Ulifanyaje kukabiliana na maumivu ya mapenzi?

Ulifanyaje kukabiliana na maumivu ya mapenzi?

miezi mitatu sasa tangu niachane na niliyedhani atakua mume wangu! mwanzoni nilihisi sitaweza kuzoea kabisa lakini namshukuru Mungu kadri siku zinavyokwenda nazidi kuzoea. Kuachwa aisee kusikie tu kwa jirani ila siku yakikukuta utaona dunia chungu, Ila mwisho wa siku maisha lazima yaendelee. waache waoane ya chege ndio imekua ikinifariji
 
Namshukuru Mama yangu kipenzi maana nilivyoona hali inazidi kuwa mbaya ilibidi nimshirikishe kiukweli alinifariji sana pamoja na familia ya mwenye nyumba walijitahid kunifariji na nikazidi kujichanganya na marafiki zangu mbalimbali,nikajikuta nimeshazoea hali hiyo na nikarudia hali yangu ya kawaida
hongera sana ila sorry wewe ni msichana ama mvulana?
 
miezi mitatu sasa tangu niachane na niliyedhani atakua mume wangu! mwanzoni nilihisi sitaweza kuzoea kabisa lakini namshukuru Mungu kadri siku zinavyokwenda nazidi kuzoea. Kuachwa aisee kusikie tu kwa jirani ila siku yakikukuta utaona dunia chungu, Ila mwisho wa siku maisha lazima yaendelee. waache waoane ya chege ndio imekua ikinifariji
oh....pole hope sasa unaye mfariji mpya....ama sio
 
Sitasahau 5/12/2014 cku ya ijumaa saa 5 ucku ckumbuki na dakika ngapi naongea nae namuuliza "ndio hunitaki tena? anajibu kwa kujiamini kabisa " sikutaki na sikupendi" hpo anaongea ypo ghetto kwa jamaa aliyetoa barua kwao enzi hzo nimemaliza chuo no direction miaka 3 nimesugua mtaani napga dili ndogo ndogo tu kilikuwa kpnd kigumu kiukweli ila kwa mwanaume rijali its not ishu sana huja na kupita alikaa mwaka 1 tu hakuna ndoa wala nn 2015 akantafuta anataka kurudi hpo keshapata taarifa nimeajiriwa mkoa flan yaani nnachomfanya hata ibilisi hapendi kuna watu tunajua visasi bhana!
Hebu tuelezee unamfanya nin[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Nyimbo yangu kubwa ilikuwa "miss u die" ya psquare nauskiza kutwa nzma nalia tu ghetto nkitoka nje naongea fresh nacheka nkirudi ndani navuta picha ule mshepu na michezo alokuwa ananipa ile ina maana ndio anampa jamaa saa hz? bc dah...chozi linateremka bila kutaka simsahau yle mtt mungu amjaalie kila la kheri hko aliko sitafurahia nkimkuta ana hali mbaya kimaisha nlimpenda sana dua zng na zimfikie kuachana co vita!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Namba yke huwa sisevu hadi leo hii so nkiona namba ngeni nauliza nani? akitaja tu jina nakata akitext sijibu ila bahati mbaya ndg zke naongea nao fresh hpo ndio huwa inazidi kumuumiza anaweza nipigia dada ake nkaongea nae akampa mama akawapa wadogo zao akisema tu "ongea na flan" nakata cm adhabu ndogo ndogo tu km hzo zilizofanya aufyate na nimsahau ila yataka roho ngumu maana toto lenyewe toto haswaaa hovyohovyo waweza jikuta umerudisha majeshi haaaaaahaaaaaaaa watoto wa pwani nuksi sana aseee!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Kiukweli nyimbo yangu kubwa ilikuwa ya Alicia keys Try slpn with a broken heart... nikikaa ndani nikulia mwanzo mwisho mpaka usingizi unanipitia...kazi nikataka kuacha ili nirudi tu kwa wazee nihame kabisa mkoa wa Dsm...kila siku mwenye nyumba wangu ni wa kunibembeleza nikienda kazin presha inashuka ni kizunguzungu tu..iliniumiza zaidi kwa vile Mimi ndo niliekosea..lakin namshukuru Mungu sasa naendelea vema na nimesahau yote...Achana na maumivu ya mapenzi...SASA hivi anatuma txt kama rafiki wa kawaida tu na namchukulia pouw kabisa...
Pole jamani ulikosea nini
 
mkuu nikuambie kitu hakuna mtu anaamka asubuhi na kukupa kibuti.. kuna mazingia huonyesha kama kuleta mapozi , kutokujali dharau yani hana ashki tena na wewe unageuka kero kila saa kukutafutia unakosea wapi ukiwa fala utakuwa unaomba mshamaha tu kumbe hakutaki sasa katika hizo early stage za kibuti mi nikiziona halooo nakuweka kwenye mstari mahaba moto moto ukishatulia nakuwaka cha mbavu halafu nakuambia unavyonitafutia sababu mi sina huo muda nakupa makavu live na sepa .. na huwa siendekezi mapenzi mimi na nacho jua nimeliza wanaume wengi sana na sitapata laana sababu alijiandaa kuniacha mi nikawawahi
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] huyu miss Chaga apewe tuzo humu ndani
 
oh....pole hope sasa unaye mfariji mpya....ama sio
nimeamua kuwa alone kwa sasa mpaka nijiridhishe nimemsahau kabisaa, so jipe moyo, we sio kwa kwanza wala wa mwisho tupo wengi sana wenye majanga kama hayo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom