BACK TO TOPIC:
kusema ukweli kabisa mie nahisi kama watu hawajamwelewa huyu asprin
hisia zangu zinanituma AS IF JAMAA ALIFANYA ANAL SEX.....!ambao ni mchezo wa huyo mwanadafada (ingawa alificha kwa mwenzi wake)....
wajameni samahani kwa lugha kali!hata mimi sio mimi ni hii keyboard
Hii system ya elimu ya Tanzania bana....ukifaulu hesabu vizuri unajikuta unaangukia kwenye uhandisi.
Kwa mfano, wewe hukupaswa kuwa mhandisi.......... hii kitu ulivyoisasambua hapa, tayari una PhD ya ufumbuaji mafumbo...LOL
Walikuwa wapi hawakunielewa mapema? LOL
BACK TO TOPIC:
kusema ukweli kabisa mie nahisi kama watu hawajamwelewa huyu asprin
hisia zangu zinanituma AS IF JAMAA ALIFANYA ANAL SEX.....!ambao ni mchezo wa huyo mwanadafada (ingawa alificha kwa mwenzi wake)....
wajameni samahani kwa lugha kali!hata mimi sio mimi ni hii keyboard
.... Yesu wangu...:A S 114:Babu leo umeoga?
BACK TO TOPIC:
kusema ukweli kabisa mie nahisi kama watu hawajamwelewa huyu asprin
hisia zangu zinanituma AS IF JAMAA ALIFANYA ANAL SEX.....!ambao ni mchezo wa huyo mwanadafada (ingawa alificha kwa mwenzi wake)....
wajameni samahani kwa lugha kali!hata mimi sio mimi ni hii keyboard
babu, Teamo na RR hamjanijibu...angeelezwa zawadi bibie anayoitaka angemwelewa? nyie wa ajabu kweli mnapenda kutujaribu!! ndo tuseme kaka kafika mezani, papewa chakula chake cha kawaida, ikafika katikati ya mlo mpishi akaleta sahani nyengine yenye mapishi mengine,kaka kala kishiba aulize .......Bibi weye ulikuwa wapi kunipa mapishi haya siku zote.....Bibie anatakiwa aelewe au naye ashangae kuwa alijidhania yeye ni wa kwanza kumbe ........ au tuchukulia kuwa nyie mwapaswa kujaribu kila kitu?
Wandugu salamu,
Jana saa mbili kamili usiku, Etiennes Club kaunta ya Juu:Bia ya baridi, glasi ya moto, mhudumu mweupe.
Kijana mmoja akatokea akawakuta rafiki zake kaunta, babu nawaangalia tu na mawani yangu.
Wakagongeana mikono na kutaniana kidogo, babu nawaangalia tu bila mawani
Kisha wakapeana habari ya yaliyojiri jana yake, babu nawasikiliza tu.
Maongezi yakaendelea kupeana yaliyojiri kama walivyokubaliana jana yake. Mpaka ilipofikia sentensi ifuatayo ndipo babu akshtuka, nainukuu.... "Si nikamfanyia kama mlivyoniambia?....Nikaona tofauti bana....alipagawa flani hivi.....mwanaume nikajua bibiye nimemfikisha pafikishwapo...." Mara jamaa kabadili sura........" Baada ya gemu si ndo nikajua kumbe yule demu kauzu........ Eti akanambia mpenzi wangu ulikuwa wapi siku zote jamani? Sikujua......"
Mjadala ukaanzia hapo: Nilikuwa wapi siku zote, ana maana gani?
Jamaa 1🙁Huku Anacheka)....anasikitika kama ungemfanyia hivyo siku zote asingemegwa na wengine, angekupa wewe tu, unamegewa wewe!
Jamaa 2: Hapana bana, bibiye alikuwa anaelezea hisia zake, ulichelewesha kumpa maufundi bana
Mhusika: Mi mjanja bana....huyu anamaanisha ...yani nlikuwa mshamba flani nlikuwa wapi siku zote sikumfanyia hayo majambo, mpaka ndo namfanyia safari hii.....demu mwingi sana yule....haya mambo aliyajulia wapi mpaka anambie nlikuwa wapi siku zote?......(Sina sababu ya kuwaambia alichomfanyia bibiye, babu si mbea)
Babu kwakuwa sipendi dhambi nikajiondokea zangu....nikarudi zangu kitandani.
Sasa kaswali kwenu vijana wangu na wajukuu wangu wapendwa:
Mpenzi wako wa siku nyingi akikuonyesha ubunifu mpya katika mapenzi (kwenye sita kwa sita) ambao miaka yote hiyo hakuwahi kukufanyia....... kuna uwezekano kaupata sehemu flani ndo anakuletea? Unapaswa kumuuliza kajifunzia wapi au kumwambia ahsante?.......Je kuna sababu yoyote ya kuleta ubunifu mpya wa mapenzi kwa mpenzi/mwenza wako wa siku nyingi? Si hatari kwa mahusiano?
