Nipe Picha yake nimuone ili nitoe ahadi,
Nakumbuka mara ya kwanza mwezi wa tisa 2006 nikiwa a-level nilinunua simu aina ya nokia 6230, ina access ya net nikauliza kwa jamaa yangu site nzuri za kusoma bongo, aliniandikia jamboforum, ze utamu na ingine sikumbuki.
Amepata kura
Ukajikuta umeshatumbukia HUKU kwa Magreat Thinker
Mie sikumbuki, ni kitambo kidogo wakati wa jambo
si unajua kipindi kile ndio ilikuwa inaanza kwahiyo walikuwa wakitafuta watu wa kujiunga nao.Ongera yako maana ulishawishiwa kujiunga,mimi ni Udadisi ndo ulinifanya nitumbukie Huku