Ulega: Rais Samia umeituliza nchi sakata la Dabi ya Kariakoo

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati na kusuluhisha mvutano uliokuwepo kati ya klabu za Yanga na Simba kuhusu ratiba ya mchezo wao, imeleta utulivu mkubwa kwa Taifa na mashabiki wa soka nchini.

Akizungumza leo Jumamosi, Juni 14, 2025, wakati wa hafla ya kukagua miradi ya maendeleo katika uwanja wa ndege wa Msalato jijini Dodoma, Ulega amesema Rais Samia ameonesha mfano wa uongozi wenye hekima na usikivu kwa kutatua changamoto iliyokuwa ikiibua sintofahamu na hisia kali kwa mashabiki wa soka.

"Jana lilikuwa jambo kubwa ulilolifanya, pale ulipokutana na viongozi wa vilabu viwili vikubwa hapa nchini, Simba na Yanga. Kazi ile ya kihistoria uliyoifanya jana, umeituliza nchi, umewatuliza wapenda soka na Taifa kwa ujumla. Sasa kila mmoja anaelewa kuwa mchezo utafanyika kama ilivyopangwa," amesema Ulega.

Itakumbukwa kuwa, awali mchezo huo namna 184 wa watani wa jadi kati ya Simba na Yanga, ambao ni wa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya NBC, ulipangwa kufanyika Machi 8, 2025, kabla ya kuahirishwa. Hata hivyo, baada ya mvutano uliohusu ratiba na maandalizi ya mchezo huo, Bodi ya Ligi (TPLB) ilitangaza rasmi kwamba mechi hiyo itachezwa Juni 25, 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.​
 
Itakumbukwa kuwa, awali mchezo huo namna 184 wa watani wa jadi kati ya Simba na Yanga, ambao ni wa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya NBC, ulipangwa kufanyika Machi 8, 2025, kabla ya kuahirishwa. Hata hivyo, baada ya mvutano uliohusu ratiba na maandalizi ya mchezo huo, Bodi ya Ligi (TPLB) ilitangaza rasmi kwamba mechi hiyo itachezwa Juni 25, 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
Mpuuuuuuuuziiii yeye sio wa kuongeleaa mpira aongelee sekta yake na changamoto zake .....mjingaaa....anabebwa na imani tuuu hana jipyaa
 
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati na kusuluhisha mvutano uliokuwepo kati ya klabu za Yanga na Simba kuhusu ratiba ya mchezo wao, imeleta utulivu mkubwa kwa Taifa na mashabiki wa soka nchini.

Akizungumza leo Jumamosi, Juni 14, 2025, wakati wa hafla ya kukagua miradi ya maendeleo katika uwanja wa ndege wa Msalato jijini Dodoma, Ulega amesema Rais Samia ameonesha mfano wa uongozi wenye hekima na usikivu kwa kutatua changamoto iliyokuwa ikiibua sintofahamu na hisia kali kwa mashabiki wa soka.

"Jana lilikuwa jambo kubwa ulilolifanya, pale ulipokutana na viongozi wa vilabu viwili vikubwa hapa nchini, Simba na Yanga. Kazi ile ya kihistoria uliyoifanya jana, umeituliza nchi, umewatuliza wapenda soka na Taifa kwa ujumla. Sasa kila mmoja anaelewa kuwa mchezo utafanyika kama ilivyopangwa," amesema Ulega.

Itakumbukwa kuwa, awali mchezo huo namna 184 wa watani wa jadi kati ya Simba na Yanga, ambao ni wa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya NBC, ulipangwa kufanyika Machi 8, 2025, kabla ya kuahirishwa. Hata hivyo, baada ya mvutano uliohusu ratiba na maandalizi ya mchezo huo, Bodi ya Ligi (TPLB) ilitangaza rasmi kwamba mechi hiyo itachezwa Juni 25, 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.​
downloadfile-66.jpg
 
Kusema kweli iwapo Simba wataenda uwanjani kucheza,huu ndio utakuwa mwisho wangu wa kufuatilia soka la kibongo maana ni kama maigizo ya wwe.
Kwa kweli nitaanza harakati ya kuwaamsha vijana wadogo waachane kabisa na ushabiki wa hizi timu za kibongo maana ni dalili ya utaahira.
Soka halina uhalisia na nitaanza kuamini hata uwekezaji unaofanyika inawezekana sio pesa za wafanyabiashara,bali ni pesa za zunazotoka kwa wanaofaidika na mfumo huu wa kuwepo aina ya sinema inayoonyesha soka.
 
Je na rungu la fifa mnakumbuka kama lipoo?
 
Samia anaingilia sana soka, sijui ndio mama au kwa sababu mteja wao wa kununua magoli.
 
Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati na kusuluhisha mvutano uliokuwepo kati ya klabu za Yanga na Simba kuhusu ratiba ya mchezo wao, imeleta utulivu mkubwa kwa Taifa na mashabiki wa soka nchini.

Akizungumza leo Jumamosi, Juni 14, 2025, wakati wa hafla ya kukagua miradi ya maendeleo katika uwanja wa ndege wa Msalato jijini Dodoma, Ulega amesema Rais Samia ameonesha mfano wa uongozi wenye hekima na usikivu kwa kutatua changamoto iliyokuwa ikiibua sintofahamu na hisia kali kwa mashabiki wa soka.

"Jana lilikuwa jambo kubwa ulilolifanya, pale ulipokutana na viongozi wa vilabu viwili vikubwa hapa nchini, Simba na Yanga. Kazi ile ya kihistoria uliyoifanya jana, umeituliza nchi, umewatuliza wapenda soka na Taifa kwa ujumla. Sasa kila mmoja anaelewa kuwa mchezo utafanyika kama ilivyopangwa," amesema Ulega.

Itakumbukwa kuwa, awali mchezo huo namna 184 wa watani wa jadi kati ya Simba na Yanga, ambao ni wa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya NBC, ulipangwa kufanyika Machi 8, 2025, kabla ya kuahirishwa. Hata hivyo, baada ya mvutano uliohusu ratiba na maandalizi ya mchezo huo, Bodi ya Ligi (TPLB) ilitangaza rasmi kwamba mechi hiyo itachezwa Juni 25, 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.​
Ngoja tuwaambie FIFA kuwa Serikali ya Tanzania inaingilia maamuzi ya uongozi wa mpira tuone nini kitatokea.
 
Ul
Kusema kweli iwapo Simba wataenda uwanjani kucheza,huu ndio utakuwa mwisho wangu wa kufuatilia soka la kibongo maana ni kama maigizo ya wwe.
Kwa kweli nitaanza harakati ya kuwaamsha vijana wadogo waachane kabisa na ushabiki wa hizi timu za kibongo maana ni dalili ya utaahira.
Soka halina uhalisia na nitaanza kuamini hata uwekezaji unaofanyika inawezekana sio pesa za wafanyabiashara,bali ni pesa za zunazotoka kwa wanaofaidika na mfumo huu wa kuwepo aina ya sinema inayoonyesha soka.
Ulikuwa hujui kuwa ushabiki wa mpira ni kuwa daraja kwa wengine na kujiweka ktk hatari kiroho na kimwili?
 
Back
Top Bottom