X_INTELLIGENCE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 10,778
- 14,987
- Thread starter
- #81
enh kumbe bado unakumbushia kumbushia mkikutana?Lugha fupi nitumie niseme bado kijana anakula maisha.
Huyu demu alikuwa kicheche tokea mwanzo, mimi pia nilikuwa nachepuka sana pia. Kwahio tabia zetu tulikuwa tunajua lakini baadae ndio nikaona nishatembea na wengi lakini wote hawakuugusa moyo wangu. Ikatokea bahati alikuja kutembea uswahilini yeye anaishi US, nikammega tena.