Ulifanyaje kukabiliana na maumivu ya mapenzi?

Ulifanyaje kukabiliana na maumivu ya mapenzi?

Namba yke huwa sisevu hadi leo hii so nkiona namba ngeni nauliza nani? akitaja tu jina nakata akitext sijibu ila bahati mbaya ndg zke naongea nao fresh hpo ndio huwa inazidi kumuumiza anaweza nipigia dada ake nkaongea nae akampa mama akawapa wadogo zao akisema tu "ongea na flan" nakata cm adhabu ndogo ndogo tu km hzo zilizofanya aufyate na nimsahau ila yataka roho ngumu maana toto lenyewe toto haswaaa hovyohovyo waweza jikuta umerudisha majeshi haaaaaahaaaaaaaa watoto wa pwani nuksi sana aseee!
mkuu nipe namba nitest mitambo [emoji23] maana huo mshepu mie hoi
 
Unajua Muda mwinginne tunakuwa tunawapenda wapenzi wetu sana sana mpk kuwa tunawabudu flani! na MUNGU alishasema usimwabudu mungu mwingine ila mimi! Nadhani hapo MUNGU huwona wivu akajiuliza mbona huyu hata kanisahau ngoja nimchukue huyu mtu anaye mwabudu badala yangu ili anikumbuke kuwa mimi ni MUNGU wake ndo maana tunatakiwa kuwa na kiasi kwa kila jambo! nimejaribu kufikiri tu ivo!

Mimi napitia wakati mgumu sana mpk sasa hivi kwnye mapenzi! asikwambie mtu nina miezi karibia 5 kuelekea 6 nalala lisaa 1 au 2 na nina kula mara moja kwa siku! hakuna siku ambayo moyo wangu umedunda kikawaida kila siku unadunda mbio! nakunywaa sana pombe lakini wapi nikiamka tu asubuhi au nikilewa yeye ndo mtu wa kwanza kumkubuka na kumfikiria..wazee nateseka sana tena sana! ila kwisha kataa tamaa ya kila siku atleast kidogo sasa hivi tena hii ni baada ya kuamua kurudi na kuongea na kumlilia MUNGU! nafunga na kusali kumwomba MUNGU alinisadie kunirudishia binti yule ila bado juzi nilimwomba sana MUNGU kuhusu huyu binti badala ya kumrudisha MUNGU akamua kunipatia kazi! nimepata kazi ila natamani ningekuwa nae! ninampenda sana maana mimi kwake sikuvutiwa na umbo wala mambo ya kitandani ila AKILI aliyokuwa nayo huyu binti ya maisha!!! amenifundisha mengi sanaa nakumbuka mimi nilikuwa ni mlevi yaani nilikuwa nakumywa pombe mfululizo siku 3 non stop ila baada ya kumpata binti huyu huwezi amini alinibadilisha, nilikuwa hata kama ni kunywa ni weekend tu tena tukiwa wote! sasa hivi nakumywa pombe haisaidiii, nalala usingizi hakuna, yaani natamani kumtaja mpk jina lake hapa sema tu familia yao ni kubwa hapo iringa ngoja ninyamaze tu! siamini kutafuta mwanamke mwingine! sina hisia na wanawake wengine kabisa, nasema kama nilizaliwa pekee yangu basi nitakufa pekee yangu huyu binti nisiporudiana nae SITAOA! hili nimemweleza mpaka MUNGU! ila kwa kuwa MUNGU hutenda kwa muda wake na mapenzi yake basi ngoja nisubiri ila tambua NAUMIA! naumia jamani yaani mh
 
ILA HAKUNA JAMBO MUNGU AMESHINDWA! NAAMINI IPO SIKU NA INAKUJA UPESI SANA KWANGU nawambiaga jamaa zangu huu msemo "SIKU NIKIFURAHI NITACHEKA SANA" Nilikuwa natamani sanaa kwenda kumrogaaa huyuu binti kwa wachawii au waganga! ila nashukuru MUNGU alinikumbusha kuwa yeye bado yupo. jamani mimi nateseka mpk muda huu nandika huu ujumbe! yaani moyoo wangu unaniuma sana. unaiuma huyu mtoto ..........sanga huko iringa jamani mkisikia nimekufa mh
 
ILA HAKUNA JAMBO MUNGU AMESHINDWA! NAAMINI IPO SIKU NA INAKUJA UPESI SANA KWANGU nawambiaga jamaa zangu huu msemo "SIKU NIKIFURAHI NITACHEKA SANA" Nilikuwa natamani sanaa kwenda kumrogaaa huyuu binti kwa wachawii au waganga! ila nashukuru MUNGU alinikumbusha kuwa yeye bado yupo. jamani mimi nateseka mpk muda huu nandika huu ujumbe! yaani moyoo wangu unaniuma sana. unaiuma huyu mtoto ..........sanga huko iringa jamani mkisikia nimekufa mh
Pole sana i fell your pains...mwache aende tafuta pesa...tafuta mkari zaidi yake taratibu utamsahau...jifunze kutokulamba matapishi nikiwa na maana kumrudia huyo ni sawa na kulamba matapishi jambo ambalo haliwezekani
 
yah nimeolewa .. ushuri tu ukiona dalili usitumie moyo kuchanganua mamabo ipe nafasi akili hutakaa uumizwe tena..... na ukianza mahusiano mpe ukweli kwamba mi sipendi mamabo ya kutishiana ooh nitakuacha oooh nina mimba mwambie sitaki vitishi nataka furaha .. na kweli siku akikutishia fanya action si ucheke cheke ,,.. kama akisema anamimba kubali kapime anza kulea over
Aisei ningekuoa mimi nadhani tungepatana sana kwa kweli mi habari za kutishanatishana sipendi kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom