Ulifanyaje kukabiliana na maumivu ya mapenzi?

mimi siamini kuwa hakuna ata mmoja aliyewahi kukutoa ushamba kwa kukusaliti...
mkuu nikuambie kitu hakuna mtu anaamka asubuhi na kukupa kibuti.. kuna mazingia huonyesha kama kuleta mapozi , kutokujali dharau yani hana ashki tena na wewe unageuka kero kila saa kukutafutia unakosea wapi ukiwa fala utakuwa unaomba mshamaha tu kumbe hakutaki sasa katika hizo early stage za kibuti mi nikiziona halooo nakuweka kwenye mstari mahaba moto moto ukishatulia nakuwaka cha mbavu halafu nakuambia unavyonitafutia sababu mi sina huo muda nakupa makavu live na sepa .. na huwa siendekezi mapenzi mimi na nacho jua nimeliza wanaume wengi sana na sitapata laana sababu alijiandaa kuniacha mi nikawawahi
 
hongera mamy, hope umeolewa...nakuona upo jasiri kama sarafina
 
Kunywa pombe stay out mwezi tuu unatosha
too much alcohol is harmful....vipi kuhusu hiyo statement mkuu? au ni ya uongo? maana pombe mwezi mzima....kwa wenye vipato vya chini tutafanyaje na viroba vimefungiwa?
 
Kwa bahati sijawahi kuumizwa hivyo sifahamu hata maumivu ya mapenzi yanafanaje

Usiyaombe mkuu.uwiiiiiii jman yanauma kuliko unavyodhan aise.ni bora ukamwa na kichwa,tumbo au kitu kingine kwa kuwa unajua wazi kuwa ukinywa dawa kitapoa kuliko mapenzi.aise,mimi ilikuwa bado kidogo nichanganyikiwe lkin ashukuriwe Mungu wa mbinguni nimekaa sawa sasa
 
hongera mamy, hope umeolewa...nakuona upo jasiri kama sarafina
yah nimeolewa .. ushuri tu ukiona dalili usitumie moyo kuchanganua mamabo ipe nafasi akili hutakaa uumizwe tena..... na ukianza mahusiano mpe ukweli kwamba mi sipendi mamabo ya kutishiana ooh nitakuacha oooh nina mimba mwambie sitaki vitishi nataka furaha .. na kweli siku akikutishia fanya action si ucheke cheke ,,.. kama akisema anamimba kubali kapime anza kulea over
 
Usiyaombe mkuu.uwiiiiiii jman yanauma kuliko unavyodhan aise.ni bora ukamwa na kichwa,tumbo au kitu kingine kwa kuwa unajua wazi kuwa ukinywa dawa kitapoa kuliko mapenzi.aise,mimi ilikuwa bado kidogo nichanganyikiwe lkin ashukuriwe Mungu wa mbinguni nimekaa sawa sasa
mkuu ilikuwaje tuambie...na sisi tujifunze kupitia wewe...
 
yah nimeolewa .. ushuri tu ukiona dalili usitumie moyo kuchanganua mamabo ipe nafasi akili hutakaa uumizwe tena..... na ukianza mahusiano mpe ukweli kwamba mi sipendi mamabo ya kutishiana ooh nitakuacha oooh nina mimba mwambie sitaki vitishi nataka furaha .. na kweli siku akikutishia fanya action si ucheke cheke ,,.. kama akisema anamimba kubali kapime anza kulea over
huo ni zaid ya ujasiri....hongera...nitaufanyia kazi ushauri wako...usitake kuniambia wachaga mpo na ujasiri kama huo ulio nao...
 
too much alcohol is harmful....vipi kuhusu hiyo statement mkuu? au ni ya uongo? maana pombe mwezi mzima....kwa wenye vipato vya chini tutafanyaje na viroba vimefungiwa?
Basi stay na watu au kuwa busy delete number yake ukijifanya kumtafuta unajiumiza zaidi. Ni stress ila ukipona utagundua kuwa this love thing you shouldn't take seriously my friend aliniambia tutakuja wapenda wake zetu
 
Mnajuwa Nature is the RIGHT answear! siku zote ukiona sehemu kuna milima basi ujuwe kuna sehemu nyingine kuna mabonde, ukiona mtu ana faraja basi elewa kuna mwingine anayo huzuni, ukiona leo umepata wa kukupoza moyo fahamu kuna mtu ameumizwa kwa raha kama hiyo unayoipata kwa wakati huo upande wake. Nature huwa ina balance all of these things.Ukiumizwa jipe muda kwani ujuwe kuna mtu bora anajiandaa kuja kwako ila wewe unamchelesha kwa kung'ang'ania mtuuu ambaye tayari hayuko kichani kwako. VUMILIA ILI UPATE MEMA.
 
Sio rahisi kumsahau demu halisi wa hisia zako
Japo ilikuwa ngumu kwa upande wangu kumsahau nilianza kujifunza mbinu mpya za mapenzi
Nilijitahidi sana kutengeneza cartoon ya aina ya mwanamke alie niache kisha nikatengeneza na cartoon ya bwana niliehic ndio alie mzuzua ya yule mwanaume niliifanya mbaya endapo ningeitatazama basi nilimdharau yule dem
 
Basi stay na watu au kuwa busy delete number yake ukijifanya kumtafuta unajiumiza zaidi. Ni stress ila ukipona utagundua kuwa this love thing you shouldn't take seriously my friend aliniambia tutakuja wapenda wake zetu
vipi mkuu, nawewe uliwahi kuumizwa...?
 
Back
Top Bottom