Political stability
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 905
- 1,410
Hivi vitu napends nivijue, naomba kuelekezwa, hasa kwenye mambi ya ma games, ila isiwe games za mpira..Tupo kaka apo ongeza na aya
Assassin creed 1,2
Mafia 2
Fifa 14 au 2020
Blur
Pes 2021 ukiwa na wana inakuwa poa sana
Game n movie ndio ulevi wangu mkubwa na mziki mkubwa kwa mbali


me sijawahi penda pes toka nazaliwa na sio tu mapenzi bali limekaa kiuongo sana yaan game ni lile linaanza EA sport to the game
