Walec
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,364
- 3,400
- Thread starter
- #3,841
Tumia pesa ikuzoee bossmie nikiwaga na hela naogopa hata kutumia,maana nikiishiwa tu mambo yanajitokeza,
Sent using Jamii Forums mobile app

Tumia pesa ikuzoee bossmie nikiwaga na hela naogopa hata kutumia,maana nikiishiwa tu mambo yanajitokeza,
Sent using Jamii Forums mobile app

Daaaah kwa hii hela mim na panga na mtaji juuMbona mambo ni rahisi?
Kitanda na godoro '400+
Vyombo vya kuanzia + kapeti havimalizi 200K
Kodi '300 .. 50×6
Mengine utakuwa unaendelea mdo mdo



si mliyaitaje sijui wew na mwenzioSubiri kina cocastic na kundi lake waje kuponda pishi hiloMaisha ya geto, ugali mkubwaa dagaa wa kuhesabu.. aisee dagaa wana save sana budget , pale unapokuwa umefuria... View attachment 2215300


,Kwa mimi dagaa ndo mboga yangu pendwa asa wale wa mwanza wa kwnye vipakitiAkiniponda, itabidi aje nimuoe , awe ananipikia vyemaSubiri kina cocastic na kundi lake waje kuponda pishi hilo,Kwa mimi dagaa ndo mboga yangu pendwa asa wale wa mwanza wa kwnye vipakiti
Huu ndo ugali mkubwa unaousemea au kuna mwingineMaisha ya geto, ugali mkubwaa dagaa wa kuhesabu.. aisee dagaa wana save sana budget , pale unapokuwa umefuria... View attachment 2215300


Nilitaka kuuliza hiviHuu ndo ugali mkubwa unaousemea au kuna mwingine![]()
Baada ya kumjua ni wa aina gani, anisumbuiNa anakuandamaga sana![]()
hah ndio huoHuu ndo ugali mkubwa unaousemea au kuna mwingine![]()
Dona lenyewe halijaiva, afu dagaa wana shombo hapo, hujaosha vizuri lol.Maisha ya geto, ugali mkubwaa dagaa wa kuhesabu.. aisee dagaa wana save sana budget , pale unapokuwa umefuria... View attachment 2215300





Kuna mtu alisema hv ukija ww humu lazima uuponde huo msosi na kweli there you goDona lenyewe halijaiva, afu dagaa wana shombo hapo, hujaosha vizuri lol.![]()
huyu, mm nimemzoea, nataka nimuoe awe ananipikiaKuna mtu alisema hv ukija ww humu lazima uuponde huo msosi na kweli there you go
Kabsa mkuu naon wadau wengi wamenshauri tanfoam itabd nchukue hilohilo mkuuNunua TANFOAM fundi bishoo hutajutia.
Ile slogani yao ya Alinunua Babu Mpaka Mjuu Analitumia sio ya uongo.
Ukiweza piga simu kiwandani wakuelekeze wapi ukachukue kwa Bei na vigezo vyako.
Mimi kuna mmama uwa nanunua kwake ananichambulia kisado kizima wapo geto mda wote, ukijisika unaanga, unalost au unawapika wa mchuzi pembeni mboga za majani, dagaa ni mboga ya fastaMaisha ya geto, ugali mkubwaa dagaa wa kuhesabu.. aisee dagaa wana save sana budget , pale unapokuwa umefuria... View attachment 2215300
Kuna mtu alisema hv ukija ww humu lazima uuponde huo msosi na kweli there you go




kwan uongo sasa?Tupo kaka apo ongeza na ayaView attachment 2215791
Iv humu kuna walevv wa euro truck simulator 2??