Saa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 6,552
- 13,001
Unashauri watu wasiingie na matokeo mkononi au sio😂😂😂😂
Mkuu ujaolewa alafu unasema ndoa ni tamu? Umejuaje sasa.
Ukiingia na haya mawazo kwenye ndoa na ukaenda pakuta pako tofauti si kesho yake utakusanya kilichochako utimke wewe.