Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,522
- 56,437
Migombani kazi ya kusomba majani mda wa kuangalia TV utautoa wapiMtoto wa buku mbili mnashinda tu kwa tvš¤£
Migombani kazi ya kusomba majani mda wa kuangalia TV utautoa wapiMtoto wa buku mbili mnashinda tu kwa tvš¤£
Duuh1. Rede kumanyua juu kwa juu eeeeh hewani
2. Tennis
3. Mbio za miguu 100m, 200m
4. Goroli
5. Uke wa Baba na Mama
6. Hide and seek
7. Swimming
8. Netball
9. Basketball
10. Football
11. Ngoma kukatika kiuno
12. Squash
Naishia hapo Nilikuwa kila jambo sipitwi..
Nili Unga juhudi za Rais aliyekuwa madarakani š¤£š¤£š¤£
KombolelaIfahamu michezo asilia ya watoto inayotambulika katika Lugha adhimu ya Kiswahili
1) Kombolela
2) Mdako/nakwa
3) Rede
4) Nage
5) Tobo
6) Saga koboa
7) Ukuti ukuti
8) Kinyulinyuli
9) Visoda
10) Kula mbakishie baba
Itaendelea...
Mkuu ni sahihi na kuna namna tulijuana kila moja na wake wa kumtaftaHakuna siri hapo zaidi ya kuunganisha vikojoleoš¤£
Sema yale maisha unyama ila sio rafiki Kwa mabinti šwanakua na vigimbiKupambana na majani na samadi na kufukuzana na mbwa kuwinda maparachichi Makiwendo š¤£š¤£š¤£
š¤£š¤£ ndio kigezo changu kwa mwanamke nitakae muoa kwa sasa awe na kigimbi 𤣠mimi nafuga na kulima sitaki mwanamke wa chips mayai na pilipili kwa mbališ¤£Sema yale maisha unyama ila sio rafiki Kwa mabinti šwanakua na vigimbi
Umenikumbusha mbali mama alikua akibandika maharage ya kiburu tunatokomea nyumbaniš¤£š¤£š¤£Na kuracha Manduu na Vizeeš š š š
KOBOMOANA CHULULU.Kombolela hasa nyakati za usiku maana huko tulikuwa tunachaguliana me na ke
Unafaham nini? Kilichokuwa kinatokea ni siri yetu
We m hadi gari za waya nmetengenezašnmepoteza yebo kisa kuwekwa golini,soksi za shule nmepoteza,mipira ya kutengenezwa kwa karatasi aseeee š¤£Mtoto wa buku mbili mnashinda tu kwa tvš¤£
Tena wakubwa wanajificha sehem moja mda mrefu,wakimaliza wanatoka kubutua mpira au kopo eti kombolelaaaaaaa mxiuuuu zaoššKombolela hasa nyakati za usiku maana huko tulikuwa tunachaguliana me na ke
Unafaham nini? Kilichokuwa kinatokea ni siri yetu
Mi na ufugaji byee byeeeeeš¤£š¤£ ndio kigezo changu kwa mwanamke nitakae muoa kwa sasa awe na kigimbi 𤣠mimi nafuga na kulima sitaki mwanamke wa chips mayai na pilipili kwa mbališ¤£
Hadi sasa unacheza games ?GAME kamma kuna mtu anaijua ps 2 winning eleven ilikuwa haina speed hivi ile gem nilikuwa bingwa sana
sanaaa,tulkua tunafanya hadi harusi na shera juuššššKibaba na kimama ulikua unapenda sana wewe sio šššš
š¤£š¤£š¤£š¤£Tena wakubwa wanajificha sehem moja mda mrefu,wakimaliza wanatoka kubutua mpira au kopo eti kombolelaaaaaaa mxiuuuu zaošš
Haya, wewe sio mtoto wa buku mbili basiš¤£We m hadi gari za waya nmetengenezašnmepoteza yebo kisa kuwekwa golini,soksi za shule nmepoteza,mipira ya kutengenezwa kwa karatasi aseeee š¤£
Heshima yangu npe bwan šHaya, wewe sio mtoto wa buku mbili basiš¤£