ulianzaje ulipotongoza mara ya kwanza? naomb tution

MOORIINGEE

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2013
Posts
381
Reaction score
190
Wadau nahisi kupoteza uzoefu wa kutongoza kwa sasa maana mabo ya siku hizi technologia imerahisisha maisha tofauti na Enzi za kumvizia mtu migombani na kisimani/bombani! nahisi professionalism/weledi unapungua naomba tukumbushane mbinu za kisasa na kupeana updates............
 
nilimpa trip za kwenda bangkok thailand , kuala lumpur malaysia, hongkong, na ohio, indianapolis, washington uko njian mambo yakajipa automatic bila shida.
 
Mpe zawadi wala usimwambie chochote. Akipokea tu, usiufunge mlango wa chumba chako. Ukisikia mtu anako.jo.a hapo karibu na mlango wako mvutie tu ndani
 
Kutongoza inategemeana kutokana na girl unayemtaka,umsome kwanza mtu kabla ye hajakusoma.
Wengine
1.Ukiwaangalia machoni au ukawakazia macho wanategeka
2.Mwingine unajifanya rafiki kwa mda mrefu unajifanya hutaki,siku inavyoenda unavuka mipaka mwisho wa siku ndo vile tena
3.Wengine dedication tu za nyimbo ambazo hajawahi sikia ukimtumia anadata
4.Wengine wanajifanya wa matawi,na wewe jifanye classic ila usijaribu kama huna huo uwezo
5.wengine wana madharau,unapokutana nao wadharau as if they are nothing,watajishusha mbona
6.mwingine unampiga sound na jinsi anavyoringa unajisemea tu moyoni ''we jifanye mjanja nikishakupata itakuwa zamu yako kubembeleza''

Mbinu ya mwisho.

Mwalike kwako girl huyo unayempenda,mwalike kwa dinner au lunch.
Wakati upo sebuleni unaenda kuoga,ukirudi kutoka bafuni dondosha taulo mbele yake ubaki kama ulivyozaliwa,halafu mmfuate mkumbatie,hatakataa maana atakuwa kashadata.

hii mbinu inafanya kazi,kati 10,8 lazima ufanikiwe
 
kutongoza ni incident! it may happen any how, anywhere!
 
nilimpa trip za kwenda bangkok thailand , kuala lumpur malaysia, hongkong, na ohio, indianapolis, washington uko njian mambo yakajipa automatic bila shida.
halafu yeye ndo akalipia trip hizo!! hahaa!
 
Kutongoza inategemeana kutokana na girl unayemtaka,umsome kwanza mtu kabla ye hajakusoma.
Wengine
1.Ukiwaangalia machoni au ukawakazia macho wanategeka
2.Mwingine unajifanya rafiki kwa mda mrefu unajifanya hutaki,siku inavyoenda unavuka mipaka mwisho wa siku ndo vile tena
3.Wengine dedication tu za nyimbo ambazo hajawahi sikia ukimtumia anadata
4.Wengine wanajifanya wa matawi,na wewe jifanye classic ila usijaribu kama huna huo uwezo
5.wengine wana madharau,unapokutana nao wadharau as if they are nothing,watajishusha mbona

Mbinu ya mwisho.

Mwalike kwako girl huyo unayempenda,mwalike kwa dinner au lunch.
Wakati upo sebuleni unaenda kuoga,ukirudi kutoka bafuni dondosha taulo mbele yake ubaki kama ulivyozaliwa,halafu mmfuate mkumbatie,hatakataa maana atakuwa kashadata.

hii mbinu inafanya kazi,kati 10,8 lazima ufanikiwe

Hiyo ya mwisho sikubaliani na wewe....wataka kuitwa mbakaji?
 
Naona umebobea katika nyanja hizo!
 
Back
Top Bottom