TheChoji
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 6,551
- 20,260
- Thread starter
- #121
Mkuu unagonga kwenye mshono.. mi mwenyewe ni mfanyakazi ila napambana huko nje sema ndio nachezea za uso. Saa nyingine nadhani hata kale ka uhakika kwamba mshahara upo siwezi kufa njaa pengine kananifanya nisiwe serious saana kama inavyotakiwa..?Andika business plan , alafu kopa.
Sema hakikisha unasimamia Hesabu wewe, ukiwaachia wafanyakazi utaliwa shoti, wale wasiguse pesa ndo maana wafanyakazi wengi wa serikalini biashara zinawashinda.


