Ulijuaje kama kuna JamiiForums?

Ulijuaje kama kuna JamiiForums?

Adharusi

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2012
Posts
14,506
Reaction score
7,445
Mara yako ya kwanza kujua kama kuna mtandao wa kijamii(Jambo/JamiiForums)ilikua wapi?

Ulisimuliwa au uliona Tangazo au ilikuaje mpaka ukafika HUKU?

Mimi binafsi niliijuwa kupitia Mwanahalisi kupitia makala za Mimi MWANAKIJIJI mwishoni mwa makala yake aliweka barua pepe ambayo ilikukua na link ya jamiiforums nikagoogle nikajikuta nimetumbukia.

Wewe ulipewa Taarifa na nani?
 
Nilianza kujua Jambo forum wakati wa Ze Utamu.
 
Mie sikumbuki, ni kitambo kidogo wakati wa jambo
 
Ahidi kwanza kumpigia kura shansarie kuwa miss chit chat 2013

afu nikuambie kwa mara ya kwanza jf niliijulia wapi...
 
Last edited by a moderator:
nilikuwa nikikutana na max kwenye chat room ya darhotwire enzi ziiiile na kuniomba nijiunge nao.
Nalog off
 
Back
Top Bottom