndo maana najivunia kuwa babu yako!! Huwezi kumlaumu Mungu kwa kukupa wajukuu wenye akili nyingi kama majani....

U r my shining star.....Lazima nitakutafuta baadaye kidogo nikupe hadithi njoo mjukuu wangu kipenzi.

Missed u and ll wajukuu.....

Mzee DC
 
Mbona unakuwa mkali hivyo tena asubuhi subuhi swahiba?
Si hawa wajukuu wanaichakachua hii yuziful sredi ya babu yao?.....Mzee mwenzangu ulikuwa wapi siku zote?

Umenikubali eeeee....
Bado kidogo, ongeza juhudi....lakini chondechonde, usijeangukia pua afu ukaanza kuuliza nilikuwa wapi siku zote...LOL
 
Nani aniangushe babu, khaaaaa... wewe kikongwe
 
Nani aniangushe babu, khaaaaa... wewe kikongwe
Hahahha.......mi simooooo!....muangushanage wenyewe huko, mi niko zangu kitandani na ugoro wangu, na mkongojo wangu.
 
Si hawa wajukuu wanaichakachua hii yuziful sredi ya babu yao?.....Mzee mwenzangu ulikuwa wapi siku zote?

Bado kidogo, ongeza juhudi....lakini chondechonde, usijeangukia pua afu ukaanza kuuliza nilikuwa wapi siku zote...LOL

Sasa mbona unasahau majuku yako mwenzangu....Babu ni shimo la taka..Unategemea wajukuu watupe wapi mananihi yao?

Nipo ndugu yangu...amang'ana hayajatulia....

Ila nikiulizwa hilo swali lako nitakuwa tu mpole kama alivyosema Maty...sitavimba kichwa kwamba nimetoa dozi ya kutosha kwani inawezekana ni sehemu tu ya sanaa!
 
Ni kweli kabisa mzee mwenzangu, ni kweli kwa kuwa; WE ALWAYS DON'T CHANGE UNTIL THE COST OF STAYING THE SAME EXCEEDS THE COST OF CHANGE
 
Nyie watu, hii mnayojadili hapa inahusiana na ULIKUWA WAPI SIKU ZOTE?

You have been warned!

pheewww, umeona eee? mie nilisoma jana nika 'myuti' matokeo yake nimeishia na 'nightmares'
....
eti nakimbizwa Usiku wa manane tangia Haile Selasie Rd mpaka Jolly's Club!
aaaarrrghhh...
 
pheewww, umeona eee? mie nilisoma jana nika 'myuti' matokeo yake nimeishia na 'nightmares'
....
eti nakimbizwa Usiku wa manane tangia Haile Selasie Rd mpaka Jolly's Club!
aaaarrrghhh...
Kule umegoma kunijibu, ngoja nikuulizie hapa; Mheshimiwa Moskwito.........Hiyo red kwenye siganture yako, hivi mwanajamiione ni liberian girl kumbe?

"Dear Blood Donor
!"😛ray:
forget the bite, I Sing for You!..."..Nakupenda pia, Nakutaka pia -Mpenziwe..."
A%20S%208.gif
A%20S-heart-2.gif

MJ1 - 'Liberian Girl!'
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Kule umegoma kunijibu, ngoja nikuulizie hapa; Mheshimiwa Moskwito.........Hiyo red kwenye siganture yako, hivi mwanajamiione ni liberian girl kumbe?

"Dear Blood Donor
!"😛ray:
forget the bite, I Sing for You!..."..Nakupenda pia, Nakutaka pia -Mpenziwe...":mwaaah::A S-heart-2:
MJ1 - 'Liberian Girl!'

Wapi huko bana? nishazeeka bana, miwani yangu pia haioni sasa...andika taratibu nisikie!...
Mnh, ume connect the dots mpaka umeelewa...She's my Lady, Hands Off everybody...

LOL...!!!
 
Ni kweli kabisa mzee mwenzangu, ni kweli kwa kuwa; WE ALWAYS DON'T CHANGE UNTIL THE COST OF STAYING THE SAME EXCEEDS THE COST OF CHANGE

Kama ni uzee basi na wewe umezidi....Unasoma kila kitu kama umevaa high resolution microscope badala ya miwani!!

Ulikuwa wapi.....ama ni sanaa (ila art ni muhimu sana na mdau mkuu wa mambo yetu yale), au ni ukweli, au mwenzio ukame ulitaka kumuua kiasi kwamba manyunyu anaona ni masika au..............could be anything else!!!!
 
Kule umegoma kunijibu, ngoja nikuulizie hapa; Mheshimiwa Moskwito.........Hiyo red kwenye siganture yako, hivi mwanajamiione ni liberian girl kumbe?

"Dear Blood Donor
!"😛ray:
forget the bite, I Sing for You!..."..Nakupenda pia, Nakutaka pia -Mpenziwe..."
A%20S%208.gif
A%20S-heart-2.gif

MJ1 - 'Liberian Girl!'

Wapi huko bana? nishazeeka bana, miwani yangu pia haioni sasa...andika taratibu nisikie!...
Mnh, ume connect the dots mpaka umeelewa...She's my Lady, Hands Off everybody...

LOL...!!!

Halafu mkimaliza mniambie mnaongelea nini hapa.
 
pheewww, umeona eee? mie nilisoma jana nika 'myuti' matokeo yake nimeishia na 'nightmares'
....
eti nakimbizwa Usiku wa manane tangia Haile Selasie Rd mpaka Jolly's Club!
aaaarrrghhh...

.............Mh kutufanya visingizio tu, kutaka kusema kuwa mie na Gaga ndo tumeku'otesha'....ulikuwa na yako!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom