Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,427
- 191,704
Hio inaitwa ganzi ya jino 😂 maumivu baadae.Sasa shemeji unatukandia afu hapo hapo unasifia tena kuwa wapo wanawake wenye utu jamaniiiii
Hio inaitwa ganzi ya jino 😂 maumivu baadae.Sasa shemeji unatukandia afu hapo hapo unasifia tena kuwa wapo wanawake wenye utu jamaniiiii
Aisee kukaa kwenye uchumba ni stress tupu vuta weka ndani mengne yatajiset mbele kwa mbele kama ccm, tatzo ni mazoea tu ila kiukweli mazingira yanabadilisha watu aisee.I agree with you, mazingira na watu yana influence kubwa sana kumbadili mtu tabia ila pia inategemea na akili za mtu. Kama mtu wa kushikiwa akili basi jua hawezi kuwa reliable patner.
Hili unatakiwa ulisome mapema sana kipindi cha uchumba.
Hahahah hayo maisha ya kukosa kumuelewesha slay queen mwenye tako na sura ya kutokea outing ambaye yeye mda wote anataka awe kajiremba ni kipengele.
Mi naona cha msingi mwanamke wako awe halisi tu. Mwanamke ambaye hana huruma na wewe mapema tu ni kumkataa. Nikisemaga mwanamke anatakiwa ajitoe kwako pia sio akutegemee umpege kila wakati anapokea tu naonekanaga chizi humu.
Mwanamke mbinafsi hata umpe dunia siku ukiwa huna shinkumi atakuletea dharau tu!
Hahahahah nyie ndio wazuri bana guu guu sura tutatumia mekapu! Unakuta bwege anaenda kumlipia mahari mtu kama officiallyn halafu anategemea akifulia yule mtoto aanze kukaanga mandazi 😂Na wewe kwa nini ukaoe slay queen: hukutuona wife materials wenye sura za wajomba zetu (kidding)
Bana, sio kila mwanamke mwenye kalio na sura hajitambui; msitutie moyo sana wenye shape na sura zetu personal
Hamna watu wanafiki kama wanandoa mbele ya watoto na mbele ya jamii kwa ujumla.😂😂😂Ndoa zinaficha mengi ndani wakiwa nje utawaona wenye furaha lkn mioyoni mwao wana mengi,ila usikate tamaa ukifika wakati wako wewe olewa tu
Utakuwa umejiopolea katicha weweNdoa ni tamu sana mpaka nataka kufungua matawi mikoani huko
Hamna watu wanafiki kama wanandoa mbele ya watoto na mbele ya jamii kwa ujumla.[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahah nyie ndio wazuri bana guu guu sura tutatumia mekapu! Unakuta bwege anaenda kumlipia mahari mtu kama officiallyn halafu anategemea akifulia yule mtoto aanze kukaanga mandazi [emoji23]
Hahaha kwa wewe mie sihitaji ujiharibu na mekapu. Nataka kula chakula cha asili tu! No additives kabisa. Nipate kale kaarufu nechurol ka jikoni 😂Hahahah kwa hiyo daily itabidi tuwe tunajikandika make up eeh?
Mkuu hakuna watu hawana utulivu kama wanawake hasa changamoto zikijitokeza anaweza kuwaza mara 2 yako yani. Anakuwa na mawazo sana na stress yani usiombe stress zimpeleke kwenye ukurasa wa lawama 😂😂😂Ki ukweli hakuna ndoa isiyo na changamoto hata ile ya kiongozi wa kiroho wa juu kabisa unae mheshimu,kitakacho wafanya mdumu ni msingi uliowaunganisha huo ndio utakaoamua mdumu kwa muda gani pindi changamoto zitakapojitokeza,zaidi inatakiwa kuchagua/kuamua kuwa na furaha hata kama kuna kipindi mnachopitia hakiruhusu furaha na amani.
Hahaha kwa wewe mie sihitaji ujiharibu na mekapu. Nataka kula chakula cha asili tu! No additives kabisa. Nipate kale kaarufu nechurol ka jikoni [emoji23]
Karibu bana mbona unaaga mapema jamani 😂!!! Kunywaga hta kajuisi basiKwa heriiiiiiiiiii
Bado nimefungaaaaa[emoji40][emoji40][emoji40]Karibu bana mbona unaaga mapema jamani [emoji23]!!! Kunywaga hta kajuisi basi
Mkuu ujaolewa alafu unasema ndoa ni tamu? Umejuaje sasa.Ndoa ni tamu saaanaaa, nikiwa mkubwa nitaolewa Tena
Shida tu ikiwa umeolewa/umeoa mtu ambaye mna mitazamo tofauti...
Hapo ndio Hakuna rangi hutaona
Kwenye ndoa naamini katika upendo, amani,kusameheana, kuvumiliana na masikilizano , hivi vikikosekana hata mtu awe anapesa kiasi gani ndoa lazima ishindikane.....
Ndoa ni tamu jamani tuache masihara
Hahahahahah jamiii forum bwana raha sanaWas mtaani sindio hao hao ambao wanaleta ushuhuda hapa .. na wengine ndio hao hao wanaoishia kuchinjana na Kuna wengine wanaishi kwa furaha mpaka mauti Yao ... Inshort ndoa Ni kitu fulani complicated sana ... ukitaka Kuoa jiandae kutokuwa na furaha ya kudumu
[emoji28][emoji28][emoji28]Naona uko Tindini, ukumbuke hata mua una sehemu tatu [emoji16] jokingly !!!
Mkuu hujasoma hapo juu mwanzo kabisa....Mkuu ujaolewa alafu unasema ndoa ni tamu? Umejuaje sasa.
Ukiingia na haya mawazo kwenye ndoa na ukaenda pakuta pako tofauti si kesho yake utakusanya kilichochako utimke wewe.
[emoji1787][emoji1787]sawa mkuuMkuu hujasoma hapo juu mwanzo kabisa....
Kama masikilizano na upendo Hakuna naondoka saa kumi na mbili hata Kama kanioa Tajiri wa dunia