gheto

Pan Lakshat Kon Gheto (Marathi: पण लक्षात कोण घेतो?, English: But Who Cares...) is an 1890 Marathi novel by Hari Narayan Apte. Written in autobiographical style, the novel tells the story of Yamuna, a young Hindu middle-class woman, who dies after suffering the injustices of a society where child marriage is customary. It is considered to be a classic novel in Marathi literature.

View More On Wikipedia.org
  1. UKWAJU WA KITAMBO

    Kafia Gheto ya Hussein Rashid a.k.a Hussein Machozi

    HUSENI MACHOZI Hussein Rashid a.k.a Hussein Machozi . Alizaliwa mwaka 1986 katika wilaya ya Manyoni mkoani Singida. HUSENI MACHOZI ni moja Kati ya wasanii ama list ya wasanii ambao walipita kwenye mikono ya radio presenter/ producer "kid BWAY" Hii ni List ya baadhi ya wasanii ambao wamepita...
  2. V

    Mnaoishi Gheto pitia hapa mfaidi.

    Kama mjuavyo Shemeji yenu nimempa likizo (ban) akajitathimini kama ndoa inamuhusu au ina wenyewe. Sasa Kuna mambo nimekuwa nikiyafanya maghetoni nimeona niwashirikishe masela labda itawafaa kusevu muda na kurahisisha maisha. Kwanza kusonga ugali siku mbili za mwanzo nliona kama adhabu ya kifo...
  3. GENTAMYCINE

    Kuna Vibaka nawaona kabisa wanakula Rada Dirisha la Gheto langu, tafadhalini nichagulieni Adhabu ya kuwapa ambayo hawatoisahau Milele

    Je, 1. Wakija Kuniibia nimsaidie Kazi Israeli ili wakayaanze Maisha yao mapya Kinondoni au Kisutu? 2. Wakija Kuniibia niwe tu Mpole wachukue watakacho 3. Wakija Kuniibia nivizie wa Kwanza kuingiza / kupenyeza Kichwa chake Dirishani Kwangu na nikitenganishe Kichwa chake na Kiwiliwili? 4...
  4. Balqior

    Saa nyingine wanaume tukipenda sana, first date tunamwalika mwanamke restaurant au sehemu nyingine tulivu ila sio gheto au lodge

    Kuna katabia ambacho wanaume tunacho, tukimpenda sana mwanamke hadi kujisemea akilini huyu akinikubali namwoa, tunaona noma kumwita gheto on first meeting, kwasababu tunahisi atakataa, na tutajiharibia cv kwa kuonekana wahuni, na hatutaki tukataliwe. Badala yake tunaomba tukutane mgahawani, au...
  5. mike2k

    Ni Kitu ghani ulishawahi kuona kwenye nyumba/chumba cha mtu ukashindwa kabisa kuelewa kilifikaje fikaje pale?

    Kwenye harakati za maisha unaweza kwenda kwa mtu,mshikaji au ndugu yako ukakutana na vitu ukajiuliza vimefikaje pale ukakosa majibu. Mimi nna visa kadhaa ambavyo nilivikuta kwa washikaji zangu kwenye magheto yao huwa najiuliza sana nakosa majibu hadi leo..nabaki kucheka tu kila nikikumbuka. 1...
  6. DR HAYA LAND

    Uliza swali lolote kuhusu Maisha ya mtaani

    Karibuni muulize maswali namna gani kwa kijana was umri wa Kuanzia 18s anaweza kuishi mtaani bila kumtegemea mtu na kuweza kulipa bills zake , Kama Kodi ya nyumba au chumba , umeme maji na nk na kuweza kuchoma nyama weekend . Karibuni ...binafsi Nina 24 yrs ila nimeingia mtaani huu mwaka 7...
  7. Melki the Storyteller

    Siafiki msemo wa "Mwanamke akiingia gheto hatakiwi kutoka kizembe" Yalinikuta mwenzenu

    Ilikuwa mwaka jana! Baada ya kuona mazoea yamezidi, mara anione aniite ite, anikumbatie mbele ya watu, vizawadi zawadi vya hapa na pale, nikajua hii papuchi naichakata soon! Nilivyompanga akakataa, nikamuuliza sababu, siku ya kwanza kasema Dini hairuhusu (binti wa kilokole), siku iliyofuata...
  8. Dola Iddy Wa Chelsea

    Nahisi gheto kwangu kuna nyoka koboko

    Wadau nimetoka zangu vatcan hapa narudi gheto usingiji auji Na tangu jioni TANESCO wamekata umeme Wakati najigeuza geuza kitandani kutafuta usingizi ndo nasikia kuna kitu kama kina gonga gonga huku kukiwa na sauti kama tairi inatoa upepo Huyu anaweza kuwa koboko , naombeni ushauri nifanyeje?
  9. Pedrz

    Mpenzi wangu kazimia gheto nifanyeje?

    Hii ilishawahi kumtokea rafiki angu kamwita demu wake geto alafu kakuta sms za demu kibao kwenye simu ya mshikaji wake wacha azimie Sasa hii imetokea kwangu juzi kuna kademu kalikuja geto sasa nilikuwa nimezidiwa kweli ndo maana nilikaita sasa baada ya show Nimeenda kuoga kurudi kanaanza...
  10. Lager

    Grace usije tena gheto

    Kila tukikosana na nikataka tuachane basi unakuja gheto kuomba msamaha na mara zote msamaha nautoa bila hata kuongea chochote yani ukinipa tu na msamaha natoa!. Kusema kweli Grace sijapenda tabia yako hii ya kumaliza makosa yako kwa njia ya kidikteta telezeshi! Visa vyako ni zaidi ya msamaha...
  11. Walec

    Ulianzaje kukaa gheto?

    Wakuu mambo vipi, leo naomba tufanye kushare kila mtu jinsi alivyochomoka Nyumbani kwao.. Hii itatoa hamasa kwa wale waliokua nyumbani na kuogopa kuhama na kuanza kujitegemea. Janga hili linawakumba wana vyuo wengi,unakuta mtu anamalza chuo akiwa labda ana 25 then anarud nyumbani, mbaya zaidi...
Back
Top Bottom