Ulikuwa wapi siku zote...? Eh...?!

Ulikuwa wapi siku zote...? Eh...?!

ha ha ha!
nimesoma comment mingi naona watu wanaelezea sijui kisses sijui nini WAPI BANA WEE!hamnaga kipya sana ''cha kumshangaza partner wako'' kwenye sex ya kawaida hii....!kiasi cha kusema ULIKUWA WAPI SIKU ZOTE....?hell to the NO!

lazima kuna mchezo usio rasmi ulifanyika hapo....!

SAY NO TO TIGO PEOPLE!

CIAO

Hii kauli hommie,
kuna watu huwa inawakwaza kweli ,
wewe hujui tu lol....
 
Orayt...ulikuwa unajifunzia wapi? nani alikuwa mwalimu wako? Ilikuwa theory au practical au vyotevyote?

We Gaga acha kudanganya wenzio LOL
Bby pls dont take things so personal, nilikuwa kwenye kitchen party nikasikia kungwi kasema nilivutiwa na maneno yake nikaona nije nijaribu tu kwako, si unajua uko peke yako mume wangu mpenzi, akizidi kuniuliza naanza kulia kizushi, hivi unanionaje mpenzi mpaka unaniuliza maswali kama hayo........hii imekaaje babu
 
Kubana pua tu...! Eeh...! Umesahau uwezekano wa mambo kuwa mabaya pale DSE siku hiyo! Wakati mwingine wanaume tuna mengi sana rohoni na akilini.... Hey! I'm just kidding..... Basically I like it. Ni vizuri mke kujua kuwa anapaswa kuact kike ili kuwa romantic. Kuna wengine wenu Gaga; akishahalalishwa tu anachojua ni wapi Mr. kakosea ni wapi anatakiwa kwenda nk. hajui hata kuwa romantic tena. Ukija na mapya watu wa namna hii ndiyo wa kwanza kununa na kuhoji kama siku hizi unao wanawake wengine..eti mambo ya leo umeyaona wapi? Shauri zao! Wakitubore tu sisi haooooo! tunawatafuta Unyagomates wa Gaga au siyo Darling?
Hapo bold sio mimi mpaka mvi zinitoke kila siku mambo mapya tu, na kujifunza mbinu mpya... sasa ndio akiniuliza lazima nije chini na pua kubana huku namwelekeza bby wng
 
Uuchune tu babu ili uendelee kufaidi, ukiwa unaulizauliza mpenzi wako atakushangaa sana, na utandawazi wote huu, na mavitabu yote haya bado tu siku hizi tunaulizana tumepata wapi maujuzi????

Mwenzangu!
Wengine kwenye hili hawajali kuna utandawazi wala nini!
 
Bby pls dont take things so personal, nilikuwa kwenye kitchen party nikasikia kungwi kasema nilivutiwa na maneno yake nikaona nije nijaribu tu kwako, si unajua uko peke yako mume wangu mpenzi, akizidi kuniuliza naanza kulia kizushi, hivi unanionaje mpenzi mpaka unaniuliza maswali kama hayo........hii imekaaje babu
Hahahahaha....naona kadalili ka kumshinda mtu

We mjukuu unaweza kuwa kajambazi kazuri............

Orayt....kwahiyo huko kitchen party ndo mnafundishwa na huu mchezo ulonifanyia? Yani mnafundishwa mtupe tiGo siyo?..............Naomba jibu Gaga.....ndo mnafundishwa huko?
 
nimekusoma mate.... kuna kawimbo ka akudo kanasema
baridii eeeehhh baridi eeeh
baridiiii eeehh na mapendezheeee

Ujumbe wake nzito sana aisee, yawezekana huyo mamsapu alipigwa 'cut-out' ya three phase mkuu wangu

Anyway, ngoja tupate shule kwanza

Ewaaaa.... hapa tunapata kaujuzi kwanza then ndo tunatoa maeksipiriensi ya enzi zetu shule ya msingi Mwenge, Mlimani na Mapambano
 
Hahahahaha....naona kadalili ka kumshinda mtu

We mjukuu unaweza kuwa kajambazi kazuri............

Orayt....kwahiyo huko kitchen party ndo mnafundishwa na huu mchezo ulonifanyia? Yani mnafundishwa mtupe tiGo siyo?..............Naomba jibu Gaga.....ndo mnafundishwa huko?
Ndi...ndi...ndi... ndio mpenz... kwani si mtandao wa bei rahisi mume wangu... au tuhamie airtel? hapo lazima acheke basi atattulia tu
 
Makubwa!!!!!!!???????????imekula kwako iyo.

Hahahahaha....naona kadalili ka kumshinda mtu

We mjukuu unaweza kuwa kajambazi kazuri............

Orayt....kwahiyo huko kitchen party ndo mnafundishwa na huu mchezo ulonifanyia? Yani mnafundishwa mtupe tiGo siyo?..............Naomba jibu Gaga.....ndo mnafundishwa huko?
 
...kwa jinsi ninavyoendelea kuisoma sredi hii, najihisi nazidi kupata dhambi.

Hivi kumbe mwaongelea Tigo?, ...!
 
...kwa jinsi ninavyoendelea kuisoma sredi hii, najihisi nazidi kupata dhambi.

Hivi kumbe mwaongelea Tigo?, ...!
mh na wewe hujui babu uzee unamsumbua? kabadilika katikati ya thread na mimi nikampeleka anakotaka...
 
Ewaaaa.... hapa tunapata kaujuzi kwanza then ndo tunatoa maeksipiriensi ya enzi zetu shule ya msingi Mwenge, Mlimani na Mapambano
ayiiiiiiiiiiii.... kichupa changu hommie

hebu ngoja nikumbukie zile mbio za vijiti pale kwa yule mzee wa kichagga
 
Jukwaa la wakubwa hiloooooooooooooo... Chauro mdogo wangu una ufunguo wa kuingia huko kweli?? Babu naona kwaresma iliondoka hadi na filters za grandma!!
 
Huko sikanyagi, acha wenye nguvu zao waende bwana mimi bado mtoto mdogo sana kuona.

Jukwaa la wakubwa hiloooooooooooooo... Chauro mdogo wangu una ufunguo wa kuingia huko kweli?? Babu naona kwaresma iliondoka hadi na filters za grandma!!
 
Ndi...ndi...ndi... ndio mpenz... kwani si mtandao wa bei rahisi mume wangu... au tuhamie airtel? hapo lazima acheke basi atattulia tu
Khaaaa! We ni mkareeeee!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom