Ulichotegemea ndicho ulichokikuta ndani ya ndoa yako?

Ulichotegemea ndicho ulichokikuta ndani ya ndoa yako?

Kiukweli maisha ya ndoa ni vaisi vesa, unategemea furaha ukiwa nje ukioa au kuolewa furaha ni uamue iwepo, ukubali kudhalilika, ukabali kejeli hasa kama pesa imeyumba, lakini yote yanawezekana. Niliwahi mfungulia mke wangu biashara ya m15 mi nikabaki natafuta vibarua vya kawaida, dharau zilianza hadi kufikia kuchit hapo tukiwa na watoto wawil, Nilivumilia kwa sababu ya watoto ila majuzi maji yamenifika pabaya nimeamua kuwa bachela.

So ushauri wangu tegemea yote, hakuna kiumbe dhaifu duniani kama mwanamke, hata umpe roho yako haridhiki, kama nilivyosema awali furaha ni uchague, upokee madhaifu yote yatakayotokea kwenye ndoa ikiwa ni kuvumilia usaliti, kuvumilia viburi, kuvumilia kejeli, kuvumilia kila aina ya uchafu maana mtu anapoingia kwenye ndoa anajua kila kitu amemaliza kwa kuwa anajua atakuwa happy, atakula kila aina ya raha, out nyingi, sex kibao, picnic za kutosha.

Wasijue ukiwa ndani majukumu yanaongezeka, unaweza uhamishwe kibarua uende Bukoba na we uliishi Dar, muda huo watoto wapo shule mama yao nae ana kibarua hapo ndo tutaomba Mungu asimamie ndoa maana uvumilivu wa mwanamke kwa tendo la ndoa ikizidi miezi mitatu bahati, so karibu ndoa ni kamari, sorry kwa uandishi usiopangilika, nawasilisha.
Yaani hawa viumbe, tuishi nao kwa akili. Unamfungulia biashara, anahonga kutoka kwenye biashara hiyohiyo na anakuwa mmiliki kwa asilimia mia. Hata siku ukimuomba nauli atakuambia unachezea hela zake
 
Hapa ndio wasiwasi wangu, kuumwa au kokosa hela watakukimbia tu, wengi wanapokuona una muelekeo wa kimaisha utaskia nitakua na wewe kwenye shida na raha sasa njoo ukose hela hata miezi mitatu tu uone huo urongo unapojidhihirisha.
[emoji3][emoji3][emoji3] mtakuja kufa kwani lazima muoe
 
Kiukweli maisha ya ndoa ni vaisi vesa, unategemea furaha ukiwa nje ukioa au kuolewa furaha ni uamue iwepo, ukubali kudhalilika, ukabali kejeli hasa kama pesa imeyumba, lakini yote yanawezekana. Niliwahi mfungulia mke wangu biashara ya m15 mi nikabaki natafuta vibarua vya kawaida, dharau zilianza hadi kufikia kuchit hapo tukiwa na watoto wawil, Nilivumilia kwa sababu ya watoto ila majuzi maji yamenifika pabaya nimeamua kuwa bachela.

So ushauri wangu tegemea yote, hakuna kiumbe dhaifu duniani kama mwanamke, hata umpe roho yako haridhiki, kama nilivyosema awali furaha ni uchague, upokee madhaifu yote yatakayotokea kwenye ndoa ikiwa ni kuvumilia usaliti, kuvumilia viburi, kuvumilia kejeli, kuvumilia kila aina ya uchafu maana mtu anapoingia kwenye ndoa anajua kila kitu amemaliza kwa kuwa anajua atakuwa happy, atakula kila aina ya raha, out nyingi, sex kibao, picnic za kutosha.

Wasijue ukiwa ndani majukumu yanaongezeka, unaweza uhamishwe kibarua uende Bukoba na we uliishi Dar, muda huo watoto wapo shule mama yao nae ana kibarua hapo ndo tutaomba Mungu asimamie ndoa maana uvumilivu wa mwanamke kwa tendo la ndoa ikizidi miezi mitatu bahati, so karibu ndoa ni kamari, sorry kwa uandishi usiopangilika, nawasilisha.
Mkuu you said it all ... Lakini nilikuwa nakuomba siku utelee kisa kamili kinacho husu ndoa yako ..walau sisi wengine tupate Cha kujifunza

Natanguliza shukurani
 
Uzi mzuri! Nafatilia siku utanifaa huu. Ila huku mtaani mbona kama watu wanaenjoy sana tu ndoa zao hadi natamani, ama ni machoni pa watu tu siri zao huko ndani wanazijua wao eeh??[emoji848]
Was mtaani sindio hao hao ambao wanaleta ushuhuda hapa .. na wengine ndio hao hao wanaoishia kuchinjana na Kuna wengine wanaishi kwa furaha mpaka mauti Yao ... Inshort ndoa Ni kitu fulani complicated sana ... ukitaka Kuoa jiandae kutokuwa na furaha ya kudumu
 
Hahahahaaaaaaaaaa

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Yaani hawa viumbe, tuishi nao kwa akili. Unamfungulia biashara, anahonga kutoka kwenye biashara hiyohiyo na anakuwa mmiliki kwa asilimia mia. Hata siku ukimuomba nauli atakuambia unachezea hela zake
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Asalam alaykum mabibi na mabwana, poleni kwa majukumu ya kazi za kila siku na kulea watoto.

Je, wewe ni mke au mume?

Je, umeoa au kuolewa?

Ndoa yako bado ina Furaha na amani?

Unaishi vile ulivyotegemea kalba ya ndoa?

Haya ni baadhi ya maswali muhimu kujiuliza ikiwa upo ndani ya ndoa. December 12 mwaka uliopita tulipeleka barua ya posa kwa familia fulani hukoo Sinza sasa wakati tunarudi mtu niliengozana nae akaniambia hivi.

Wanawake wengi wanategemea kupata raha ndani ya ndoa zao. Ikiwa imetokea tofauti hapo kuna uwezekano mkubwa sana WA ndoa kuyumba au kuachana kabisaaaaa.

Siku moja nikamuuliza Bi harusi wangu mtarajiwa unagemea nini ndani ya ndoa yako? Akanijibu, AMANI, FURAHA, KUSIKILIZANA NA UPENDO. Kiufupi nilifarijika sana kwa majibu haya.

Swali linakuja, Je watu wote wanaishi vile walivyotegemea ndani ya ndoa zao?
  • Mme
  • Nimeoa
  • NDIO
  • NDIO isipokuwa kwa kitu kimoja tu, sikutegemea kwamba mnaweza kuoana then kutokana na ajira ama bahati za kiuchumi mkaishia kuishi mbali mbali kwa kipindi kirefu sana.
..................................................................................................
- Swali linakuja, Je watu wote wanaishi vile walivyotegemea ndani ya ndoa zao? HAPANA
 
Hakuna kiumbe stressful kama mwanamke.. ukishampatia ndoa ndio umempa nafasi ya kuonyesha makucha yake.. zile jeuri.. viburi alizo zificha ndio utaanza kuziona. Nakwambia hakuna rangi utaacha kuiona hasa ukikosa pesa.

#MaendeleoHayanaChama
Kwanini mnaoa sasa?
 
Ndoa ni security kwa mwanamke.

Mwanamke ana hofu ya maisha hadi pale ajapoolewa, akiolewa tu basi ni uhakika na anashusha pumzi.

Mwanamme anapooa ndo hofu ya maisha inaanza, yeye ndo atajua familia inaishi vipi wakati huo na hata baada ya 'yeye' kufa!

“Tujengee nyumba, kuna leo na kesho... ukifa nisihangaike na wanangu”!!
 
Tatizo Kubwa la ndoa ni sheria ya ndoa hasa kwa mali, ikiwa sheria itakuwa wazi kutenganisha mali za wanandoa kabla na baada ya kuoana, ndoa zitadumu, wanawake wengi wamekua waviziaji kwenye eneo hilo, bila kujua mazara yake, asilimia kubwa wanawake wanaanzisha vurugu kwenye ndoa kwa jailli hio, na jamii bila kutambua hilo wanawatetea bila kufanya Utafiti wa chanzo cha migogoro kwenye ndoa. Angalia Mwanaume akitangulia kufa migogoro inaanza kwenye familia, ila mwanamke akitangulia kufa hakuna shida, hapo unaweza kutambua, wanawake kwa asilimia kubwa ndio chanzo cha migogoro.
 
Back
Top Bottom