Fstborn
JF-Expert Member
- Nov 27, 2016
- 507
- 527
Chifu km nakufaham hv "Kareem Kim" jina c ngeni maskioni mwangu umesoma wp olevel?Mkuu nimeipenda hiyo
Chifu km nakufaham hv "Kareem Kim" jina c ngeni maskioni mwangu umesoma wp olevel?Mkuu nimeipenda hiyo
Kaingia mitiniChifu km nakufaham hv "Kareem Kim" jina c ngeni maskioni mwangu umesoma wp olevel?
Yap wengi hushindwa kufanya hayo....hukubari kuridhika na matokeo muda ukiwa umeshaenda sanaKile unachotakiwa ujifunze kuhusu mapenzi ni kutouweka moyo wako rehani,kupenda ni jambo zuri lakin huwa ni baya pale ambapo umpendae anapoanza kuleta pozi
Hivyo njia ilio bora nikujiandaa mapema kisaikolojia
Anza kufikiria namna unavyoweza kuishi bila yeye wakati bado mapenzi yako motomoto hii itakusaidia kutokupata maumivu sana pindi mtakapoachana,maana uliandaa mazingira mapema.....
Don't be a mad of love....you will regret forever...
Haaaaaaaaaaahaaaaaaaaa we fala kweli eti kaingia mitini amencheki pm kumbe co yy majina tu yamefanana!Kaingia mitini
Je wewe ulitumia mbinu gani....¿Duh sasa huku si kujitesa??
Pole sana....mimi naamini maumivu hutufanya tuimarike Zaidi kiakili....maana raha ni nyingi lakini maumivu ni machache ajabu unaweza ukapata simanzi moja tuu ikakusahaulisha raha zako zote1.Nilikuwa na marafiki wacheshi na supportive,aina ya marafiki ambao unaweza kuwaambia matatizo yako wakakupa ushauri na kukuliwaza,kukuchangamsha na kukufanya usijiskie mwepeke.
2.Kukubali hali halisi.mapenzi samtaimz ni upofu,ukishapenda mtu ile too much,hata akili inashindwa kufanya reasoning na logical thinking.Unakuta mtu hakutaki na kashaonyesha dalili zote za kutaka kutengana na wewe chaajabu wewe hutaki kukubali ukweli hapo ndipo maumivu yanapoanzia.Mimi nliamua kukubaliana na hali halisi kwamba sina changu na wala hakuna haja ya kupoteza muda kufosi mapenzi
3.Bangi.Kwenye mjani kuna kemikali inaitwa "dont give a damn",aisee ukiwa na stelesi ukanyonga highgrade yako ya kibabe ukawasha, ukableiz uka inhale kisha uka exhale basi matatizo yoote yanakuwa trivial.unalala usingizi mwororo kama katoto kadogo.
3.Moving on.nliamua kujikeep busy na mambo mengine ya msingi,sikujiruhusu kuwa idle hata dakika moja mchana mishemishe nkitoka naingia gym,ama basketball court napiga hoops zangu za kutosha na one to one nkitoka hapo hoi kulala.baada ya muda nkatafuta kiburudisho chengine kika kaimu nafasi.
Ila yule mwanamke nilimpenda jamani,yaan nkijifikiria najiona nlikuwa zuzu sema ndo hivyo haikuwa fungu langu and I have no regrets.kila kitu kinatokea kwa sababu maalumu.
Mkuu tuambie tujifunze ulikabiliana vipi na maumivu hayo...¿Watu dhaifu ndo huwa wanafanya hivyo, ili kujiaminisha kwamba wao ni jasiri, waungwana hupotezea na kuheshimu hisia za mtu mwingine
The power of lets it go...ni bora tu kumuacha aende....Nimeshaumia sana kwenye mapenzi, lakini namshukuru Mungu huwa nasahau haraka sanaa, halafu na take it easy though siyo rahisi kihivyo lakini naiaminisha nafsi yangu kwamba i deserve much better, N maisha siku zote yanatupa nafasi nyingine ya kufanya vizuri zaidi hivyo nitapata mpenzi mwingine bora zaidi, mimi ni muumini wa ku let it go, hivyo i don't waste time pleasing sm1 nikiona drama mapema naku ignore, baba yangu alinijenga hivyo Mpende mtu lakini pia ipende nafsi yako zaidi na kuamini utapata kilicho bora, kwangu mbinu rahisi ya kumsahau mpenzi ni pale hisia zinapotaka kurudi najaribu kukumbuka mabaya yake tu aliyowahi nifanyia, hivyo na kuona hakuna haja ya kurudi nyema tena kwani hanifai
SureKile unachotakiwa ujifunze kuhusu mapenzi ni kutouweka moyo wako rehani,kupenda ni jambo zuri lakin huwa ni baya pale ambapo umpendae anapoanza kuleta pozi
Hivyo njia ilio bora nikujiandaa mapema kisaikolojia
Anza kufikiria namna unavyoweza kuishi bila yeye wakati bado mapenzi yako motomoto hii itakusaidia kutokupata maumivu sana pindi mtakapoachana,maana uliandaa mazingira mapema.....
Don't be a mad of love....you will regret forever...
Sijawahi kuumizwa sana. Nilikuwa na mpenzi mmoja tu ambaye nilitaka kumuoa lakini kwa sababu dini ilikuwa kikwazo basi nikaanza kumtoa moyoni taratibu, hata alipokuja kunimwaga sikuumia sana (au sikuumia kabisa). Ni kuwa tu alinirahisishia kazi ya kutomuumiza. Maana mwaka mzima nilikuwa naumiza kichwa ni namna gani nitamuacha pasipo kumuachia jeraha la moyo. Lakini yeye ndio alimaliza kila akidhani kaniumiza kumbe nafurahi kwa kunirahisishia kazi.Je wewe ulitumia mbinu gani....¿