CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Mie nilikuta mlango wazi... Nikaingia bila kujua, mara nikajikuta ndani ya JAMII FORUM
Nilianza kujua Jambo forum wakati wa Ze Utamu.
Hongera nawewe mkuuOngera mkuu
Mie nilikuta mlango wazi... Nikaingia bila kujua, mara nikajikuta ndani ya JAMII FORUM
Ulijikuta tu upo JF bila kujua chanzo
Mimi kusema kweli sikumbuki ila kwa haraka haraka niliifahamu 2008 nikajiunga rasmi mwaka huo lakini baadae nikafungua account nyingine active 2010.
Kusema ukweli jamiiforums inatisha. Ukitaka siasa nenda utakayoyakuta utajuana nayo. Ukitaka mambo ya mapenzi, mahusiano safi kabisa, dini, utabibu,,,
Kiukweli jamiiforums rocks