Ulichotegemea ndicho ulichokikuta ndani ya ndoa yako?

Ulichotegemea ndicho ulichokikuta ndani ya ndoa yako?

Hakuna kiumbe stressful kama mwanamke.. ukishampatia ndoa ndio umempa nafasi ya kuonyesha makucha yake.. zile jeuri.. viburi alizo zificha ndio utaanza kuziona. Nakwambia hakuna rangi utaacha kuiona hasa ukikosa pesa.

#MaendeleoHayanaChama
Hili nakubaliana nalo kwa asilimia mia moja
 
Tatizo Kubwa la ndoa ni sheria ya ndoa hasa kwa mali, ikiwa sheria itakuwa wazi kutenganisha mali za wanandoa kabla na baada ya kuoana, ndoa zitadumu, wanawake wengi wamekua waviziaji kwenye eneo hilo, bila kujua mazara yake, asilimia kubwa wanawake wanaanzisha vurugu kwenye ndoa kwa jailli hio, na jamii bila kutambua hilo wanawatetea bila kufanya Utafiti wa chanzo cha migogoro kwenye ndoa. Angalia Mwanaume akitangulia kufa migogoro inaanza kwenye familia, ila mwanamke akitangulia kufa hakuna shida, hapo unaweza kutambua, wanawake kwa asilimia kubwa ndio chanzo cha migogoro.
Hii ipo tofauti na mtazamo wangu, mwanaume akitangulia kufa wanaokuja kusumbua NI ndugu WA mume,

Lkn jambo lingine ni kwamba wanawake wengi akili zao zimeshikwa eidha na ndugu WA familia , marafiki au hawara . sasa hapo ndio kuna changamoto na usiombe mwanamke ambae akili zake zimeshikwa hukoo hasa na ndugu maaana hata cku ukijamba kwa saut mbele yake atakwenda kuwaambia ndugu zake

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Mwenzako kasema huwa mnalazimishwa na wanawake
Kama walishikiwa bunduki sawa..ila mi naamini wengi tunaingia kwa kuridhia tambua mwanaume hua anaingia kwenye ndoa akiona yuko tayari kuingia na mwanamke anaingi kwa sababu nyingi sana zinzomzunguka..na nyingi ni shinikizo la nje.


#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Ulimjua na kuwa naye kwenye mahusiano kwa muda gani kabla hamjaoana?
Kiukweli maisha ya ndoa ni vaisi vesa, unategemea furaha ukiwa nje ukioa au kuolewa furaha ni uamue iwepo, ukubali kudhalilika, ukabali kejeli hasa kama pesa imeyumba, lakini yote yanawezekana. Niliwahi mfungulia mke wangu biashara ya m15 mi nikabaki natafuta vibarua vya kawaida, dharau zilianza hadi kufikia kuchit hapo tukiwa na watoto wawil, Nilivumilia kwa sababu ya watoto ila majuzi maji yamenifika pabaya nimeamua kuwa bachela.

So ushauri wangu tegemea yote, hakuna kiumbe dhaifu duniani kama mwanamke, hata umpe roho yako haridhiki, kama nilivyosema awali furaha ni uchague, upokee madhaifu yote yatakayotokea kwenye ndoa ikiwa ni kuvumilia usaliti, kuvumilia viburi, kuvumilia kejeli, kuvumilia kila aina ya uchafu maana mtu anapoingia kwenye ndoa anajua kila kitu amemaliza kwa kuwa anajua atakuwa happy, atakula kila aina ya raha, out nyingi, sex kibao, picnic za kutosha.

Wasijue ukiwa ndani majukumu yanaongezeka, unaweza uhamishwe kibarua uende Bukoba na we uliishi Dar, muda huo watoto wapo shule mama yao nae ana kibarua hapo ndo tutaomba Mungu asimamie ndoa maana uvumilivu wa mwanamke kwa tendo la ndoa ikizidi miezi mitatu bahati, so karibu ndoa ni kamari, sorry kwa uandishi usiopangilika, nawasilisha.
 
Was mtaani sindio hao hao ambao wanaleta ushuhuda hapa .. na wengine ndio hao hao wanaoishia kuchinjana na Kuna wengine wanaishi kwa furaha mpaka mauti Yao ... Inshort ndoa Ni kitu fulani complicated sana ... ukitaka Kuoa jiandae kutokuwa na furaha ya kudumu
Hivi uchumba tu unapokuwa na migogoro kila baada ya siku kadhaa au wiki kadhaa, kweli kwenye ndoa itakuwaje?
 
Kiukweli maisha ya ndoa ni vaisi vesa, unategemea furaha ukiwa nje ukioa au kuolewa furaha ni uamue iwepo, ukubali kudhalilika, ukabali kejeli hasa kama pesa imeyumba, lakini yote yanawezekana. Niliwahi mfungulia mke wangu biashara ya m15 mi nikabaki natafuta vibarua vya kawaida, dharau zilianza hadi kufikia kuchit hapo tukiwa na watoto wawil, Nilivumilia kwa sababu ya watoto ila majuzi maji yamenifika pabaya nimeamua kuwa bachela.

So ushauri wangu tegemea yote, hakuna kiumbe dhaifu duniani kama mwanamke, hata umpe roho yako haridhiki, kama nilivyosema awali furaha ni uchague, upokee madhaifu yote yatakayotokea kwenye ndoa ikiwa ni kuvumilia usaliti, kuvumilia viburi, kuvumilia kejeli, kuvumilia kila aina ya uchafu maana mtu anapoingia kwenye ndoa anajua kila kitu amemaliza kwa kuwa anajua atakuwa happy, atakula kila aina ya raha, out nyingi, sex kibao, picnic za kutosha.

Wasijue ukiwa ndani majukumu yanaongezeka, unaweza uhamishwe kibarua uende Bukoba na we uliishi Dar, muda huo watoto wapo shule mama yao nae ana kibarua hapo ndo tutaomba Mungu asimamie ndoa maana uvumilivu wa mwanamke kwa tendo la ndoa ikizidi miezi mitatu bahati, so karibu ndoa ni kamari, sorry kwa uandishi usiopangilika, nawasilisha.
Mkuu ki ukweli umenichekesha sana, kwamba ndoa ni kamari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Mliopo kwenye ndoa hongera zenu aiseeee

Nimepanga nyumba yenye wapangaji wengine watatu kwahiyo kwaujumla tupo wapangaji wanne ila chaajabu mimi pekeangu ndio nimeonesha kushindwana nandoa yangu... Je mimi ninani?
Wewe ni mpangaji wa nne
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Hapa ndio wasiwasi wangu, kuumwa au kokosa hela watakukimbia tu, wengi wanapokuona una muelekeo wa kimaisha utaskia nitakua na wewe kwenye shida na raha sasa njoo ukose hela hata miezi mitatu tu uone huo urongo unapojidhihirisha.
umeongea ukweli kabisa mkuu na yamenikuta hayo.
Mwanzo wa ndoa nilipewa maneno mengi sana ya kufarijiwa ooh tutaishi kwa hali yoyote ile kama ugali tembele tutakula,kama ugali dagaa tutakula.
Lakini cha ajabu baadae nikaja kuyumba kidogo japo hela ya chakula ilikuwa ni uhakika lakini ameniacha
 
Back
Top Bottom