Hii mada iliyoanzishwa ni nzuri ila changamoto zake sasa.
Mfano mimi nipo kwa bro hapa ana familia yake kabisa, hana noma kabisa sio yeye sio mkewe kila nikimwambia nachotaka ananipa ila nikitaka kusepa anakuuliza unaenda wapi?
Kufanya nini?
Wee soma kwanza(nipo chuo mwaka wa pili huu).
Mnavyoweka mada zenu sijui za kusepa home na kuhamia ghetto mnanitamanisha yaani mpaka najisemea ipo siku nikifika geto nitachapa sana mademu
Mnavyosifia mageto yenu mnatufanya tuanze kupachukia hapa nyumban na kupaona kama hapafai na kuona kama tunachelewa kuanza maisha yetu