Inauma lakini ndio maisha unakubaliana nayo

DAN LOKOMOTIVE

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2016
Posts
1,536
Reaction score
1,998
Iko hivi kipindi nasoma miaka hiyo nilikua na jamaa yangu mmoja tulikua majirani na wazazi wetu walikua marafiki sana. Tulikua tunasoma darasa moja kuanzai darasa la tatu hadi form four.

Kiukweli huyu jamaa alikua anauwezo sana darasani hata nipambane vipi nikijtahidi nikipata hamsini basi yeye unakuta ana 98 . Tumeenda tumemealiza form four akafaulu mimi nikaingia mtaani kupambana aisee. Jamaa kaenda chuo kaosma masuala ya engeneering kamaliza sasa karudi mtaani. Hana mishe wala nini na mimi kipindi hicho mishe nilizokua nazifanya zilikua zinanilipa gheto kuko fresh mfukoni kuko vizuri.

Sasa jamaa akawa anahangaika kutafuta vibarua ikabidi tuungane naye kwenye mishe zangu basi nikawa kama boss wake. Kiukweli nikawa nafurahi sana kwaba pamoja na kunizidi akili na kisomo mimi ndio nina muweka mtaani.

Ikafikia kipindi hata tukikaa mtaani naanzisha topic za wasomi wanavyo kua hawana maana wanashindwa maisha. Basi bwana siku zimeenda akaja akaniomba ruhusa aende kwenye usahili ni mkopesha pale pesa.

Jamaa kaenda akawa ameipata ile kazi sasa. Kwenye shirika kubwa tu serikalini. Dah aisee kiukweli wakuu wivu ukaniingia baada ya kuona mambo ya huyu jamaa yanavobadilika kwa muda mchache bila kuhangaika kama mimi nimepitia kifukikia hapa. Huwezi amini ndani ya miaka miwili ameweza kufanya vitu amabavyo ninaviwaza miaka sita nyuma, Kabadilisha kwao.

Nilichojifunza Mungu ndio mpaji kama tukiweza kupeleka watoto shule tuwaoeleke wawe wanategemea hata elimu ya darasani maana mimi nispopigwa jua ugali haupo..
 
Maisha ni safari mkuu, dereva ndio yuko mbele kuwahi kufika, ila kushuka wanashuka abiria wa nyuma, yeye ndio anakuwa wa mwisho tena kushuka.

Lakini cha kushangaza ni wewe kuumia roho wakati wote mpo katika sekta tofauti lakini zaidi wewe kutokubaliana na nature ya maisha.
 
Ila waafrika bana..

Kwahiyo wewe ulikua unafurahia jamaa yako alivyokua hana mishe 🙄
 
Hongera kwa kuwa mkweli, ila kwenye haya maisha usijaribu kujilinganisha na mtu, tambua safari unayosafiri ni ya peke yako.
 
Maisha ni safari mkuu, dereva ndio yuko mbele kuwahi kufika, ila kushuka wanashuka abiria wa nyuma, yeye ndio anakuwa wa mwisho tena kushuka.

Lakini cha kushangaza ni wewe kuumia roho wakati wote mpo katika sekta tofauti lakini zaidi wewe kutokubaliana na nature ya maisha.
Huyu jamaa angekua na uwezo wa kuzuia riziki ya jamaa angezuia
 
Huyu ndiye ameamua kutoa ukweli wa roho za marafiki tulionao, kuna marafikiri ukiwa hauna yuko radhi akulishe kila siku wewe na familia yako, ila ukipata ukaweza kujisimamia anapata wivu badala ya kufurahia na mwenzie kapata aache utegemezi
 
kweli tupu👿
 
Watu hawatokuelewa, lakini kiukweli una moyo mweupe sana...
Wewe ni mkweli umepitiliza...watabwabwaja lakini kiwivu cha kimaendeleo ni lazima kwa yeyote isipokuwa watakatifu wa jf.Keep fighting bro👊
 
Iko hivi kipindi nasoma miaka hiyo nilikua na jamaa yangu mmoja tulikua majirani na wazazi wetu walikua marafiki sana. Tulikua tunasoma darasa moja kuanzai darasa la tatu hadi form four.

Kiukweli huyu jamaa alikua anauwezo sana darasani hata nipambane vipi nikijtahidi nikipata hamsini basi yeye unakuta ana 98 . Tumeenda tumemealiza form four akafaulu mimi nikaingia mtaani kupambana aisee. Jamaa kaenda chuo kaosma masuala ya engeneering kamaliza sasa karudi mtaani. Hana mishe wala nini na mimi kipindi hicho mishe nilizokua nazifanya zilikua zinanilipa gheto kuko fresh mfukoni kuko vizuri.

Sasa jamaa akawa anahangaika kutafuta vibarua ikabidi tuungane naye kwenye mishe zangu basi nikawa kama boss wake. Kiukweli nikawa nafurahi sana kwaba pamoja na kunizidi akili na kisomo mimi ndio nina muweka mtaani.

Ikafikia kipindi hata tukikaa mtaani naanzisha topic za wasomi wanavyo kua hawana maana wanashindwa maisha. Basi bwana siku zimeenda akaja akaniomba ruhusa aende kwenye usahili ni mkopesha pale pesa.

Jamaa kaenda akawa ameipata ile kazi sasa. Kwenye shirika kubwa tu serikalini. Dah aisee kiukweli wakuu wivu ukaniingia baada ya kuona mambo ya huyu jamaa yanavobadilika kwa muda mchache bila kuhangaika kama mimi nimepitia kifukikia hapa. Huwezi amini ndani ya miaka miwili ameweza kufanya vitu amabavyo ninaviwaza miaka sita nyuma, Kabadilisha kwao.

Nilichojifunza Mungu ndio mpaji kama tukiweza kupeleka watoto shule tuwaoeleke wawe wanategemea hata elimu ya darasani maana mimi nispopigwa jua ugali haupo..
Elimu Huwa haimtupi mtu!IPO siku tu!

SEMA kwasasa vijana wakomae coz shule za serikali zipo nzuri na vyuo vipo hakuna haja ya kukomaa private!!asilimia kubwa ya watumishi tegemewa waliopo serikalini na wanasiasa ni zao la shule za serikali kama usagara,kibaha ,ilboru,etc na sio hizo zao za mamilioni!
 
Daah ngozi nyeusi matatizo sana. Yaan wewe ndio ulikua unamponda kabisa kuhusu wasomi wanavyohangaika. Amepata kitu unaanza kuumia mna roho gani nyie!. Badala ufurahi jamaa ametoka shimoni akaokoe familia yake wewe unakunja. Kwahiyo ikitokea kwa bahati amefariki wewe utafurahi?
 
Back
Top Bottom