dabi ya kariakoo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Rasmi:Yanga yakata rufaa TFF kupinga ushindi wa Simba kwenye Dabi ya kariakoo iliyopigwa tarehe 10/10/2026.

    Habari zenu wanajamvi. Nikiwa mmoja wa jopo la wanasheria wa Yanga tumepeleka rufaa TFF kwenye kitengo husika kupinga ushindi wa Simba katika Dabi ya kariakoo iliyopigwa dimba la uhuru octoba kumi mwaka huu. Badda ya kufanya uchunguzi makini na kukusanya ushahidi usio na shaka tumegundua kuna...
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania Dabi hii hakuna suluhu, litakufa jitu. Wa mbili havai moja

    Timu zote ziko vizuri lakini wa mbili havai moja. https://youtube.com/shorts/Yes-A-OrhoE?si=LMtLgeHlMGBB5jsC
  3. PAYE

    JamiiForums Tanzania Mchezaji gani unadhani ataamua Dabi ya Kariakoo?

    Dabi ya Kariakoo si lazima iamuliwe na jina kubwa zaidi, bali inaweza kuamuliwa na mtu mmoja atakayetoa tofauti wakati ambao hakuna anayetarajia! Simba SC na Yanga SC zinatarajiwa kukutana Jumamosi, Oktoba 10, 2026, saa 1:00 usiku, kila timu ikisaka alama tatu muhimu katika mbio za ubingwa wa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi Kuu yarejesha utaratibu wa zamani kununua Tiketi Dabi ya Kariakoo

    Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imesema imerejesha utaratibu wa awali wa ununuaji wa tiketi wakati maboresho ya mfumo mpya yakiendelea kufanyiwa kazi. “Simba dhidi ya Young Africans upo kwenye mfumo na mashabiki wanaweza kununua tiketi” Kaimu Ofisa Habari wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB)...
  5. PAYE

    JamiiForums Tanzania Simba yadaiwa kugomea Kampuni mpya ya Uuzaji Tiketi za Dabi ya Kariakoo

    Klabu ya Simba SC imegomea kampuni mpya iliyopitishwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa ajili ya uuzaji wa tiketi za mchezo wa Dabi ya Kariakoo dhidi ya Yanga SC, unaotarajiwa kuchezwa Oktoba 10, 2026. Simba SC imechukua hatua hiyo kwa kuandika barua rasmi kwenda Bodi ya Ligi...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Dabi ya Kariakoo Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2026/2027 kupigwa Oktoba 10, 2026

    Baada ya mchezo wa Ngao ya Jamii Agosti 12, 2026 wa Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga SC na Simba SC, timu hizo mbili zitaendelea na maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu ya NBC 2026/2027. Yanga SC itasafiri kuelekea Ruangwa, Lindi, ambapo Agosti 15, 2026 itacheza dhidi ya Namungo FC katika mchezo...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TFF yatoa Notisi ya Siku 60 kwa Makampuni ya Betting kujieleza kwa kuweka Mechi ya Dabi (Yanga na Simba) kwenye mfumo bila idhini

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa notisi ya kisheria ya siku 60 kwa makampuni kadhaa ya michezo ya kubahatisha (betting), likitaka maelezo ya kwanini yaliorodhesha mchezo wa Ligi Kuu ya NBC kati ya Young Africans SC (Yanga) na Simba SC bila idhini. Mchezo huo wa Dabi...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Prince Dube alivyomzawadia Pesa Mwananchi Bandarini baada ya Dabi ya Kariakoo

    Mshambuliaji wa Young Africans S.C (Yanga SC), Prince Dube, alivyomzawadia pesa Mwananchi baada ya kutua bandarini Machi 2, 2026 akitokea Zanzibar na klabu yake kufuatia mechi ya dabi ya Kariakoo Jumapili ambayo ilimalizika kwa suluhu ya 0-0.
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Simba underdog mbele ya Yanga, Nassoro Mwinchui Pilato Dabi ya Kariakoo, Machi 1, 2026

    Vigogo wa soka la Tanzania, Simba SC na Yanga SC wanatarajiwa kushuka dimbani Machi 1, 2026 katika Uwanja wa Amaan Complex kuumana katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambapo kuelekea mechi hiyo Yanga ni vinara wa ligi wakiwa na alama 28 na pia wamewafunga Simba mara sita mfululizo. Mchezo...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Simba huwenda ikasusia mechi ya Dabi, waiandikia barua Bodi ya Ligi kisa mechi kupelekwa Zanzibar

    Wakuu Hawa Simba tuwenao karibu, wasije wakagoma bure kuvuka maji. Mr. Reporter amedai tayari wameandika barua ya kutafutia sababu zao baadaye. = Uongozi wa Simba SC umeiandikia barua Bodi ya Ligi (TPLB) kutaka kujua kwanini taarifa ya kuhamisha uwanja kutoka Benjamin Mkapa kwenda Amaan...
  11. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Kusumbua watu na kughasi mamlaka kuahirisha michezo, na barua za taarifa kwa umma, Kumbe timu yenyewe hauna