Jamani nawaulizeni? : MLIKUWA WAPI SIKU ZOTE............?
Babu anarudi kitandani kutafakari.

Hahahaha.... Teamo unataka kuchafua hali ya hewa hapa!ha ha ha!
nimesoma comment mingi naona watu wanaelezea sijui kisses sijui nini WAPI BANA WEE!hamnaga kipya sana ''cha kumshangaza partner wako'' kwenye sex ya kawaida hii....!kiasi cha kusema ULIKUWA WAPI SIKU ZOTE....?hell to the NO!
lazima kuna mchezo usio rasmi ulifanyika hapo....!
SAY NO TO TIGO PEOPLE!
CIAO
Umeo na eh hommie?asa TEAMO we ndo hujamwelewa kabisaaaaaaaaaaaaaaaaa
Cheka ndugu yangu..... ndo sawa na kuposa ukiamini unaoa bikira. Baada ya miezi mitano tu ya ndoa, mkeo anakuzalia toto kubwa la kiume, tena hapo hapo home.....aende hospitali kufanya nini? LOLJamaa alijua ndo anaenda kuanza......sasa.....wacha niendelee kucheka tu asee.....
Marealle au? Vijana wanakua taraibu mate....wape nafasi!.... Yesu wangu...:A S 114:
Mjukuu mtiifu, hebu msome RR hapa chini.......... Tatizo ndo hilo tu basi...halijalishi jinsia...babu, Teamo na RR hamjanijibu...angeelezwa zawadi bibie anayoitaka angemwelewa? nyie wa ajabu kweli mnapenda kutujaribu!! ndo tuseme kaka kafika mezani, papewa chakula chake cha kawaida, ikafika katikati ya mlo mpishi akaleta sahani nyengine yenye mapishi mengine,kaka kala kishiba aulize .......Bibi weye ulikuwa wapi kunipa mapishi haya siku zote.....Bibie anatakiwa aelewe au naye ashangae kuwa alijidhania yeye ni wa kwanza kumbe ........ au tuchukulia kuwa nyie mwapaswa kujaribu kila kitu?
Hahahahaha...inauma sana aseeHapo hamna kushangaa....
Tatizo ni mmoja anapokua mgeni......huku akijua ndo anakula chakula hizo mara ya kwanza....kumbe dah!
Baby anaendeleaje?Babu wacha umbea......eavesdropping on other people's conversations ni udaku!!! ati halafu hupendi dhambi!!!!!!!:A S 114:
Tatizo si ufundi, tatizo ni ZAIDI YA UFUNDI!Wewe kiboko kweli Babu!
Kuleta ufundi mpya ktk majambozi si jambo baya kama wote mnajua umuhimu wake. Tatizo ni kwamba mitindo mingi ambayo inawatia watu wazimu ktk mapenzi siku zote huleta maswali kwa wandani wa muda mrefu tena wengine huwa wanahoji kinafiki tu maana hata wanapokuwa watoka nje kinachowanogeshea huko nje yanakuwa ni hayohayo...Nani kakufundisha...?...Wengine..oh... unanifanyia hivyo mie malaya wako au mpenzi wako?
Mie nashauri watu tuache unafiki katika mapenzi. Hata kama kinachokufurahisha ni kipya namna gani ni bora kifanyike ama kijadiliwe ndani kwa mahaba na si kujifanya mshamba ndani wakati nje watu wanatafutana kwa raha unazotoa. Nina haraka kidogo sijui kama nimejieleza vizuri!
Tatizo si ufundi, tatizo ni ZAIDI YA UFUNDI!Ufundi ukizidi mkuu inabidi tu uuchune maana ukiuliza utaambiwa na ya kuumizwa...chuna siku ziende...hahahah
#Mjukuu mtiifu, hebu msome RR hapa chini.......... Tatizo ndo hilo tu basi...halijalishi jinsia...
Hahahahaha...inauma sana asee
Baby anaendeleaje?
Tatizo si ufundi, tatizo ni ZAIDI YA UFUNDI!
Tatizo si ufundi, tatizo ni ZAIDI YA UFUNDI!
Orayt...ulikuwa unajifunzia wapi? nani alikuwa mwalimu wako? Ilikuwa theory au practical au vyotevyote?Nilikuwa najifunza mume wangu ili nije kukufurahisha, umependa mpenzi nitamjibu hivo huku nimebana pua na huku natoa pumzi za mahaba, mwenyewe atatulia tu
Nilikuwa najifunza mume wangu ili nije kukufurahisha, umependa mpenzi nitamjibu hivo huku nimebana pua na huku natoa pumzi za mahaba, mwenyewe atatulia tu
nimekusoma mate.... kuna kawimbo ka akudo kanasemaMarealle au? Vijana wanakua taraibu mate....wape nafasi!