Ruqaiyah
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 1,119
- 1,484
Nimeshapatikana rekebisha tuu hlo jiweHope atapatikana... time will tell
Nimeshapatikana rekebisha tuu hlo jiweHope atapatikana... time will tell
Simkumbuki ila nnamshukuru alinipa akili ya kutafuta,..... Bila yeye kuniacha nahisi ningekua bashite hadi sahiz.......pole sana lakini sitaki kuamini kuwa huwa umkumbuki ata kidogo....?
NakujaNimeshapatikana rekebisha tuu hlo jiwe
ngoja nifunge machoNakuja
Mkuu .... u never know...ngoja nifunge macho
uliwahi kuumizwa....?Unapotezea tu,asepe zake huko
embe linaweza kuota kwenye mlimao enh?Mkuu .... u never know...
hujawahi kuumia nini....?Unapotezea tu,asepe zake huko
Hahaha... yeah... dunia ishabadilika katka sehemu mingi... hata humuhumu unaweza mpata atakayekupa haja za moyo wako[emoji6]embe linaweza kuota kwenye mlimao enh?
Mkuu eddy ni hatariiii,nikikusimulia utalia huo mkasa wangu.uliwahi kuumizwa....?
basi namuomba Mungu akupe hitaji la moyo wako....la kini isiwe kwa nia ya kumchezea mtu wa watu....Hahaha... yeah... dunia ishabadilika katka sehemu mingi... hata humuhumu unaweza mpata atakayekupa haja za moyo wako[emoji6]
tusimulie kidogo mkuu tupate somo...naamini umepona kabisa...Mkuu eddy ni hatariiii,nikikusimulia utalia huo mkasa wangu.
Nililazwa na kupigwa drip sita wakati sina ugonjwa wowote.
Lakini ulifika muda nikaona upuuzi tu.Nikasonga na maisha yng na nimesimama ingawa anapiga sn simu.
AMINI INAWEZEKANA KABISA KUSAHAU HATA KAMA ULIKUWA UNAMPENDA KIASI GANI.
Mm sio wa namna hiyo... nisije chezewa mmbasi namuomba Mungu akupe hitaji la moyo wako....la kini isiwe kwa nia ya kumchezea mtu wa watu....
wewe ni mvulana ama msichana....?Mm sio wa namna hiyo... nisije chezewa mm
Dumewewe ni mvulana ama msichana....?
Haswaa nimepona.tusimulie kidogo mkuu tupate somo...naamini umepona kabisa...
samahani kaka nimeona juu hapo kuna mdada...keshapatikana changamkia si ajabu siku za usoni katualika...mimi nitachangia tena kadi yangu nataka iwe maalum VIPDume