    Hili jambo limenisikitisha sana, Kwa zile mbwembwe za kamati za kujiita 'ubaya ubwege' na jinsi walivyokuwa wakitoa vitisho na kuonekana wamepania na kujipanga haswa nje na ndani ya uwanja kuhakikisha wanatwaa ubingwa msimu huu wa 2024/2025 LA HAULA! Kumbe ni kelele za debe tupu! Mwisho wa...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kabla ya mchezo wa Yanga SC dhidi ya Simba SC wachezaji wa timu zote kupimwa kama wametumia dawa zisizofaa michezoni

    Inaelezwa kuwa kabla ya mchezo wa Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga SC dhidi ya Simba SC wachezaji wa timu zote mbili watapimwa kama wametumia dawa zisizofaa michezoni. Ikumbukwe kuna mwaka Jana, kuna video ambayo ilizua mijadala na kuibua tuhuma mbaya kwa klabu ya Yanga kuwa hudungwa Sindano...
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Simba wathibitisha kupeleka timu uwanjani

    Simba imemaliza utata wa Dabi ya Kariakoo baada ya kuweka taarifa za kuwa tayari kucheza mchezo huo kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii. Simba ilikua kimya kwa muda mrefu kuhusu mchezo huo, hali ambayo iliibua maswali kwa mashabiki wengi waliokuwa wanataka kufahamu msimamo wa timu hiyo...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Muonekano wa dimba la Mkapa kuelekea mechi ya Dabi, Yanga dhidi ya Simba

    Dimba la Benjamin Mkapa limeonekana kuwa katika hali ya kuvutia kuelekea mechi ya kusisimua ya Dabi kati ya Yanga na Simba inayotarajiwa kuchezwa saa 11, Jioni leo Juni 25,2025.
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Ukija kwa Mkapa uje bila vurugu ulinzi upo wakutosha

    Jeshi la polisi limeimarisha ulinzi kuelekea Dabi ya kariakoo hapo baadaye majira ya saa 11 jioni katika uwanja wa Benjamini Mkapa Dar Es Salaam.
  16. Bueno

    JamiiForums Tanzania Leo Ndio 25.06.2025 Leo Ndio ile Siku Simba SC anaenda Kukichapa na Yanga. Je! Watacheza?

    Ya Ngoswe tumwachie Ngoswe. Leo ndio siku ile iliyokua inasuburiwa kwa hamu na Wadau na Mashabiki wa timu hizi mbili, hapa naizungumzia Dabi ndio ni Dabi ya Kariakoo, huku Simba SC kule Yanga SC nani atamtwanga mwenzie siku ya leo? Je! Ni kweli leo Simba SC hawataingiza timu yao uwanjani yaani...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Kabla hatujacheza, tunataka mtwambie kwa nini mechi ya tarehe 15/06/2025 Iliahirishwa, na kwa nini tucheze kesho?

    Hatuna zaidi, ila tupewe tu majibu, nini kilitokea tarehe 15/06 hadi mechi ipelekwe tarehe 25/06, bila majibu ya kueleweka msimamo wetu ni ule ule, HATUCHEZI KESHO!
  18. Muimba SINGELI

    JamiiForums Tanzania Utabiri kwa picha: Kesho Simba tunapoteza kwa goli 2

    Nitaifaangalia mpira nikiwa home Mechi itaanza kwa kasi sana kiasi cha mabanda umiza kulipuka kwa change. Wale wana yanga wenye roho nyepesi wanaofatilia mchezo kupitia redio hali itakuwa mbaya sana kwao. Wale ambao walishaisusa hii mechi kutokana na kuwa na mazonge mengi wataendelea na...
  19. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Marufuku silaha na magari yasiyo na vibali Dabi ya Kariakoo

    eshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limethibitisha kuwa limechukua hatua kali za kiusalama kuelekea mchezo mkubwa wa soka kati ya timu ya Simba na Yanga utakaochezwa Jumatano, tarehe 25 Juni 2025, katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam. Akitoa taarifa kwa umma leo...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Yanga kutuma barua TFF kuhusu Waamuzi kutoka nje ya nchi kwaajili ya Derby dhidi ya Simba

    Yanga wamepanga kutuma barua TFF kuhusu waamuzi kutoka nje ya nchi kwaajili ya Derby ya kesho dhidi ya Simba Wanawasiliana na TFF ili kupata ufafanuzi, kutoa maoni, mapendekezo au malalamiko na wanaamini vilabu vilipaswa kushirikishwa kwasababu ni jambo jipya. "Nikiri kuwa hatujashirikishwa...
Back
Top Bottom