Ruqaiyah
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 1,119
- 1,484
Aliniumiza akaona kaniweza.....nikaja Jf na machozi yangu nikashauriwa..... Nikafarijika.......baada ya hapo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nilijipenda na kujipendezesha.......nikaanza kunata kupita kiasi...... Nywele ilikua inakaa wiki tatu nikaanza kubadili baada ya wiki..... Nilikua nafanya kazi kampun flan(...) Nikaanza kupata na safar za hapa na pale......i see hadi nikaona kama alikua ananizibia riziki......Maisha yakasonga...... ila alijuta aliona alipoenda patamu kumbe palikua pachachu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwahio ikitokea nikapenda tena ,sitampenda huyo bin-adam kama nnavyo jipenda.....Moyo hauna spea[emoji6]