Bralicom
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 572
- 395
Hiyo mkuu inafomat kila kitupoa...
Hiyo mkuu inafomat kila kitupoa...
Pouwa pouwa nitakuchekiHela tu....tuchekiane...I promise ntakupa kwa sababu mambo yangu supa saizi
Pole nipo mimi ntakupenda na kukuheshimumiezi mitatu sasa tangu niachane na niliyedhani atakua mume wangu! mwanzoni nilihisi sitaweza kuzoea kabisa lakini namshukuru Mungu kadri siku zinavyokwenda nazidi kuzoea. Kuachwa aisee kusikie tu kwa jirani ila siku yakikukuta utaona dunia chungu, Ila mwisho wa siku maisha lazima yaendelee. waache waoane ya chege ndio imekua ikinifariji
SODA IPI HIYO MKUU? NA BISCUITS AINA GANI MKUU? KWANINI ALIKUWA HAIPENDI...?Nilikunywa soda asiyoipenda na biscuits asiyoipenda pia ili nijipoze machungu
COKE BASHITE INAPATIKANA WAPI MKUU...Nilikunywa coke bashite bariiidi nikashushia karanga
POLE SANA MKUU....hope umepata mwingine..nowMkuu songa mbele... mm yalinkuta kama yako ila mm nimeweza kupotezea na kuendelea na maisha...
Nilikuwa nae kwa miaka saba tangu 2009... ila ilipofka 2013 mwishon akapata kazi mkoani mimi nikiwa bado hapa mjini...
Mapenz yaliendelea lakini yakaanza ukakasi wa dharau na u busy usio na maana.. tukaloweka chini... tukaongea akaelewa kosa akaniomba msamaha nikamsamehe..
Ila tabia ni ngumu kubadilika... akawa msiri sana wa vitu vyake hata simu yake bila mimi kumuomba unaona kabisa anaificha au kuizima tukiwa pamoja.
Ilipofika 2016 nikatangaza kumchumbia, yani mahari na kila kitu... hapo ndo mwenzagu akaniambia nisijisumbue maana muda mrefu aliniomba tufunge ndoa mm sikuwa tayar na yy tayar kashampata mwengine hukohuko mkoan na tayar nyumban kwao kashawaambia kuwa ameshaachana na mm na ana mtu mwengine.
Kwa kweli niliumia sana plus wanasema hakuna mwanaume asiye na mchepuko...ila mimi sikuwa hivyo..
Hivyo nikavumilia ingawa nilipata mshtuko sana maana nilijiandaa kweli kweli nikitegemea mwez wa tatu 2017 namweka ndani... maana kipind namwambia kuhusu engangement tayar nilishanunua jiwe la tanzanite kwa ajili ya pete yake...
Ila now niko poa namshukuru Mungu, sala, mazoezi na u busy wa kazi vimenipa tena amani... hivyo ipo siku utapata akupendae kwa dhati na huyo utamsahau kabisa...
"There is no a song which doesnt have a dancer"
Hope atapatikana... time will tellPOLE SANA MKUU....hope umepata mwingine..now
haahaaa.....wapo wenye maumivu wenzio hapo juu kwenye baadhi ya comment,....changamkia teenda....haahaahaa {lough in magufuli voice.}Hope atapatikana... time will tell
Hahaha ni tag nao mkuu... u never know[emoji2]haahaaa.....wapo wenye maumivu wenzio hapo juu kwenye baadhi ya comment,....changamkia teenda....haahaahaa {lough in magufuli voice.}
Konyagi na kitimoto mkuuSODA IPI HIYO MKUU? NA BISCUITS AINA GANI MKUU? KWANINI ALIKUWA HAIPENDI...?
Jamani pole sana pole mno..Mkuu songa mbele... mm yalinkuta kama yako ila mm nimeweza kupotezea na kuendelea na maisha...
Nilikuwa nae kwa miaka saba tangu 2009... ila ilipofka 2013 mwishon akapata kazi mkoani mimi nikiwa bado hapa mjini...
Mapenz yaliendelea lakini yakaanza ukakasi wa dharau na u busy usio na maana.. tukaloweka chini... tukaongea akaelewa kosa akaniomba msamaha nikamsamehe..
Ila tabia ni ngumu kubadilika... akawa msiri sana wa vitu vyake hata simu yake bila mimi kumuomba unaona kabisa anaificha au kuizima tukiwa pamoja.
Ilipofika 2016 nikatangaza kumchumbia, yani mahari na kila kitu... hapo ndo mwenzagu akaniambia nisijisumbue maana muda mrefu aliniomba tufunge ndoa mm sikuwa tayar na yy tayar kashampata mwengine hukohuko mkoan na tayar nyumban kwao kashawaambia kuwa ameshaachana na mm na ana mtu mwengine.
Kwa kweli niliumia sana plus wanasema hakuna mwanaume asiye na mchepuko...ila mimi sikuwa hivyo..
Hivyo nikavumilia ingawa nilipata mshtuko sana maana nilijiandaa kweli kweli nikitegemea mwez wa tatu 2017 namweka ndani... maana kipind namwambia kuhusu engangement tayar nilishanunua jiwe la tanzanite kwa ajili ya pete yake...
Ila now niko poa namshukuru Mungu, sala, mazoezi na u busy wa kazi vimenipa tena amani... hivyo ipo siku utapata akupendae kwa dhati na huyo utamsahau kabisa...
"There is no a song which doesnt have a dancer"
Ndo ivyo kaka lakin huwa hawasahau hao atakukumbuka hata baadae maana malipo ni hapahapa duniani na aliye kusaliti leo kesho yeye atasalitiwa tu na ndo atakapo gundua maumivu ya mapenzi.Mkuu songa mbele... mm yalinkuta kama yako ila mm nimeweza kupotezea na kuendelea na maisha...
Nilikuwa nae kwa miaka saba tangu 2009... ila ilipofka 2013 mwishon akapata kazi mkoani mimi nikiwa bado hapa mjini...
Mapenz yaliendelea lakini yakaanza ukakasi wa dharau na u busy usio na maana.. tukaloweka chini... tukaongea akaelewa kosa akaniomba msamaha nikamsamehe..
Ila tabia ni ngumu kubadilika... akawa msiri sana wa vitu vyake hata simu yake bila mimi kumuomba unaona kabisa anaificha au kuizima tukiwa pamoja.
Ilipofika 2016 nikatangaza kumchumbia, yani mahari na kila kitu... hapo ndo mwenzagu akaniambia nisijisumbue maana muda mrefu aliniomba tufunge ndoa mm sikuwa tayar na yy tayar kashampata mwengine hukohuko mkoan na tayar nyumban kwao kashawaambia kuwa ameshaachana na mm na ana mtu mwengine.
Kwa kweli niliumia sana plus wanasema hakuna mwanaume asiye na mchepuko...ila mimi sikuwa hivyo..
Hivyo nikavumilia ingawa nilipata mshtuko sana maana nilijiandaa kweli kweli nikitegemea mwez wa tatu 2017 namweka ndani... maana kipind namwambia kuhusu engangement tayar nilishanunua jiwe la tanzanite kwa ajili ya pete yake...
Ila now niko poa namshukuru Mungu, sala, mazoezi na u busy wa kazi vimenipa tena amani... hivyo ipo siku utapata akupendae kwa dhati na huyo utamsahau kabisa...
"There is no a song which doesnt have a dancer"
AsanteJamani pole sana pole mno..
unanihate bure kwanni alafu hiyo avatar ni yako? History might repeat itselfHahahaha i hate u