Mbu yaani hili swali wajua ni la msingi sana........... basi tu tunalichukulia juu juu. Wengine hukutana na wapenzi na kuuliza hili swali kuonyesha shukrani zao kwao kwa kuwa pamoja. Nakumbuka kuna wimbo wa Kylin na Bushoke.......
Bushoke: Mbona wanitazama, kisha wanza kulia
kama nimekukosea naomba nisamehe
Kylin: Hapana hujanikosea, ninalia kwa furaha,
Mapenzi unayo nipa, sijawahi kupataax2
Najiuliza ni kwa nini hatukujuana mapema............si ni sawa na kuuliza ulikuwa wapi siku zote??
Afu huyu Babu huyu.....ugoro wake utakuwa ni mikscha ya banghe na mirungi ya kuchoma!