Ulianzaje kukaa gheto?

mie ni introvert(70%), napata shda kujichanganya na washkaji asee. unakuta nawajua kabisa fulan ana bajaji na anaeza niachia daywork ila kwenda kumwambia nakua mzito knoma asee.
Ni vigumu sana kuiepuka hiyo hali ila hakuna namna mkuu,inakubidi tu uchangamkie fursa.
Usiwe mzito!
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Kuwa introvert ni shida sana
sehemu ya kujimwambafai pekee ni huku social media.

Sometimes tunaenjoy kampani yetu wenyewe sometimes tunaumia ndani kwa ndani na inachosha sana.

Naendaga hadi kwenye vijiwe kupoteza mda cha ajabu sichangii kitu zaidi ya kusikiliza tuu hata kama kitu nakijua.

Watu niliozoeana nao sana ni wazazi na wanafamilia maybe na watu nilinao kwenye discussion lakini wengine huku mtaani ni patupu.

Hasa hasa weekend kukiwa hamna mechi yeyote utaumia mzee.
 
Hii mada iliyoanzishwa ni nzuri ila changamoto zake sasa.

Mfano mimi nipo kwa bro hapa ana familia yake kabisa, hana noma kabisa sio yeye sio mkewe kila nikimwambia nachotaka ananipa ila nikitaka kusepa anakuuliza unaenda wapi?
Kufanya nini?
Wee soma kwanza(nipo chuo mwaka wa pili huu).

Mnavyoweka mada zenu sijui za kusepa home na kuhamia ghetto mnanitamanisha yaani mpaka najisemea ipo siku nikifika geto nitachapa sana mademu

Mnavyosifia mageto yenu mnatufanya tuanze kupachukia hapa nyumban na kupaona kama hapafai na kuona kama tunachelewa kuanza maisha yetu
 
Mkuu kama ukiwa na ghetto kali, utawala mpaka basi. Mimi ndo kwanza mwezi wa pili huu ila balaa lake mpaka naishia kuwakimbia.
 
Hongera sana man... Me bado carpet tu then nitashare na vijana wengine... Sema usisahau sabufa na feni mkuu pambania san hizo mambo.
Mkuu saiv nakosa amani sababu ya bufa feni nshachukua ya kishkaji ila soon tu navuta sabufa maana getto kumepoa sana
 
Hii mada iliyoanzishwa ni nzuri ila changamoto zake sasa.

Mfano mimi nipo kwa bro hapa ana familia yake kabisa, hana noma kabisa sio yeye sio mkewe kila nikimwambia nachotaka ananipa ila nikitaka kusepa anakuuliza unaenda wapi?
Kufanya nini?
Wee soma kwanza(nipo chuo mwaka wa pili huu).

Mnavyoweka mada zenu sijui za kusepa home na kuhamia ghetto mnanitamanisha yaani mpaka najisemea ipo siku nikifika geto nitachapa sana mademu

Mnavyosifia mageto yenu mnatufanya tuanze kupachukia hapa nyumban na kupaona kama hapafai na kuona kama tunachelewa kuanza maisha yetu
Mimi nko chuo mwaka wa kwanza tayar nna kwangu aisee ni utawala ile mbaya hata akil yangu naikubal saiv inawaza kupambana sana
 
Hii mada iliyoanzishwa ni nzuri ila changamoto zake sasa.

Mfano mimi nipo kwa bro hapa ana familia yake kabisa, hana noma kabisa sio yeye sio mkewe kila nikimwambia nachotaka ananipa ila nikitaka kusepa anakuuliza unaenda wapi?
Kufanya nini?
Wee soma kwanza(nipo chuo mwaka wa pili huu).

Mnavyoweka mada zenu sijui za kusepa home na kuhamia ghetto mnanitamanisha yaani mpaka najisemea ipo siku nikifika geto nitachapa sana mademu

Mnavyosifia mageto yenu mnatufanya tuanze kupachukia hapa nyumban na kupaona kama hapafai na kuona kama tunachelewa kuanza maisha yetu
Gheto sio sehemu ya kuingiza wanawake mtu unawaza upange ili uchakate papuchi aisee tutafika mbinguni tumechoka sana
 
Ila ghettos raha bhana,
Shida muda wa kulipa kodi, hasa mwenye nyumba awe mkali na huna wakat huo,

Utaimba,kusifu na kuabudu, utaimba mapambio yote,
Nikiwazaga hayo makodi tu stimu inakata, mangi mie bora nijenge ata ya tope niishi kwangu

Kupanga nako shida tu,lakini basi tu

Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
 
mi baba angu wa kufikia alinifukuza, nikasepa afu alijua nitshangaika kumuomba nirudi home, nilifurahi coz home siku zote hasa mama hakupenda mtu kupanga wakati pa kukaa papo.... uzur nilivokuwa home nilikuwa najitahid tu kununua vitu vya ndani yaan vyote muhimu geto nilifikia kununua TV tu. maisha yakasonga,now ni mama nzuri tu
Sijaelewa. Ni mama nzuri ukimaanisha...?
 
Back
Top Bottom