ulianzaje ulipotongoza mara ya kwanza? naomb tution

ulianzaje ulipotongoza mara ya kwanza? naomb tution

nilimpa trip za kwenda bangkok thailand , kuala lumpur malaysia, hongkong, na ohio, indianapolis, washington uko njian mambo yakajipa automatic bila shida.
ahaaaa ..moneystuna huna akili wewe!!!!!!!! khaaa
 
Wadau nahisi kupoteza uzoefu wa kutongoza kwa sasa maana mabo ya siku hizi technologia imerahisisha maisha tofauti na Enzi za kumvizia mtu migombani na kisimani/bombani! nahisi professionalism/weledi unapungua naomba tukumbushane mbinu za kisasa na kupeana updates............

traffic+sign.jpg
 
24hrs hyo ya mwisho kunawatu wengne haiwashtui KABISA. kuwa makini usjekimbia mji.
 
Last edited by a moderator:
mi naanzaga na story, hata ya kutunga but life touching then katikati naweka vikorombezo{machungu} mpaka naweka mkono shavuni, mwishoni naweka vimbwembwe mpaka anacheka, namwambia you are the one i wanna live the rest of my life with...kwishney
 
mbinu ya kutongoza ni kukaa kimya tu na kuwa mcheshi kwa huyo demu umtakaye,onyesha kumjali hata kwa kitu kidogo.Tumia muda mwingi kuwa nae karibu..
Siku mualike home halafuu.....
utamaliziaga vingine mwenyewe.


"Nlikuwepo"
 
Sijawahi kutongoza na nina girlfriend sina hata kumbukumbu ya jinsi nilivyompata mpaka akawa kwangu.
 
Wadau nahisi kupoteza uzoefu wa kutongoza kwa sasa maana mabo ya siku hizi technologia imerahisisha maisha tofauti na Enzi za kumvizia mtu migombani na kisimani/bombani! nahisi professionalism/weledi unapungua naomba tukumbushane mbinu za kisasa na kupeana updates............

nilimwambia nampenda kama mchuzi wa jogoo
 
Back
Top Bottom